Zitto,hata hiyo figure ya 3 billion plus ya walio chanjwa is disputed.Na hatuna sababu yeyote ya kuaamini source yako kwa kuwa it is not trustworthy.Why is it not trustworthy,kwa sababu source yake ni ya stakeholders wa chanjo,sio an independent source.
Halafu nimeshasema, guidelines za WHO zinasema in case of 5 deaths as a result of the jab,it is withdrawn.Marekani alone wamekufa 9,000 plus as a result of the jab,kwa nini chanjo haijakuwa withdrawn?
In addition ushahidi wote wa kitaaluma una onyesha kwamba 99% of the jab contains Graphene Oxide na ndio maana watu waliochanjwa wana exhibit magnetic properties.It has been shown without any doubt that the so called C-19 vaccine vial contains Graphene Oxide and this is a deadly compound.Usisahau kwamba hiyo chanzo ina mRNA ambayo ni operating system na nia yake ni ku-instruct DNA kutengeneza "spike proteins" ambazo ndizo zinazoleta matatizo makubwa kwenye mwili wa binadamu.Zitto nazungumzia science hapa,sio mathematical jargons zako.
Hivi Zitto umelogwa nini,with all the scientific evidence kwamba the C-19 jab,sio chanjo ni bioweapon against humanity,bado unatuletea mathematical jargon ili kujaribu kuhalalisna upuuzi huo,sio bure.Wewe aidha ni sleeper agent wa CIA a.k.a NWO cabal,a very uninformed person,part of the PAC or a person under a NWO demonic spell.