Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Renowned and independent scientists wote wamesema sio safe.Wewe una ushahidi gani kuwa ni safe?Uweke ushahidi wa independent scientists hapa tuuone.Mtatetea mauaji na extermination of humanity mpaka lini?Kama huna uhakika wa kitu ni vema ukanyamaza.
Hizi vaccine majaribio yake yanahusisha watu wengi mataifa mbalimbali duniani na yanachukua muda mrefu.

Unaposema Renowned and independent scientists ni wapi hao?

Ukweli ni kwamba hakuna Renowned and independent scientists bila kutambuliwa na WHO.

Tuambie hao unaowaita renowned and independent scientists unaowasema wanatambuliwa na mamlaka gani?
 
Ndugu unaongelea hizo kitu wakati hata ile ya Malaysia ilienda kuchukuliwa kwa gharama kubwa na WHO waliipinga ila mlikunywa kwa mbwembwe, sasa sijui huu uzi wako unamlenga nani?
Kwahiyo hujaelewa alichaoandika? Two wrong never make it right
 
Hizi vaccine majaribio yake yanahusisha watu wengi mataifa mbalimbali duniani na yanachukua muda mrefu.

Unaposema Renowned and independent scientists ni wapi hao?

Ukweli ni kwamba hakuna Renowned and independent scientists bila kutambuliwa na WHO.

Tuambie hao unaowaita renowned and independent scientists unaowasema wanatambuliwa na mamlaka gani?
Unajua mkuu,the WHO ni collaborator katika uzorotaji wa afya za binadamu dunia nzima. Let's come back to our senses.

WHO lingekuwa shirika la afya kweli,humanity would not be suffering from so many diseases,na reasons zinafahamika and they are quiet.Wanadamu wameingizwa kwenye mkenge wa C-19, the WHO is quiet. Mkuu the WHO has been bought by Anthony Fauci, Bill Gates and the Rockefellers, kwa hiyo sitaki kusikia mambo ya the WHO.

Halafuu, all scientific protocols for vaccine development have not been followed,na the WHO wapo.Remember the vaccine is a new type, which has never been used in humans before,it is an mRNA vaccine.

As if that is not enough inakuwa rushed kiasi hicho,bila kujua athari zake kwa wanadamu,while the WHO is looking on.Athari zake pia on the "Guinea Pigs" used in preliminary trials are documented and have been reported,but the WHO is quiet.Sasa kweli tuendelee kuiamini the WHO,a big no.

Hizi vaccine majaribio yake yanahusisha watu wengi mataifa mbalimbali duniani na yanachukua muda mrefu.

Unaposema Renowned and independent scientists ni wapi hao?

Ukweli ni kwamba hakuna Renowned and independent scientists bila kutambuliwa na WHO.

Tuambie hao unaowaita renowned and independent scientists unaowasema wanatambuliwa na mamlaka gani?
Mkuu seriously bado una confidence na the WHO. Hii hii WHO ambayo inakaa kimya huku wanadamu wakiangamia na magonjwa yasiyo ambukiza na magonjwa mengine mengi,huku ikijua kwamba ni man-made na imekaa kimya. Hii hii WHO ambayo ni complicit in diseases like HIV, Ebola,C-19 etc.Hii hii WHO ambayo ni mali ya akina Bill Gates, Anthony Fauci na akina Rockefeller na inapokea orders from them.

Mkuu vipi wewe ,mbona umelala usingizi wa pono? Hivi hujui kwamba vaccines ni mpango mahsusi wa human extermination dah,wake up from your slumber.
 
Unajua mkuu,the WHO ni collaborator katika uzorotaji wa afya za binadamu dunia nzima. Let's come back to our senses.WHO lingekuwa shirika la afya kweli,humanity would not be suffering from so many diseases,na reasons zinafahamika and they are quiet.Wanadamu wameingizwa kwenye mkenge wa C-19,the WHO is quiet. Mkuu the WHO has been bought by Anthony Fauci,Bill Gates and the Rockefellers,kwa hiyo sitaki kusikia mambo ya the WHO.Halafuu,all scientific protocols for vaccine development have not been followed,na the WHO wapo.Remember the vaccine is a new type, which has never been used in humans before,it is an mRNA vaccine.
Haya madai yako hayana msingi wowote. Ni madai kama yalivyo mengine mengi, ambayo tangu kale hayana ushahidi.

Ninakubali juu ya uovu. Lakini pia tutakubali kwamba uovu, ni suala la jamii popote, duniani.

Hao watu uliowataja hapo kwenye comment yako ni wafanya biashara matajiri duniani. Bidhaa au huduma yao inahitaji watu wote wa kipato cha chini, kati na juu.

Kwa lugha nyingine bila hao watu wa vipato hivyo vitatu hao uliowataja na wengine wote hawawezi kufanya biashara, hakuna biashara.

Kwa matajiri na wafanya biashara, watu ndio kitu cha kwanza kinachotangulia yote.

Kwa msingi huu, inawezekanaje waangamize watu? Biashara na huduma zao nani atanunua? Pia wanafanya hivyo kwa faida gani au ya nani; ili iweje?

Tujifunze kuchunguza mambo na vitu; tuwe watu wa kufanya utafiti, tuyaone mambo na vitu katika mwanga wa akili.

Masuala ya magonjwa yanafahamika wazi yanatokana na nini. Yawe ya kuambukiza au yasio ya kuambukiza.

Kile ambacho mtu anafikiri kitamfanya awe bora zaidi kinakuwa mauti kwake au wengine wanaokuja wakati wake au baada yake.

Tusiwalaumu watu ambao tukiambiwa tueleze japo historia yao hatujui.

Kama tu historia yetu hatuijui vizuri ilivyo, vipi hao wengine?
 
Sijakataa kwamba ni matajiri.Yes they are rich,but they are also extremely evil people,na utajiri wao sana kupata kwa njia ovu kabisa.Njia ya ku-accumulate wealth through C-19 is a classic example.Sidhani hata kama unajua how.

The internet is awash with information concerning their evil agendas,kiasi kwamba inashangaza kuona you are so ignorant about these psychopaths na unawaona they are normal reach business people.They are not.

Hata hivyo kuanza kukuelimisha kuhusu hawa jamaa itanichukua muda sana,kwa hiyo ngoja nikuache.Lakini sijui unakuaga wapi,mbona huaga kuna discussions nyingi sana hapa JF kuhusu wao?
 
Yes,they are fully responsible for our failures.Systems walizoacha zote without exception, after colonialism,tena kwa makusudi,zina an evil agenda na ni recipe for conflict, economic sabotage and cultural destruction. Sina haja ya ku-mention systems hizo na details,lakini itoshe tu kusema kwamba the health, education,and economic systems ndio the worst culprits.Kwa bahati mbaya the mainstream media which they control 100%,imefanya mambo kuwa even worse,hasa katika kuharibu mindset ya watu wetu kwa makusudi,tena by instructions.Kama mtu haoni haya ni myopic, na anahitaji msaada.
That is bad belief. Poor insight and lot of myth.

Your corrupt now and then, is it becuase of whitemen?? Thieves!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Haya madai yako hayana msingi wowote. Ni madai kama yalivyo mengine mengi, ambayo tangu kale hayana ushahidi.

Ninakubali juu ya uovu. Lakini pia tutakubali kwamba uovu, ni suala la jamii popote, duniani.

Hao watu uliowataja hapo kwenye comment yako ni wafanya biashara matajiri duniani. Bidhaa au huduma yao inahitaji watu wote wa kipato cha chini, kati na juu.

Kwa lugha nyingine bila hao watu wa vipato hivyo vitatu hao uliowataja na wengine wote hawawezi kufanya biashara, hakuna biashara.

Kwa matajiri na wafanya biashara, watu ndio kitu cha kwanza kinachotangulia yote.

Kwa msingi huu, inawezekanaje waangamize watu? Biashara na huduma zao nani atanunua? Pia wanafanya hivyo kwa faida gani au ya nani; ili iweje?

Tujifunze kuchunguza mambo na vitu; tuwe watu wa kufanya utafiti, tuyaone mambo na vitu katika mwanga wa akili.

Masuala ya magonjwa yanafahamika wazi yanatokana na nini. Yawe ya kuambukiza au yasio ya kuambukiza.

Kile ambacho mtu anafikiri kitamfanya awe bora zaidi kinakuwa mauti kwake au wengine wanaokuja wakati wake au baada yake.

Tusiwalaumu watu ambao tukiambiwa tueleze japo historia yao hatujui.

Kama tu historia yetu hatuijui vizuri ilivyo, vipi hao wengine?
Jamaa anaongea utopolo mtupu. Wazuzungu hawalali huko wanafanya tafiti asubuhi na mchana.wakiibuka hawa failures wanaansa kulalamika tena.

Umeoa wake wengi, una mademu kibao kila kona ukipata UKIMWI unasingizi wazungu eti walileta vvu
 
Let me get this straight about COVID-19 vaccines:

1.Big Pharma are rushing the vaccines to market.

2.The FDA and other approval organizations are rushing approval.

3.These vaccines have not been fully tested.

4.Even when fully tested,vaccines in the past have proved to be very dangerous.

5.These are vaccines for a virus that has not even been isolated yet.

6.These vaccines will rewrite your DNA.

7.These vaccines will also affect the DNA of your children, grandchildren, great grandchildren, forever.

8.Politicians are considering mandating these vaccines.

May be somehow people believe taking any of the COVID-19 vaccines is something good,not at all.It is extremely dangerous.Please think twice before accepting any of the COVID-19 vaccines.

Follow the following link to see the reaction a vaccine test volunteer victim has received after getting the shot.

I also advice you strongly to read the following message from Robert F.Kennedy Jnr.before considering taking the COVID-19 shot.

The Covid-19 vaccine must be avoided at any cost!

Message from Robert F. Kennedy, Jr.

"To all my patients:

I would like to draw your attention urgently to important issues related to the next Covid-19 vaccination. For the first time in the history of vaccination, the so-called last generation mRNA vaccines are intervening directly in the genetic material of the patient and thereby altering the 'individuals' genetic material, which represents genetic manipulation, something that was already forbidden and until recently considered criminal. This intervention can be compared to the situation in genetically manipulated organisms or foods, which is also highly controversial. Even if the media and politicians currently trivialize the problem and even stupidly call for a new type of vaccine to return to normality, this vaccination is problematic in terms of health, morality and ethics, and also in terms of genetic damage,and unlike damage caused by previous vaccines, this will be irreversible and irreparable.

Dear patients, after receiving the mRNA vaccine shot, you will no longer be able to treat the vaccine symptoms in any way. You will have to live with the consequences, because it can no longer be cured simply by removing toxins from the human body, as is the case with a person with a genetic defect like Down syndrome, Klinefelter syndrome, Turner syndrome, genetic cardiac arrest, hemophilia, cystic fibrosis, Rett syndrome, etc.,because the genetic defect is forever!

This means clearly: if a vaccination symptom develops after an mRNA vaccination, neither I nor any other therapist can help you, because the damage caused by the vaccination will be genetically irreversible. In my opinion, these new vaccines represents a crime against humanity. As Dr. Wolfgang Wodarg, an experienced doctor has said,"In fact, this so called 'promising vaccine' for the vast majority of people should be FORBIDDEN, because it is genetic manipulation! "

The vaccine, developed and endorsed by Anthony Fauci and funded by Bill Gates, uses experimental mRNA technology. Three of the 15 human guinea pigs (20%) used in testing the vaccine experienced a "serious adverse effects".

Note: messenger RNA or mRNA is the Ribonucleic Acid that transfers the genetic code of the DNA of the cell nucleus to a ribosome in the cytoplasm, that is, the one that determines the order in which the amino acids of a protein bind and act as a mold or pattern for the synthesis of that protein.
Jino moja, mswaki wa nini?
 
Jamaa anaongea utopolo mtupu. Wazuzungu hawalali huko wanafanya tafiti asubuhi na mchana.wakiibuka hawa failures wanaansa kulalamika tena.

Umeoa wake wengi, una mademu kibao kila kona ukipata UKIMWI unasingizi wazungu eti walileta vvu
Kweli nimeamini aliyelala usimuamshe.Wenzenu wanafanya utafiti wa kuwaua ninyi mnakenua,ovyooo....!!
 
Jino moja, mswaki wa nini?
Sawa kawaida yako,lazima NWO wakiguswa ujichomoa kwenye ala,si uko kwenye payroll yao na sehemu ya "state capture." Bado sijasahau maelezo yako ya kina.
 
That is bad belief. Poor insight and lot of myth.

Your corrupt now and then, is it becuase of whitemen?? Thieves!
Sio bure,wamekulisha limbwata ya Kizungu,you simply can't be so ignorant and blind.
 
Sijakataa kwamba ni matajiri.Yes they are rich,but they are also extremely evil people,na utajiri wao sana kupata kwa njia ovu kabisa.Njia ya ku-accumulate wealth through C-19 is a classic example.Sidhani hata kama unajua how.

The internet is awash with information concerning their evil agendas,kiasi kwamba inashangaza kuona you are so ignorant about these psychopaths na unawaona they are normal reach business people.They are not.

Hata hivyo kuanza kukuelimisha kuhusu hawa jamaa itanichukua muda sana,kwa hiyo ngoja nikuache.Lakini sijui unakuaga wapi,mbona huaga kuna discussions nyingi sana hapa JF kuhusu wao?
Mtu kama Bill Gates, kwa mfano huyu ndiye mvumbuzi wa Microsoft.

Kwa mlimwengu wa sasa, mtu huyu lazima awe tajiri.

Sijui maisha yake ya ndani. Lakini kwa hili la uvumbuzi wa microsoft, linaeleza huyu ni mtu mwenye uwezo wa hali ya juu ya akili.

Fahamu ndugu kwamba utajiri ni sifa. kama hauna hizo sifa huwezi kuwa tajiri. Fanya utafiti utagundua kwamba watu ambao ni matajiri wa kweli wana sifa fulani zinazofanana, popote ulimwenguni. Mazingira yanaweza kumdhoofisha au kumstawisha, lakini sifa zao zinafanana; ni zilezile.

Madai kwamba kuna kundi la watu la siri linalofanya mipango mbalimbali; ikiwemo kutengeneza magonjwa na kadhalika, kuuwa watu, kutaka kutawala dunia na kuweka utawala mmoja, huo ni uongo mtupu na madai hewa yanayoenezwa na watu fulani wakomonisti, wapagani; wafrika, waislama na wakristo waafidhina kwa maslahi yao binafsi ya ama uchumi, utawala na mamlaka au kuwadhofisha watu wasitafute ukweli.

Utasikia wakomonisti, wapagani na waafidhina wakisema; hapa wanawataja wazungu kwamba wanataka kutuangamiza waafrika au wanataka kuungamiza waislamu na kadhalika.

Lakini hao hao kwa upande mwingine wananunua silaha chungu nzima kwenye nchi zao, wanashughulikia zaidi silaha kuliko wanavyoshughulikia mambo ya elimu, afya, chakula na ustawi wa watu.

Kwao kuwadhoofisha watu, ununuzi wa silaha na dhuluma dhidi ya watu wao sio maangamizi na mauaji, sio uovu! Kwao uovu ni shughuli za kimaabara au magonjwa.

Kama kuna watu dunia hii wanafikiri kwamba wanaweza kutawala dunia kwa njia yoyote ile ambayo lengo lao ni kuuwa watu, "hao hawana akili"na hawataweza kutawala dunia.

Pia tufahamu kwamba dunia inasafiri hivyo inaenda mbele. Kama ilivyo dunia, watu nao wanaenda mbele. Hivyo kadiri muda unakwenda kila mtu anajua ukweli wa mamba na vitu.

Lakini pia ndugu duniani Serikali kuu ni moja tu ndivyo mambo yalivyo. Tusidanganye watu kama kuna Serikali huru isipokuwa Serikali inayoongoza dunia.
 
Sawa kawaida yako,lazima NWO wakiguswa ujichomoa kwenye ala,si uko kwenye payroll yao na sehemu ya "state capture." Bado sijasahau maelezo yako ya kina.
Wewe conspiracy theorist unajikanganya sana.

Unapinga NWO kwa kutumia internet.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
 
Wewe conspiracy theorist unajikanganya sana.

Unapinga NWO kwa kutumia internet.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Kwangu sio dawa,labda kwako.Ila let me be frank, Kwa faida ya kizazi kijacho na kwa nchi yetu, nadhani kuna haja ya kubadili mitaala.

We need to have patriots,nationalists and people with independent minds. Hatuwezi kuendelea na taifa lenye watu wa aina ya akina Kiranga.
 
Kwangu sio dawa,labda kwako.Ila let me be frank,Kwa faida ya kizazi kijacho na kwa nchi yetu,nadhani kuna haja ya kubadili mitaala.We need to have patriots,nationalists and people with independent minds.Hatuwezi kuendelea na taifa lenye watu wa aina ya akina Kiranga.
Wewe huelewi tatizo. Hivyo huwezi kulitatua.

Nyerere alipanda mbegu ya patriotism kwa namna ambayo viongozi wachache wa Africa waliweza.

Mpaka leo, most Tanzanians are still patriots by nature.

Tatizo wewe unajenga nchi kwa patriotism ukibangaiza, wenzako wanaitafuna kwa kasi sana kwenye kiyoyozi ndani ya V8.

A fool's errand.

Wndeleza stories zako za conspiracy theory na disinformation tu.

Mmedai mmeimaliza Corona kwa msaada wa Mungu, hizi hqbari za chanjo za nini sasa?

Hamumuamini Mungu wenu mliyepewa Magufuli?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wewe conspiracy theorist unajikanganya sana.

Unapinga NWO kwa kutumia internet.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Kwangu sio dawa,labda kwako.Ila let me be frank,Kwa faida ya kizazi kijacho na kwa nchi yetu,nadhani kuna haja ya kubadili mitaala.We need to have patriots,nationalists and people with independent minds.Hatuwezi kuendelea na taifa lenye watu wa aina ya akina Kiranga.
Wewe conspiracy theorist unajikanganya sana.

Unapinga NWO kwa kutumia internet.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Neno connpiracy limekuwa pasted kwenye midomo yenu,poleni sana.Hata sijui kama mnajua why the concept of "conspiracy theories" lipo after all,I pity you.
 
Kwangu sio dawa,labda kwako.Ila let me be frank,Kwa faida ya kizazi kijacho na kwa nchi yetu,nadhani kuna haja ya kubadili mitaala.We need to have patriots,nationalists and people with independent minds.Hatuwezi kuendelea na taifa lenye watu wa aina ya akina Kiranga.

Neno connpiracy limekuwa pasted kwenye midomo yenu,poleni sana.Hata sijui kama mnajua why the concept of "conspiracy theories" lipo after all,I pity you.
Mungu wenu Magufuli kasema kaishinda Corona.

Hizi stories za chanjo za nini?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wewe huelewi tatizo. Hivyo huwezi kulitatua.

Nyerere alipanda mbegu ya patriotism kwa namna ambayo viongozi wachache wa Africa waliweza.

Mpaka leo, most Tanzanians are still patriots by nature.

Tatizo wewe unajenga nchi kwa patriotism ukibangaiza, wenzako wanaitafuna kwa kasi sana kwenye kiyoyozi ndani ya V8.

A fool's errand.

Wndeleza stories zako za conspiracy theory na disinformation tu.

Mmedai mmeimaliza Corona kwa msaada wa Mungu, hizi hqbari za chanjo za nini sasa?

Hamumuamini Mungu wenu mliyepewa Magufuli?
Nakuelewa Kiranga sipati shida na wewe.
 
Back
Top Bottom