Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

TATIZO SI BINADAMU WAZUNGU AU WEUSI, TATIZO NI BINADAMU WENYE ROHO MBAYA.

Wazungu walikuja wakashawishi mababu zetu wawauze mababu zetu na mababu zetu wakawauza kwa vioo, filimbi na tuvitu tudogo tudogo.

Kuna mababu zetu waliopigana na wazungu, na kuna wazungu waliowasaidia mababu kupigana na wazungu wenzao.

TATIZO SI MZUNGU AU MWAFRIKA, TATIZO NI BINADAMU WENYE ROHO MBAYA.

Wewe naona unawaponda wazungu ila unajivunia kuwasomesha wanao elimu za juu zenye asili ya wazungu. Hata majina ya level za hizo elimu ni ya kizungu. Na waweza kuta jina lako lina kauzungu ndani yake, na wanao pia wana majina yenye asili ya kizungu.
Hakuna alternative kwa sasa mkuu,so we have to go with what is available,sio kwamba nakipenda,I know there is a better alternative.

Nilichokuwa najaribu kuonyesha hata hivyo ni kwamba katika hicho mediocre kilichopo, wanangu kwa kuwa hawakupata chanjo wame-perform exceedingly well na hawana matatizo yeyote kinyume na tunacho aminishwa.
 
Chuki zako tupa kule. Dawa zote unazomeza na hospitali zote unazokwenda hakuna hata dawa moja imetengenezwa na mwafrika.
Hivi wewe ni muafrika kweli!I doubt,kwa kuwa mtu hawezi kujidharau kiasi hicho. A normal human being has self esteem.

What is wrong with you.
 
Hapa sio kujidharau ni kusema ukweli. Ukweli hauangalii hisia zako utajisikiaje.

Talking self esteem! In this overwhelming humanitarian violence? Hunger? Poverty? Corrupt african race? What a self esteem are you talking about??
Think again.
Hivi wewe ni muafrika kweli!I doubt,kwa kuwa mtu hawezi kujidharau kiasi hicho.A normal human being has self esteem.What is wrong with you.
 
Let me get this straight about COVID-19 vaccines:

1.Big Pharma are rushing the vaccines to market.

2.The FDA and other approval organizations are rushing approval.

3.These vaccines have not been fully tested.

4.Even when fully tested,vaccines in the past have proved to be very dangerous.

5.These are vaccines for a virus that has not even been isolated yet.

6.These vaccines will rewrite your DNA.

7.These vaccines will also affect the DNA of your children, grandchildren, great grandchildren, forever.

8.Politicians are considering mandating these vaccines.

May be somehow people believe taking any of the COVID-19 vaccines is something good,not at all.It is extremely dangerous.Please think twice before accepting any of the COVID-19 vaccines.

Follow the following link to see the reaction a vaccine test volunteer victim has received after getting the shot.

I also advice you strongly to read the following message from Robert F.Kennedy Jnr.before considering taking the COVID-19 shot.

The Covid-19 vaccine must be avoided at any cost!

Message from Robert F. Kennedy, Jr.

"To all my patients:

I would like to draw your attention urgently to important issues related to the next Covid-19 vaccination. For the first time in the history of vaccination, the so-called last generation mRNA vaccines are intervening directly in the genetic material of the patient and thereby altering the 'individuals' genetic material, which represents genetic manipulation, something that was already forbidden and until recently considered criminal. This intervention can be compared to the situation in genetically manipulated organisms or foods, which is also highly controversial. Even if the media and politicians currently trivialize the problem and even stupidly call for a new type of vaccine to return to normality, this vaccination is problematic in terms of health, morality and ethics, and also in terms of genetic damage,and unlike damage caused by previous vaccines, this will be irreversible and irreparable.

Dear patients, after receiving the mRNA vaccine shot, you will no longer be able to treat the vaccine symptoms in any way. You will have to live with the consequences, because it can no longer be cured simply by removing toxins from the human body, as is the case with a person with a genetic defect like Down syndrome, Klinefelter syndrome, Turner syndrome, genetic cardiac arrest, hemophilia, cystic fibrosis, Rett syndrome, etc.,because the genetic defect is forever!

This means clearly: if a vaccination symptom develops after an mRNA vaccination, neither I nor any other therapist can help you, because the damage caused by the vaccination will be genetically irreversible. In my opinion, these new vaccines represents a crime against humanity. As Dr. Wolfgang Wodarg, an experienced doctor has said,"In fact, this so called 'promising vaccine' for the vast majority of people should be FORBIDDEN, because it is genetic manipulation! "

The vaccine, developed and endorsed by Anthony Fauci and funded by Bill Gates, uses experimental mRNA technology. Three of the 15 human guinea pigs (20%) used in testing the vaccine experienced a "serious adverse effects".

Note: messenger RNA or mRNA is the Ribonucleic Acid that transfers the genetic code of the DNA of the cell nucleus to a ribosome in the cytoplasm, that is, the one that determines the order in which the amino acids of a protein bind and act as a mold or pattern for the synthesis of that protein.
Unakaribia kuokota makopo siyo bure
 
Unakaribia kuokota makopo siyo bure
Kila nilichoandika kina ushahidi tena wa kisayansi,mazingira na hata reference.

Sasa wewe umesema uliyoyasema ukiwa na ushahidi gani,kama sio wewe unayekaribia kuokota makopo, halafu unanigeuzia kibao mimi?

Don't bury your head in the sand, face the reality and so something for the protection of yourself and family. Kukimbia ukweli hakutakusaidia sana.
 
Bandiko langu linawalenga watu wote,pamoja na wewe.Anyway,mimi sijanywa,labda wewe.Halafuu, comment yako ni ya ajabu,unasema "tulikwenda" kuchukua,mimi na nani? And then mind you,that was "organic," haina shida yeyote, at most it can't be affective, haina tatizo lingine,hizi zinazokuja ni deadly,that's why I am warning people not to take them.

Finally, wewe kinachokusumbua ni chuki bibafsi kwa Magufuli,mimi siko huko.
Kiongozi yeyote anapokwenda nje ya nchi kwenye jambo lolote la nchi anawawakilisha nyie (wote)
 
Kiongozi yeyote anapokwenda nje ya nchi kwenye jambo lolote la nchi anawawakilisha nyie (wote)
Wengine hawaoni hivyo mkuu.Ila sishangai,maana wengine ni vibaraka,kwa hiyo kila jema kwao ni baya.
 
Sitakujibu kwa mashambulizi yako dhidi yangu. Nitakupa mfano mzuri tu na uufanyie kazi. Kwanza hongera kwa kukuza familia ya wasomi including wanao. Nenda Pale Muhimbili kibasila kitengo cha magonjwa ya wanawake Gynecology and Obstetrics kuna data maelfu ya wanawake wenye Kansa za shingo ya uzazi, kansa ya ziwa, kansa ya kizazi( endometrial cancer) and the likes. Majirity ya wagonjwa hao ni kutoka mikoani huko Shinyanga Bariad, Kishimundu, Iringa na njombe huko ndani ndani ambako wamezaliwa na hawajawahi kutumia chanjo yoyote na wala uzazi wa mpango.

Usitake kutumia elimu yako kujenga chuki binafsi ya wazungu.

Hao wanao tu wamesomeshwa na wazungu. Itikiadi na ideology wamejaza vichwani ni za wazungu. What are you talking?
Shida matatizo ya kisayansi wanaleta solution ya kisiasa.
Hapa ndio tunapofeli waafrika.
 
Bandiko langu linawalenga watu wote,pamoja na wewe.Anyway,mimi sijanywa,labda wewe.Halafuu, comment yako ni ya ajabu,unasema "tulikwenda" kuchukua,mimi na nani? And then mind you,that was "organic," haina shida yeyote, at most it can't be affective, haina tatizo lingine,hizi zinazokuja ni deadly,that's why I am warning people not to take them.

Finally, wewe kinachokusumbua ni chuki bibafsi kwa Magufuli,mimi siko huko.
achana nae nyumbu .naskia na denamark wanaandamana hawaitak

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes,they are fully responsible for our failures.Systems walizoacha zote without exception, after colonialism,tena kwa makusudi,zina an evil agenda na ni recipe for conflict, economic sabotage and cultural destruction. Sina haja ya ku-mention systems hizo na details,lakini itoshe tu kusema kwamba the health, education,and economic systems ndio the worst culprits.Kwa bahati mbaya the mainstream media which they control 100%,imefanya mambo kuwa even worse,hasa katika kuharibu mindset ya watu wetu kwa makusudi,tena by instructions.Kama mtu haoni haya ni myopic, na anahitaji msaada.
''Kama kuna jamii inaweza kuzidi nyingine maarifa na kuifanyia hayo yote uliyosema bila ile jamii nyingine kujua au kujikwamua basi ni halali kabisa''.

Mawazo yako yanahitaji kujibiwa na kebehi kama hizi. Siku zote mtu mvivu au mzembe hutafuta sehemu ya kulaumu na kuhamishia uvivu au uzembe wake.
 
''Kama kuna jamii inaweza kuzidi nyingine maarifa na kuifanyia hayo yote uliyosema bila ile jamii nyingine kujua au kujikwamua basi ni halali kabisa''. Mawazo yako yanahitaji kujibiwa na kebehi kama hizi. Siku zote mtu mvivu au mzembe hutafuta sehemu ya kulaumu na kuhamishia uvivu au uzembe wake.
Mkuu mimi sio mzembe,I am a very successful person kwenye nyanja yeyote you can think of,ila ni mdadisi sana na sio mvivu wa kufikiri.Ninayoandika nimeyafanyia extensive research, and I know it's real and authentic.

Inaelekea wewe ni mvivu wa kufikiri,na either ni mjinga sana au mabeberu wamekununua, kwa hiyo you are part of "the state capture system," na hapa uko kwenye ajira yako ya kupumbaza watu!Inachefua na kukasirisha sana kuona kwamba kuna idiots kama ninyi,tena wenzetu,get out of your idiocy and betrayal.

You are in fact a traitor.
 
Mkuu mimi sio mzembe,I am a very successful person kwenye nyanja yeyote you can think of,ila ni mdadisi sana,sio mvivu wa kufikiri.Ninayoandika nimeyafanyia extensive research,and I know it's real and authentic.Inaelekea wewe ni mvivu wa kufikiri,ni mjinga sana au mabeberu wamekununua,kwa hivyo you are part of "the state capture system," na hapa uko kwenye ajira yako!Inachefua na kukasirisha sana kuona kwamba kuna idiots kama ninyi,get out of your idiocy.
Hahaa haa haa! Watu kama nyie ni wa kusamehe tu. Hamjitambui. Sijui hao mabeberu walipandia wapi ndiyo maana kila failure yenu sababu ni mabeberu!

Kama uko successfully kama ulivyodai si ajabu umekuwa hivyo kwa kutumia theories, elimu, teknologia na kila kitu cha mabeberu!
 
Hahaa haa haa! Watu kama nyie ni wa kusamehe tu. Hamjitambui. Sijui hao mabeberu walipandia wapi ndiyo maana kila failure yenu sababu ni mabeberu! Kama uko successfully kama ulivyodai si ajabu umekuwa hivyo kwa kutumia theories, elimu, teknologia na kila kitu cha mabeberu!
It's sad that we have Africans like you.So kwa kuwa ninatumia technologies zao basi they are good to us, kwa hiyo tuwapende at any cost.

You are a real but.
 
kukushambulia, lakini inauma kuona kwamba we have Africans like you,despite what the whites have done to us.There is something seriously wrong with your psychic Pythagoras.Kwa jinsi wazungu walivyotufanyia haingii akilini kwamba mtu,na hasa Mwafrika anaweza kuwapenda Wazungu.Sana sana nilitegemea kwamba having a President like
Sijui utaacha lini hii tabia ovu ya kuwalaumu watu wengine, ni aibu!

Tuache kuwalaumu watu wengine for your problems. Just be objective.

Wewe kwa mfano, umefanya majaribio gani kuthibitisha kwamba hiyo vaccine sio salama?
 
Renowned and independent scientists wote wamesema sio safe. Wewe una ushahidi gani kuwa ni safe? Uweke ushahidi wa independent scientists hapa tuuone.

Mtatetea mauaji na extermination of humanity mpaka lini? Kama huna uhakika wa kitu ni vema ukanyamaza.
 
Let me get this straight about COVID-19 vaccines:

1.Big Pharma are rushing the vaccines to market.

2.The FDA and other approval organizations are rushing approval.

3.These vaccines have not been fully tested.

4.Even when fully tested,vaccines in the past have proved to be very dangerous.

5.These are vaccines for a virus that has not even been isolated yet.

6.These vaccines will rewrite your DNA.

7.These vaccines will also affect the DNA of your children, grandchildren, great grandchildren, forever.

8.Politicians are considering mandating these vaccines.

May be somehow people believe taking any of the COVID-19 vaccines is something good,not at all.It is extremely dangerous.Please think twice before accepting any of the COVID-19 vaccines.

Follow the following link to see the reaction a vaccine test volunteer victim has received after getting the shot.

I also advice you strongly to read the following message from Robert F.Kennedy Jnr.before considering taking the COVID-19 shot.

The Covid-19 vaccine must be avoided at any cost!

Message from Robert F. Kennedy, Jr.

"To all my patients:

I would like to draw your attention urgently to important issues related to the next Covid-19 vaccination. For the first time in the history of vaccination, the so-called last generation mRNA vaccines are intervening directly in the genetic material of the patient and thereby altering the 'individuals' genetic material, which represents genetic manipulation, something that was already forbidden and until recently considered criminal. This intervention can be compared to the situation in genetically manipulated organisms or foods, which is also highly controversial. Even if the media and politicians currently trivialize the problem and even stupidly call for a new type of vaccine to return to normality, this vaccination is problematic in terms of health, morality and ethics, and also in terms of genetic damage,and unlike damage caused by previous vaccines, this will be irreversible and irreparable.

Dear patients, after receiving the mRNA vaccine shot, you will no longer be able to treat the vaccine symptoms in any way. You will have to live with the consequences, because it can no longer be cured simply by removing toxins from the human body, as is the case with a person with a genetic defect like Down syndrome, Klinefelter syndrome, Turner syndrome, genetic cardiac arrest, hemophilia, cystic fibrosis, Rett syndrome, etc.,because the genetic defect is forever!

This means clearly: if a vaccination symptom develops after an mRNA vaccination, neither I nor any other therapist can help you, because the damage caused by the vaccination will be genetically irreversible. In my opinion, these new vaccines represents a crime against humanity. As Dr. Wolfgang Wodarg, an experienced doctor has said,"In fact, this so called 'promising vaccine' for the vast majority of people should be FORBIDDEN, because it is genetic manipulation! "

The vaccine, developed and endorsed by Anthony Fauci and funded by Bill Gates, uses experimental mRNA technology. Three of the 15 human guinea pigs (20%) used in testing the vaccine experienced a "serious adverse effects".

Note: messenger RNA or mRNA is the Ribonucleic Acid that transfers the genetic code of the DNA of the cell nucleus to a ribosome in the cytoplasm, that is, the one that determines the order in which the amino acids of a protein bind and act as a mold or pattern for the synthesis of that protein.
Porojo
 
Back
Top Bottom