Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Hakuna alternative kwa sasa mkuu,so we have to go with what is available,sio kwamba nakipenda,I know there is a better alternative.

Nilichokuwa najaribu kuonyesha hata hivyo ni kwamba katika hicho mediocre kilichopo, wanangu kwa kuwa hawakupata chanjo wame-perform exceedingly well na hawana matatizo yeyote kinyume na tunacho aminishwa.
 
Chuki zako tupa kule. Dawa zote unazomeza na hospitali zote unazokwenda hakuna hata dawa moja imetengenezwa na mwafrika.
Hivi wewe ni muafrika kweli!I doubt,kwa kuwa mtu hawezi kujidharau kiasi hicho. A normal human being has self esteem.

What is wrong with you.
 
Hapa sio kujidharau ni kusema ukweli. Ukweli hauangalii hisia zako utajisikiaje.

Talking self esteem! In this overwhelming humanitarian violence? Hunger? Poverty? Corrupt african race? What a self esteem are you talking about??
Think again.
Hivi wewe ni muafrika kweli!I doubt,kwa kuwa mtu hawezi kujidharau kiasi hicho.A normal human being has self esteem.What is wrong with you.
 
Unakaribia kuokota makopo siyo bure
 
Unakaribia kuokota makopo siyo bure
Kila nilichoandika kina ushahidi tena wa kisayansi,mazingira na hata reference.

Sasa wewe umesema uliyoyasema ukiwa na ushahidi gani,kama sio wewe unayekaribia kuokota makopo, halafu unanigeuzia kibao mimi?

Don't bury your head in the sand, face the reality and so something for the protection of yourself and family. Kukimbia ukweli hakutakusaidia sana.
 
Kiongozi yeyote anapokwenda nje ya nchi kwenye jambo lolote la nchi anawawakilisha nyie (wote)
 
Kiongozi yeyote anapokwenda nje ya nchi kwenye jambo lolote la nchi anawawakilisha nyie (wote)
Wengine hawaoni hivyo mkuu.Ila sishangai,maana wengine ni vibaraka,kwa hiyo kila jema kwao ni baya.
 
Shida matatizo ya kisayansi wanaleta solution ya kisiasa.
Hapa ndio tunapofeli waafrika.
 
achana nae nyumbu .naskia na denamark wanaandamana hawaitak

Sent using Jamii Forums mobile app
 
''Kama kuna jamii inaweza kuzidi nyingine maarifa na kuifanyia hayo yote uliyosema bila ile jamii nyingine kujua au kujikwamua basi ni halali kabisa''.

Mawazo yako yanahitaji kujibiwa na kebehi kama hizi. Siku zote mtu mvivu au mzembe hutafuta sehemu ya kulaumu na kuhamishia uvivu au uzembe wake.
 
Mkuu mimi sio mzembe,I am a very successful person kwenye nyanja yeyote you can think of,ila ni mdadisi sana na sio mvivu wa kufikiri.Ninayoandika nimeyafanyia extensive research, and I know it's real and authentic.

Inaelekea wewe ni mvivu wa kufikiri,na either ni mjinga sana au mabeberu wamekununua, kwa hiyo you are part of "the state capture system," na hapa uko kwenye ajira yako ya kupumbaza watu!Inachefua na kukasirisha sana kuona kwamba kuna idiots kama ninyi,tena wenzetu,get out of your idiocy and betrayal.

You are in fact a traitor.
 
Hahaa haa haa! Watu kama nyie ni wa kusamehe tu. Hamjitambui. Sijui hao mabeberu walipandia wapi ndiyo maana kila failure yenu sababu ni mabeberu!

Kama uko successfully kama ulivyodai si ajabu umekuwa hivyo kwa kutumia theories, elimu, teknologia na kila kitu cha mabeberu!
 
It's sad that we have Africans like you.So kwa kuwa ninatumia technologies zao basi they are good to us, kwa hiyo tuwapende at any cost.

You are a real but.
 
Sijui utaacha lini hii tabia ovu ya kuwalaumu watu wengine, ni aibu!

Tuache kuwalaumu watu wengine for your problems. Just be objective.

Wewe kwa mfano, umefanya majaribio gani kuthibitisha kwamba hiyo vaccine sio salama?
 
Sijui utaacha lini hii tabia ovu ya kuwalaumu watu wengine, ni aibu!

Tuache kuwalaumu watu wengine for your problems. Just be objective.

Wewe kwa mfano, umefanya majaribio gani kuthibitisha kwamba hiyo vaccine sio salama?
Renowned and independent scientists wote wamesema sio safe. Wewe una ushahidi gani kuwa ni safe? Uweke ushahidi wa independent scientists hapa tuuone.

Mtatetea mauaji na extermination of humanity mpaka lini? Kama huna uhakika wa kitu ni vema ukanyamaza.
 
Wengine hawaoni hivyo mkuu.Ila sishangai,maana wengine ni vibaraka,kwa hiyo kila jema kwao ni baya.
Sasa kama umejua hilo kwa nini uandike lugha za kishoga as first comment tome?
 
Porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…