Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Paper nilizopost hapa ni za kutoka EMA, sio kwa madaktari wa uchochoroni!!! Ziko verified na peer reviewed.
Asante kwa ambatanisho. Nimezipitia zote. Hitimisho la chapisho hizo ni kwamba bado athari za chanjo zinafuatiliwa japo kwa sasa zinaonesha mafanikio. Kisayansi, hilo linatia shaka matumizi makubwa ya dawa kama ilivyo kwa hizo chanjo.

Nguvu inayowekwa kwa matumizi ya hizo chanjo hakuna shaka nyuma yake kuna jambo.
 
Mwengeso you are right,circumstances zote za C-19 protocols zinaonyesha wazi kwamba kuna agenda ya siri. This only needs common sense,wala haihitaji shule.

Ni jambo la kushangaza kwamba hata hivyo watu hawaoni hili.Nadhani PAC(Political Action Committee) imefanikiwa sana katika hili.
 
Updates:​

9000 people as of last Friday died directly from the Vaccine, that is more than all vaccines in the history of the US.”​

They, Fauci and his nut jobs are out of their minds.
“It hasn’t been done yet because the FDA has to do certain things. But it’s as good as done” said Dr. Fauci.
9000 people as of last Friday died directly from the Vaccine, that is more than all vaccines in the history of the US. Typically after 20 people die its pulled. That 9000 only represents between 10% and 1% of the actual number according to the CDC.
This is madness, they are openly pushing poison and hoping no one is paying attention and actually looking at the data.
And one more thing, They are pretending there is no such thing as natural immunity.

Comment submitted by JimmyJones
___
Fauci Calls For 'More Vaccine Mandates At The Local Level', Slams Alex Berenson For Spreading Facts At CPAC | ZeroHedge
 
Mkuu zitto junior, jibu la Mathanzua lina busara zaidi kuliko ubishi wako. Kisayansi ya tafiti za tiba (medical research), "marginal error, (p)" ya tiba yoyote lazima iwe "p<0.05".

Kuna WanaJf wamejenga tabia ya ubishi wa vijiweni hata kwenye masuala ya kitaaluma. Mwenye hekima husikiliza jambo na kulifanyia kazi
Twende kitaaluma..... Margin of error kwa confidence interval ipi?? Hivi kwa sample ya chanjo zaidi ya 3.4 Billion kweli margin of error ipo juu ya 0.05??

Kuna tafiti ya wallach 2021 wao walifocus kwa reported cases za wapigwa chanjo kupitia database kma VAERS. So whether ni vaccine related or not tufanye wote waliofariki baada ya kupigwa chanjo (Hta kwa vyanzo tofauti) ndio figure sahihi.

Jamaa karipoti vifo 4.11 kwa kila watu laki moja which is 0.004% na madhara ya serious kwa mwili karekodi watu 16 kwa kila dozi laki 1. Mind you kuna watu wamepigwa dozi mbili so figure inaweza kuwa chini ya hapo. Utapata 0.016% which is way above the accepted mean.

Sasa tuje kwa hoja yako..... Radiotherapy na chemotherapy zaidi ya 86% ya waliopata hizo tiba wanapata long term side effects lakini efficacy ya kuponya hasa wanaowahi ni kubwa. Je unaweza niambia kwanini hujawahi kupinga "ocean road" kutoa hizo tiba kwa waagonjwa wa kansa?

Embu tuanzie hapo kwanza
 
Nguvu inayowekwa kwa matumizi ya hizo chanjo hakuna shaka nyuma yake kuna jambo
Nguvu inaendana na ukubwa wa tatizo.... Fikiria nchi kma Spain kuna wakati walikufa mpaka watu elfu 4 kwa siku ulitaka watumie nguvu ndogo?? Unadhani alternative ingekua ipi kma chanjo mnapinga?
Hitimisho la chapisho hizo ni kwamba bado athari za chanjo zinafuatiliwa japo kwa sasa zinaonesha mafanikio. Kisayansi, hilo linatia shaka matumizi makubwa ya dawa kama ilivyo kwa hizo chanjo.
Kuna tafiti yoyote duniani ambayo ni conclusive and not opened to further debate and context? Mfano unaweza sema dozi ya covid ni SAFE... Ila kesho atakuja mtu na tafiti kwamba ni Blood group fulani pekee... Mwingine atakuja na hoja kwamba wenye Saratani ya koo hii vaccine haiwasaidii..... N.k so kiufupi huwezi conclude unless sample iwe kubwa mnoo na tafiti ziendelee kwa miaka hta 20 baadae.

Sio kwa Vaccine za Covid tu ila tiba zote duniani bado zinafanyiwa tafiti kila leo kupima safety levels zake na efficacy. But unavyo comment ni kana kwamba vaccine za Covid ndio za kipekee kufanyiwa evaluation zikiwa zinatumika tyr.

Nakumbuka chanjo ya Ebola ilipitishwa ndani ya saa 48 tu ila sijawahi ona ppvu humu.
 
Twende kitaaluma..... Margin of error kwa confidence interval ipi?? Hivi kwa sample ya chanjo zaidi ya 3.4 Billion kweli margin of error ipo juu ya 0.05??

Kuna tafiti ya wallach 2021 wao walifocus kwa reported cases za wapigwa chanjo kupitia database kma VAERS. So whether ni vaccine related or not tufanye wote waliofariki baada ya kupigwa chanjo (Hta kwa vyanzo tofauti) ndio figure sahihi.

Jamaa karipoti vifo 4.11 kwa kila watu laki moja which is 0.004% na madhara ya serious kwa mwili karekodi watu 16 kwa kila dozi laki 1. Mind you kuna watu wamepigwa dozi mbili so figure inaweza kuwa chini ya hapo. Utapata 0.016% which is way above the accepted mean.

Sasa tuje kwa hoja yako..... Radiotherapy na chemotherapy zaidi ya 86% ya waliopata hizo tiba wanapata long term side effects lakini efficacy ya kuponya hasa wanaowahi ni kubwa. Je unaweza niambia kwanini hujawahi kupinga "ocean road" kutoa hizo tiba kwa waagonjwa wa kansa?

Embu tuanzie hapo kwanza
Zitto,hata hiyo figure ya 3 billion plus ya walio chanjwa is disputed.Na hatuna sababu yeyote ya kuaamini source yako kwa kuwa it is not trustworthy.Unatuletea source ya European Medicines Agency au Centre,hayo si ndio matapeli yenyewe.Wake up Zitto.

And why are the organizations not credible or trustworthy,ni kwa sababu wana an obvious conflict of interest kwenye chanjo,kwa hiyo hawawezi kuwa an independent source of information.

Halafu nimeshasema, guidelines za WHO zinasema in case of 5 deaths as a result of the jab,it is withdrawn.Marekani alone wamekufa 9,000 plus as a result of the jab,kwa nini chanjo haijakuwa withdrawn?

In addition ushahidi wote wa kitaaluma una onyesha kwamba 99% of the jab contains Graphene Oxide na ndio maana watu waliochanjwa wana exhibit magnetic properties.It has been shown without any doubt that the so called C-19 vaccine vial contains Graphene Oxide and this is a deadly compound.Usisahau kwamba hiyo chanzo ina mRNA ambayo ni operating system na nia yake ni ku-instruct DNA kutengeneza "spike proteins" ambazo ndizo zinazoleta matatizo makubwa kwenye mwili wa binadamu.Zitto nazungumzia science hapa,sio mathematical jargons zako.

Hivi Zitto umelogwa nini,with all the scientific evidence kwamba the C-19 jab,sio chanjo ni bioweapon against humanity,bado unatuletea mathematical jargon ili kujaribu kuhalalisna upuuzi huo,sio bure.Wewe aidha ni sleeper agent wa CIA a.k.a NWO cabal,a very uninformed person,part of the PAC or a person under a NWO demonic spell.

Watch this clip I am sure itakusaidia.

Zitto,hata hiyo figure ya 3 billion plus ya walio chanjwa is disputed.Na hatuna sababu yeyote ya kuaamini source yako kwa kuwa it is not trustworthy.Why is it not trustworthy,kwa sababu source yake ni ya stakeholders wa chanjo,sio an independent source.

Halafu nimeshasema, guidelines za WHO zinasema in case of 5 deaths as a result of the jab,it is withdrawn.Marekani alone wamekufa 9,000 plus as a result of the jab,kwa nini chanjo haijakuwa withdrawn?

In addition ushahidi wote wa kitaaluma una onyesha kwamba 99% of the jab contains Graphene Oxide na ndio maana watu waliochanjwa wana exhibit magnetic properties.It has been shown without any doubt that the so called C-19 vaccine vial contains Graphene Oxide and this is a deadly compound.Usisahau kwamba hiyo chanzo ina mRNA ambayo ni operating system na nia yake ni ku-instruct DNA kutengeneza "spike proteins" ambazo ndizo zinazoleta matatizo makubwa kwenye mwili wa binadamu.Zitto nazungumzia science hapa,sio mathematical jargons zako.

Hivi Zitto umelogwa nini,with all the scientific evidence kwamba the C-19 jab,sio chanjo ni bioweapon against humanity,bado unatuletea mathematical jargon ili kujaribu kuhalalisna upuuzi huo,sio bure.Wewe aidha ni sleeper agent wa CIA a.k.a NWO cabal,a very uninformed person,part of the PAC or a person under a NWO demonic spell.
Umemjibu zitto junior inavyostahili.

Ukweli kwamba C-19 ni ugonjwa ambao tafiti zinaonesha ni silaha ya kibailojia ni dhahiri jinsi za kujikinga zinazohimizwa ni za kibiashara zaidi
 
Nguvu Iendana na ukubwa wa tatizo.... Fikiria nchi kma Spain kuna wakati walikufa mpaka watu elfu 4 kwa siku ulitaka watumie nguvu ndogo?? Unadhani alternative ingekua ipi kma chanjo mnapinga?

Kuna tafiti yoyote duniani ambayo ni conclusive and not opened to further debate and context? Mfano unaweza sema dozi ya covid ni SAFE... Ila kesho atakuja mtu na tafiti kwamba ni Blood group fulani pekee... Mwingine atakuja na hoja kwamba wenye Saratani ya koo hii vaccine haiwasaidii..... N.k so kiufupi huwezi conclude unless sample iwe kubwa mnoo na tafiti ziendelee kwa miaka hta 20 baadae.

Sio kwa Vaccine za Covid tu ila tiba zote duniani bado zinafanyiwa tafiti kila leo kupima safety levels zake na efficacy. But unavyo comment ni kana kwamba vaccine za Covid ndio za kipekee kufanyiwa evaluation zikiwa zinatumika tyr.

Nakumbuka chanjo ya Ebola ilipitishwa ndani ya saa 48 tu ila sijawahi ona ppvu humu.
Zitto acha umbumbumbu Inayoitwa chanjo ya C-19 sio chanjo,ni Operating System + Bioweapon combined.And please do not compare it na chanjo ya Ebola,ingawa na yenyewe ina madhara yake.Na pia usisahau kwamba chanjo ya Ebola kwetu ilikuwa story ya mbali,kwa hiyo haikuwa issue sana.
 
Aisee,this has more questions than answers.Kwa hiyo serikali haiko tayari ku-protect the stupid,hasa ukizingatia kwamba health workers wenyewe wako very misinformed about the vaccine,na infact client na health worker ni kama vipofu wawili wanao ongozana,ambao ultimately wote wawili watatumbukia shimoni.

All in all,this is unprecedented,kwa kuwa haijawahi kutokea kwenye any medication.Mwenye akili hapa anaona wazi hatari iliyoko mbele yake.Hii ni case kama ile ya sigara,where there is a warning saying,"sigara ni hatari kwa afya yako," na bado watu wanavuta.Niseme wazi,ni mjinga tu atakaye sign hifo form na kuchanjwa.

IMG-20210714-WA0001.jpg
 
View attachment 1853351
Ni kichaa tu ambaye hataelewa kilicho nyuma ya chanjo
View attachment 1853826
 
Mwengeso see this👇,na bado wapo watu wanaodhani the so called C-19 vaccine is at our best interest.Kama Bildeberg walivyosema👇,wanaokubali chanjo ni stupid and idiots.Na ni kweli,kwa kuwa they are not diagnostic and intelligent enough to know that the C-19 so called vaccine is infact a poison.Kissinger👇 anasema,once the herd,meaning humanity accepts vaccination, the game will be over.Anasema pia kwamba kutakuwa na forced blood and organ donation.Hii ni kweli inafanyika sana during this time.

IMG-20210512-WA0008.jpg

IMG-20210519-WA0004.jpg
 
Mwengeso see this[emoji116],na bado wapo watu wanaodhani the so called C-19 vaccine is at our best interest.Kama Bildeberg walivyosema[emoji116],wanaokubali chanjo ni stupid and idiots.Na ni kweli,kwa kuwa they are not diagnostic and intelligent enough to know that the C-19 so called vaccine is infact a poison.Kissinger[emoji116] anasema,once the herd,meaning humanity accepts vaccination, the game will be over.Anasema pia kwamba kutakuwa na forced blood and organ donation.Hii ni kweli inafanyika sana during this time.

View attachment 1854079

View attachment 1854081

Nashkuru we are awaken hali ni tete
 
Nashkuru we are awaken hali ni tete
Ni kweli hali ni tete sana mkuu.

Kinachoendelea SA ni mfano hai kwamba watu wameamka.Wanasema ni kwa sababu ya hali ya umaskini iliyokithiri kwa weusi,lakini this is only partly true.Those are also anti-vaccine protests.

Watu wajua kwamba Ramaphosa amepokea rushwa ya $940 billion ili ku-impose lockdowns na other draconian
measures ambazo zimeathiri sana maisha yao,ikiwa ni pamoja na umaskini huku matajiri wakizidi kutajirika.

IMG-20210714-WA0000.jpg
 
Mwengeso see this[emoji116],na bado wapo watu wanaodhani the so called C-19 vaccine is at our best interest.Kama Bildeberg walivyosema[emoji116],wanaokubali chanjo ni stupid and idiots.Na ni kweli,kwa kuwa they are not diagnostic and intelligent enough to know that the C-19 so called vaccine is infact a poison.Kissinger[emoji116] anasema,once the herd,meaning humanity accepts vaccination, the game will be over.Anasema pia kwamba kutakuwa na forced blood and organ donation.Hii ni kweli inafanyika sana during this time.

View attachment 1854079

View attachment 1854081
Tukumbuke kuwa idadi ya watu duniani inaongezeka kwa uzao na kuboreka kwa elimu ya afya, wakati ardhi inapungua kutokana na matumizi yake kuongezeka. Hivyo, binadamu, hasa nchi zilizoendelea zimekuwa zikihimiza njia mbalimbali za kudhibiti ongezeko la watu km mpango wa uzazi.

Kwa sababu hiyo tabiri ya Bildeberg inaweza kuwa tafsiri na jibu kwa nini C-19 ilianza China, yenye idadi kubwa ya watu (China, 1.4 bilioni; India, 1.34 bilioni; USA, 332 milioni, Afrika ni Nigeria, 219 milioni). Serikali ya China imekuwa ikichukua hatua za kudhibiti mwongezeko wa idadi ya watu, km kila familia haipaswi kuwa na watoto zaidi ya 2.

Afrika na nchi nyingi zinazoendelea bado zina hazina ya ardhi na rasimali nyingi. Kwa binadamu mwenye "long-term vision" hawezi kuacha kutafuta jinsi ya kutumia fursa hii. Badala ya ukoloni wa enzi zile, ukoloni mamboleo (uchumi tegemezi), silaha za kibailojia (kupitia madawa na chanjo) ni moja ya njia ya kuangamiza binadamu katika nchi hizo.

Wasioamini watauliza "iweje watu wao nao wachanjwe?" Ikumbukwe kuwa duniani kuna mtawala na mtawaliwa. Mtawala ndiye mwenye maamuzi juu ya maisha ya mtawaliwa. Mtaji wa tajiri ni nguvu ya maskini
 
"Tukumbuke kuwa idadi ya watu duniani inaongezeka kwa uzao na kuboreka kwa elimu ya afya, wakati ardhi inapungua kutokana na matumizi yake kuongezeka. Hivyo, binadamu, hasa nchi zilizoendelea zimekuwa zikihimiza njia mbalimbali za kudhibiti ongezeko la watu km mpango wa uzazi."

Kutokana na comment hii👆,naona kama Mwengeso una amini kwamba at time " t" the world will run out of space for human habitation kama hatua stahiki hazitachukuliwa kudhibiti ongezeko la watu.Hapana Mwengeso,when God created the world He created it to be self sustaining, so the World will never run out of space for human habitation,hizi ni fikra potofu zilizokuwa imposed in our minds na the evil one or Lucifer and his agents,ili wapate sababu ya kutu-exterminate.

Mwengeso usiamini anything the NWO psychopaths and cons say,they are evil to the core.
 
"Tukumbuke kuwa idadi ya watu duniani inaongezeka kwa uzao na kuboreka kwa elimu ya afya, wakati ardhi inapungua kutokana na matumizi yake kuongezeka. Hivyo, binadamu, hasa nchi zilizoendelea zimekuwa zikihimiza njia mbalimbali za kudhibiti ongezeko la watu km mpango wa uzazi."

Kutokana na comment hii[emoji115],naona kama Mwengeso una amini kwamba at time " t" the world will run out of space for human habitation.Hapana Mwengeso,when God created the world He created it to be self sustaining, so the World will never run out of space for human habitation,hizi ni fikra potofu zilizokuwa imposed in our minds na the evil one or Lucifer and his agents ili wapate sababu ya kutu-exterminate.

On one hand, I agree that God created the world to be self-sustaining (Bustani ya Eden). On the hand, I disagree with you that the World will never run out of space for human habitation. It is a scientific fact that man (the human), over years, has been distrupting/destroying the sustainable system, created by God, because of various reasons, through man-made and unprecedented actions e.g. unsustainable industrialisation.

How do explain: the effects of Climate Change? Global economic policies subjecting minor countries to economic dependence? Neo-colonialism? New World Order? etc
 
Mwengeso nakubaliana na wewe kwamba there is Climate Change.The question is what is causing the climate change. The NWO ndio architects wa climate change,na sababu ni zile zile za the C-19:To create pretext for genocide or to cause human extermination.Zipo patents nyingi tu za geo-engineering Mwegeso.

Hurricanes, floods, droughts,tornadoes volcanic eruptions sio natural phenomenon anymore, ila ni man made na ni patented scientific technologies.
 
Back
Top Bottom