Huna hoja, unaleta viroja.Nakuelewa Kiranga sipati shida na wewe.
Hivi na wewe unaamini ujinga kwamba kuna C-19. Wanachukua data za magonjwa yote, wana-compile halafu wanaita C-19 mnawaamini, dah!Mungu wenu Magufuli kasema kaishinda Corona.
Hizi stories za chanjo za nini?
Tunashadidia ili wasio jua mpango wenu wasiikubali,si mna mpango wa kuua watu!?Huna hoja, unaleta viroja.
Hujajibu swali langu.
Tanzania imetangaza kuishinda Corona, kwa nguvu za Mungu.
Mnashadadia habari za chanjo kwa nini?
Hamumuamini Mungu wenu tena?
You are hallucinating.Tunashadidia ili wasio jua mpango wenu wasiikubali,si mna mpango wa kuua watu!?
Huna haja ya kunijibu wakati unanijibu?Sina haja ya kukujibu,wewe ni pandikizi hapa JF.
Is the earth flat too?Hivi na wewe unaamini ujinga kwamba kuna C-19.Wanachukua data za magonjwa yote,wana-compile halafu wanaita C-19 mnawaamini,dah!Kweli wajinga ndio waliwao.Hakuna kitu kitu kinachoitwa C-19.Ni utapeli!
Mkuu unaoteza muda na huyu utopolo, jaribu kupitia threads zake za nyuma ndio utajua unabishana na mtu wa aina ganiIs the earth flat too?
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.Sawa,ila inatusaidia kupambanua kati ya akina Kiranga na wana wa nuru.
Namjua.Mkuu unaoteza muda na huyu utopolo, jaribu kupitia threads zake za nyuma ndio utajua unabishana na mtu wa aina gani
Usipotoshe watu Kiranga,mimi sipotoshi watu,wewe ndiye unayepotosha watu.Namjua.
Ila watu wa aina hii wasipopingwa kwa hoja, wanapata kuaminika.
Unaweza kuthibitisha Shetani yupo?Usipotoshe watu Kiranga,mimi sipotoshi watu,wewe ndiye unayepotosha watu.Hivi mtoto wa Shetani anaweza kusema kweli?Wewe Kiranga kwa kukiri wewe mwenyewe you belong to the other side,sasa utakuaje mkweli na baba yako ni mwongo na baba wa huo?
Haya ndiyo mnayotaka kutuletea,tunayajua shut up!Unaweza kuthibitisha Shetani yupo?
Mimi najua ninalofanya,hebu watch this,ni utopolo?Mkuu unaoteza muda na huyu utopolo, jaribu kupitia threads zake za nyuma ndio utajua unabishana na mtu wa aina gani
Unaweza kuthibitisha Shetani yupo?Haya ndiyo mnayotaka kutuletea,tunayajua shut up!
Watch and share quickly! This will probably be taken down soon!...
https://www.facebook.com/
Success haina maana siyo mzembe! Na wasio na success haina maana ni wazembe!Mkuu mimi sio mzembe,I am a very successful person kwenye nyanja yeyote you can think of,ila ni mdadisi sana na sio mvivu wa kufikiri.Ninayoandika nimeyafanyia extensive research,and I know it's real and authentic.Inaelekea wewe ni mvivu wa kufikiri,na either ni mjinga sana au mabeberu wamekununua,kwa hiyo you are part of "the state capture system," na hapa uko kwenye ajira yako ya kupumbaza watu!Inachefua na kukasirisha sana kuona kwamba kuna idiots kama ninyi,tena wenzetu,get out of your idiocy and betrayal.You are in fact a traitor.