Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 Oct 23, 2020 #101 Kipigo cha October kwa Chadema kipo pale pale Tanzania hatutaki ushoga,
Alexander The Great JF-Expert Member Joined Aug 28, 2018 Posts 4,509 Reaction score 23,653 Oct 23, 2020 #102 NEC imebariki rasmi milango ya "WAPIGA KURA HEWA", sambamba na kuchochea machafuko kwa raia wasio ridhishwa na matokeo yatakavyo toka. Hongera NEC kwa kusaidia figisu na wizi wa kura. Amani ya nchi yetu ipo katika mikono yenu.
NEC imebariki rasmi milango ya "WAPIGA KURA HEWA", sambamba na kuchochea machafuko kwa raia wasio ridhishwa na matokeo yatakavyo toka. Hongera NEC kwa kusaidia figisu na wizi wa kura. Amani ya nchi yetu ipo katika mikono yenu.