Asante kwa ambatanisho. Nimezipitia zote. Hitimisho la chapisho hizo ni kwamba bado athari za chanjo zinafuatiliwa japo kwa sasa zinaonesha mafanikio. Kisayansi, hilo linatia shaka matumizi makubwa ya dawa kama ilivyo kwa hizo chanjo.Paper nilizopost hapa ni za kutoka EMA, sio kwa madaktari wa uchochoroni!!! Ziko verified na peer reviewed.
Mwengeso you are right,circumstances zote za C-19 protocols zinaonyesha wazi kwamba kuna agenda ya siri. This only needs common sense,wala haihitaji shule.Asante kwa ambatanisho. Nimezipitia zote. Hitimisho la chapisho hizo ni kwamba bado athari za chanjo zinafuatiliwa japo kwa sasa zinaonesha mafanikio. Kisayansi, hilo linatia shaka matumizi makubwa ya dawa kama ilivyo kwa hizo chanjo.
Nguvu inayowekwa kwa matumizi ya hizo chanjo hakuna shaka nyuma yake kuna jambo.
Twende kitaaluma..... Margin of error kwa confidence interval ipi?? Hivi kwa sample ya chanjo zaidi ya 3.4 Billion kweli margin of error ipo juu ya 0.05??Mkuu zitto junior, jibu la Mathanzua lina busara zaidi kuliko ubishi wako. Kisayansi ya tafiti za tiba (medical research), "marginal error, (p)" ya tiba yoyote lazima iwe "p<0.05".
Kuna WanaJf wamejenga tabia ya ubishi wa vijiweni hata kwenye masuala ya kitaaluma. Mwenye hekima husikiliza jambo na kulifanyia kazi
Nguvu inaendana na ukubwa wa tatizo.... Fikiria nchi kma Spain kuna wakati walikufa mpaka watu elfu 4 kwa siku ulitaka watumie nguvu ndogo?? Unadhani alternative ingekua ipi kma chanjo mnapinga?Nguvu inayowekwa kwa matumizi ya hizo chanjo hakuna shaka nyuma yake kuna jambo
Kuna tafiti yoyote duniani ambayo ni conclusive and not opened to further debate and context? Mfano unaweza sema dozi ya covid ni SAFE... Ila kesho atakuja mtu na tafiti kwamba ni Blood group fulani pekee... Mwingine atakuja na hoja kwamba wenye Saratani ya koo hii vaccine haiwasaidii..... N.k so kiufupi huwezi conclude unless sample iwe kubwa mnoo na tafiti ziendelee kwa miaka hta 20 baadae.Hitimisho la chapisho hizo ni kwamba bado athari za chanjo zinafuatiliwa japo kwa sasa zinaonesha mafanikio. Kisayansi, hilo linatia shaka matumizi makubwa ya dawa kama ilivyo kwa hizo chanjo.
Zitto,hata hiyo figure ya 3 billion plus ya walio chanjwa is disputed.Na hatuna sababu yeyote ya kuaamini source yako kwa kuwa it is not trustworthy.Unatuletea source ya European Medicines Agency au Centre,hayo si ndio matapeli yenyewe.Wake up Zitto.Twende kitaaluma..... Margin of error kwa confidence interval ipi?? Hivi kwa sample ya chanjo zaidi ya 3.4 Billion kweli margin of error ipo juu ya 0.05??
Kuna tafiti ya wallach 2021 wao walifocus kwa reported cases za wapigwa chanjo kupitia database kma VAERS. So whether ni vaccine related or not tufanye wote waliofariki baada ya kupigwa chanjo (Hta kwa vyanzo tofauti) ndio figure sahihi.
Jamaa karipoti vifo 4.11 kwa kila watu laki moja which is 0.004% na madhara ya serious kwa mwili karekodi watu 16 kwa kila dozi laki 1. Mind you kuna watu wamepigwa dozi mbili so figure inaweza kuwa chini ya hapo. Utapata 0.016% which is way above the accepted mean.
Sasa tuje kwa hoja yako..... Radiotherapy na chemotherapy zaidi ya 86% ya waliopata hizo tiba wanapata long term side effects lakini efficacy ya kuponya hasa wanaowahi ni kubwa. Je unaweza niambia kwanini hujawahi kupinga "ocean road" kutoa hizo tiba kwa waagonjwa wa kansa?
Embu tuanzie hapo kwanza
Umemjibu zitto junior inavyostahili.Zitto,hata hiyo figure ya 3 billion plus ya walio chanjwa is disputed.Na hatuna sababu yeyote ya kuaamini source yako kwa kuwa it is not trustworthy.Why is it not trustworthy,kwa sababu source yake ni ya stakeholders wa chanjo,sio an independent source.
Halafu nimeshasema, guidelines za WHO zinasema in case of 5 deaths as a result of the jab,it is withdrawn.Marekani alone wamekufa 9,000 plus as a result of the jab,kwa nini chanjo haijakuwa withdrawn?
In addition ushahidi wote wa kitaaluma una onyesha kwamba 99% of the jab contains Graphene Oxide na ndio maana watu waliochanjwa wana exhibit magnetic properties.It has been shown without any doubt that the so called C-19 vaccine vial contains Graphene Oxide and this is a deadly compound.Usisahau kwamba hiyo chanzo ina mRNA ambayo ni operating system na nia yake ni ku-instruct DNA kutengeneza "spike proteins" ambazo ndizo zinazoleta matatizo makubwa kwenye mwili wa binadamu.Zitto nazungumzia science hapa,sio mathematical jargons zako.
Hivi Zitto umelogwa nini,with all the scientific evidence kwamba the C-19 jab,sio chanjo ni bioweapon against humanity,bado unatuletea mathematical jargon ili kujaribu kuhalalisna upuuzi huo,sio bure.Wewe aidha ni sleeper agent wa CIA a.k.a NWO cabal,a very uninformed person,part of the PAC or a person under a NWO demonic spell.
Zitto acha umbumbumbu Inayoitwa chanjo ya C-19 sio chanjo,ni Operating System + Bioweapon combined.And please do not compare it na chanjo ya Ebola,ingawa na yenyewe ina madhara yake.Na pia usisahau kwamba chanjo ya Ebola kwetu ilikuwa story ya mbali,kwa hiyo haikuwa issue sana.Nguvu Iendana na ukubwa wa tatizo.... Fikiria nchi kma Spain kuna wakati walikufa mpaka watu elfu 4 kwa siku ulitaka watumie nguvu ndogo?? Unadhani alternative ingekua ipi kma chanjo mnapinga?
Kuna tafiti yoyote duniani ambayo ni conclusive and not opened to further debate and context? Mfano unaweza sema dozi ya covid ni SAFE... Ila kesho atakuja mtu na tafiti kwamba ni Blood group fulani pekee... Mwingine atakuja na hoja kwamba wenye Saratani ya koo hii vaccine haiwasaidii..... N.k so kiufupi huwezi conclude unless sample iwe kubwa mnoo na tafiti ziendelee kwa miaka hta 20 baadae.
Sio kwa Vaccine za Covid tu ila tiba zote duniani bado zinafanyiwa tafiti kila leo kupima safety levels zake na efficacy. But unavyo comment ni kana kwamba vaccine za Covid ndio za kipekee kufanyiwa evaluation zikiwa zinatumika tyr.
Nakumbuka chanjo ya Ebola ilipitishwa ndani ya saa 48 tu ila sijawahi ona ppvu humu.
Ni kichaa tu ambaye hataelewa kilicho nyuma ya chanjoAisee,this has more questions than answers.Kwa hiyo serikali haiko tayari ku-protect the stupid,hasa ukizingatia kwamba health workers wenyewe wako very misinformed about the vaccine,na infact client na health worker ni kama vipofu wawili wanao ongozana,ambao ultimately wote wawili watatumbukia shimoni.
All in all,this is unprecedented,kwa kuwa haijawahi kutokea kwenye any medication.Mwenye akili hapa anaona wazi hatari iliyoko mbele yake.Hii ni case kama ile ya sigara,where there is a warning saying,"sigara ni hatari kwa afya yako," na bado watu wanavuta.Niseme wazi,ni mjinga tu atakaye sign hifo form na kuchanjwa.
View attachment 1853351
Mwengeso see this👇,na bado wapo watu wanaodhani the so called C-19 vaccine is at our best interest.Kama Bildeberg walivyosema👇,wanaokubali chanjo ni stupid and idiots.Na ni kweli,kwa kuwa they are not diagnostic and intelligent enough to know that the C-19 so called vaccine is infact a poison.Kissinger👇 anasema,once the herd,meaning humanity accepts vaccination, the game will be over.Anasema pia kwamba kutakuwa na forced blood and organ donation.Hii ni kweli inafanyika sana during this time.Ni kichaa tu ambaye hataelewa kilicho nyuma ya chanjo
View attachment 1853826
Mwengeso see this[emoji116],na bado wapo watu wanaodhani the so called C-19 vaccine is at our best interest.Kama Bildeberg walivyosema[emoji116],wanaokubali chanjo ni stupid and idiots.Na ni kweli,kwa kuwa they are not diagnostic and intelligent enough to know that the C-19 so called vaccine is infact a poison.Kissinger[emoji116] anasema,once the herd,meaning humanity accepts vaccination, the game will be over.Anasema pia kwamba kutakuwa na forced blood and organ donation.Hii ni kweli inafanyika sana during this time.
View attachment 1854079
View attachment 1854081
Ni kweli hali ni tete sana mkuu.Nashkuru we are awaken hali ni tete
Tukumbuke kuwa idadi ya watu duniani inaongezeka kwa uzao na kuboreka kwa elimu ya afya, wakati ardhi inapungua kutokana na matumizi yake kuongezeka. Hivyo, binadamu, hasa nchi zilizoendelea zimekuwa zikihimiza njia mbalimbali za kudhibiti ongezeko la watu km mpango wa uzazi.Mwengeso see this[emoji116],na bado wapo watu wanaodhani the so called C-19 vaccine is at our best interest.Kama Bildeberg walivyosema[emoji116],wanaokubali chanjo ni stupid and idiots.Na ni kweli,kwa kuwa they are not diagnostic and intelligent enough to know that the C-19 so called vaccine is infact a poison.Kissinger[emoji116] anasema,once the herd,meaning humanity accepts vaccination, the game will be over.Anasema pia kwamba kutakuwa na forced blood and organ donation.Hii ni kweli inafanyika sana during this time.
View attachment 1854079
View attachment 1854081
"Tukumbuke kuwa idadi ya watu duniani inaongezeka kwa uzao na kuboreka kwa elimu ya afya, wakati ardhi inapungua kutokana na matumizi yake kuongezeka. Hivyo, binadamu, hasa nchi zilizoendelea zimekuwa zikihimiza njia mbalimbali za kudhibiti ongezeko la watu km mpango wa uzazi."Tukumbuke kuwa idadi ya watu duniani inaongezeka kwa uzao na kuboreka kwa elimu ya afya, wakati ardhi inapungua kutokana na matumizi yake kuongezeka. Hivyo, binadamu, hasa nchi zilizoendelea zimekuwa zikihimiza njia mbalimbali za kudhibiti ongezeko la watu km mpango wa uzazi.
Kwa sababu hiyo tabiri ya Bildeberg inaweza kuwa tafsiri na jibu kwa nini C-19 ilianza China, yenye idadi kubwa ya watu (China, 1.4 bilioni; India, 1.34 bilioni; USA, 332 milioni, Afrika ni Nigeria, 219 milioni). Serikali ya China imekuwa ikichukua hatua za kudhibiti mwongezeko wa idadi ya watu, km kila familia haipaswi kuwa na watoto zaidi ya 2.
Afrika na nchi nyingi zinazoendelea bado zina hazina ya ardhi na rasimali nyingi. Kwa binadamu mwenye "long-term vision" hawezi kuacha kutafuta jinsi ya kutumia fursa hii. Badala ya ukoloni wa enzi zile, ukoloni mamboleo (uchumi tegemezi), silaha za kibailojia (kupitia madawa na chanjo) ni moja ya njia ya kuangamiza binadamu katika nchi hizo.
Wasioamini watauliza "iweje watu wao nao wachanjwe?" Ikumbukwe kuwa duniani kuna mtawala na mtawaliwa. Mtawala ndiye mwenye maamuzi juu ya maisha ya mtawaliwa. Mtaji wa tajiri ni nguvu ya maskini
"Tukumbuke kuwa idadi ya watu duniani inaongezeka kwa uzao na kuboreka kwa elimu ya afya, wakati ardhi inapungua kutokana na matumizi yake kuongezeka. Hivyo, binadamu, hasa nchi zilizoendelea zimekuwa zikihimiza njia mbalimbali za kudhibiti ongezeko la watu km mpango wa uzazi."
Kutokana na comment hii[emoji115],naona kama Mwengeso una amini kwamba at time " t" the world will run out of space for human habitation.Hapana Mwengeso,when God created the world He created it to be self sustaining, so the World will never run out of space for human habitation,hizi ni fikra potofu zilizokuwa imposed in our minds na the evil one or Lucifer and his agents ili wapate sababu ya kutu-exterminate.
Mwengeso nakubaliana na wewe kwamba there is Climate Change.The question is what is causing the climate change. The NWO ndio architects wa climate change,na sababu ni zile zile za the C-19:To create pretext for genocide or to cause human extermination.Zipo patents nyingi tu za geo-engineering Mwegeso.On one hand, I agree that God created the world to be self-sustaining (Bustani ya Eden). On the hand, I disagree with you that the World will never run out of space for human habitation. It is a scientific fact that man (the human), over years, has been distrupting/destroying the sustainable system, created by God, because of various reasons, through man-made and unprecedented actions e.g. unsustainable industrialisation.
How do explain: the effects of Climate Change? Global economic policies subjecting minor countries to economic dependence? Neo-colonialism? New World Order? etc