Let Zanzibar Go! - Kwanini Zanzibar hawahitaji kuwashawishi Watanganyika ili watoke kwenye Muungano


Sasa Mkuu Nonda ushauri huu si ukawape JUMIKI na audiences wao, kumbuka Mwanakijiji ameshawahi kusema kuwa yeye alikuwa ni mtetezi wa Muungano, lakini alipobaini kwamba JUMIKI hawataki kuona mtu anayetetea Muungano, yeye ameamua kutoa option(kuwasaidia) JUMIKI namna bora za kutokuwa na muungano. Sasa wee unakuja kutwambia kwamba kila anaekuja na rai za kuvunja muungano anakuwa 'sued' au ' detained' then hakuna historia ya kufanikiwa, sasa wale JUMIKI wanafanya kazi gani? wanawapotezea watu muda wao kwenda kuvua samaki ili wapate cha-jio...?
 
Kwa kifupi ni kwamba tumewachoka, hatuwataki tena, ondokeni bara
 
Itabidi serikali ifanye mtwara Freeport ili kuua kabisa biashara za hawa watu
 
Umenielewa sawa Zinedine.

Pia nisome katika michango mingine niliyotoa. Nimesema kuwa mimi si mmoja ya wanaoamini kuwa UAMSHO wanamkono katika uchomaji wa makanisa. They are framed in order to be silenced.

Nani amefanya hiyo kitu?....Ving'ang'anizi. Kadas zinazopenda kung'ang'ania madaraka ndio zina mkono hapo.

Unawabambikizia UAMSHO dhambi ya kuchoma kanisa. Unaziba mdomo wao kujitia kimbele mbele katika kutaka kura ya maoni na ukarabati wa Muungano, wakati huo huo unapata mtu kama M.Mwakijiji na Nguruvi3 anasema UAMSHO wamechoma makanisa na kuamsha hisia jazba ya waislamu vs wakristo, wazanzibari vs wabara (watanganyika)

Wajanja wameua ndege wawili kwa jiwe moja.

Hii "framing" ikifanikiwa basi nakubaliana na wewe kuwa JUMIKI watakuwa wamewapotezea watu muda wa kuvua samaki. Kama watweza kujipapatua na tuhuma hizi basi watakuwa wamesaidia sana kutika kupata mjadala wa wai na mpana juu ya Muungano.

Ama hayo maelezo mekundu...hapo mkuu mimi Nonda nimetaja uhalisia "fact" tu. Kama ukilijua hulijui hilo na pia kama umekubali kujiunga na Let Zanzibar go! kwa mfumo/staili ya M. Mwanakijiji, Nguruvi3 basi ujitayarishe kwenda all the way ukijua kuwa wote waliojaribu mwanzoni wamekumbana na "maguvu", Tsunami ya ving'ang'anizi.

Hata hivyo niseme kuwa kama M.Mwanakijiji na Nguruvi3 wangeanzisha move kama ya UAMSHO yaani kama watanganyika kuilalamikia Muungano moja kwa moja na sio kuibuka na kuipinga UAMSHO basi hii move ingeoana na ile ya UAMSHO na mkandamizo (pressure) kutoka kundi la Zanzibar na mkandamizo ambao ungetoka kwa uwazi kwa upande wa Tanganyika ungeweza kuibinya Serikali ya Muungano na hapa Serikali wangekuwa hawana njia bali kufungua mjadala wa wazi na mpana wa Muungano na hatima yake.

Tuendelee na mjadala.
 
Zinedine, tena kinachosikitisha ni kuwa hawa JUMIKI na UAMSHO kila wanapofanya jambo humtanguliza mwenyezi mungu. Ni matarajio ya watu kuwa kile watakachosema, kukosoa, kushaiwshi au kushauri kitakuwa katika kulingania dini.

Sina tatizo na UAMSHO kuongelea siasa hasa muungano. Kama wangefanya hivyo kwa adabu, ilm na heshma kusingetokea tatizo. Utashangaa hawa ni wasomi tena wakitajana kwa nyadhifa za sheikh, kwa bahati mbaya hakuna chochote wanachosimamia katika ukweli, ni wazushi, wafitini na warongo wakubwa.

Taswira inayotokana na UAMSHO kama kikundi uongozi cha kidini inachafua dini sana.
Huu ni ukweli mtu mwenye akili hawezi kuukanusha hata kama atakuwa amemwazima jirani akili kwa nusu saa!

Kwa vile hakuna kizuri kinachotokana na muungano basi tuwape nafasi wapate mazuri kutoka UAMSHO.

Tuna kazi moja tu ya kuwaeleza watanzania au machogo kuwa:
Fadhila zao zinalipwa kwa matusi, kejeli kafsha na dharau!
Tutawaeleza jinsi kodi zao zinavyotumika kwa Zbar na jinsi wao wanavyochukiwa kwa kuzaliwa Tanganyika, kwa imani zao na jinsi gani walivyo duni mbele ya Wzbar.

Tunawaambia kuwa wakiwa maofisini wamekaa na Wbar wakumbuke kuwa wao ni makafir mbele ya Mzanzibar. Kwamba nafasi ya Mzanzibar ni ya vijana wao ambao wamepigwa marufuku ajira visiwani achilia mbali kukimbizwa kwa moto.

Hatuna sababu ya kuvumilia yote haya, tumekuwa taifa na tumepitia mengi. Mwaka 1977 Kenya walitaka tuzame, hatukuzama, mwaka mmoja baadaye 1978 Amini akataka tuzame, hatukuzama, hatuna sababu yoyote ya msingi ya kufikiri kuwa watu laki 9 wanaweza kutuzamisha. Tunapokubali matusi na dharau kwa gharama zetu ni unyoonge wa hali ya juu. Hivi kwanini ulipe umeme kwa mzanzibar anayeamini wewe ni kafir na unastahili moto?

Hatuhitaji serikali 3,mkataba au uhusiano mahususi, tunataka ujirani mwema kama ule wa Uganda, Rwanda na Msumbiji.
Tuwaache wanadamu bora na nchi yao! kila mtu abebe begi lake arejee kwao iwe chogo au wauumini na Wanadamu wa umma bora Wazanzibar.

Hatuna muda tena wa kupoteza ikiwa ni pamoja na rasilimali huku tukiacha watoto na vijana wetu waumie kwa gharama za Mzanzibar! Hatuna cha kupoteza badala yake tunapoteza sana kuwa nao. The time is up!

LET ZANZIBAR GO! PACK AND GO ASAP
 
Muungano Usivunjie hadi pale nitakapolipwa Pesa zangu na Mzanzibari ninaye mdai
 
binafsi sioni tunachonufaika nacho sisib wabara kutoka zanzibar zaidi ya wao kutujazia nafac za ajira za vijana wetu huku, alaf kila siku hawaishi kulalamika,waende kama ni jina tanzania tutachukua hata initialsz za MWANZA
 
sijui umecopy au wewe ndio ulieandika makala gazetini?(gazeti la juzi linatoka mara moja kwa wiki) naomba unitajie faida tano za muungano kwa wabara
 

Mkuu Nonda, kwa akili za ki-imaan, hata mimi naamini viongozi wa JUMIKI hawajachoma na wasingelithubutu kuchoma kanisa, lakini kama umeangalia vidio zote au kuhudhuria mikutano ya JUMIKI huwezi kuwatenganisha JUMIKI na uchomaji wa makanisa au kuongezeka kwa chuki za Wazanzibari kwa Watanganyika(ikiwa zimeongezeka). Nahisi kama mkuu Nonda unachangia lakini hukujiridhisha vya kutosha juu ya harakati za UAMSHO namna zilivyopamba moto badala yake umestick kwenye historia ya siasa za CUFvsCCM enzi za Janjaweed, lah, JUMIKI iliwaaminisha, hamasisha, na wataka vijana kujua kuwa:
1. Hali yoyote mbaya ya kimaisha, kiimani au ki-utamaduni inayotokea Zanzibar,chanzo ni Muungano na Watanganyika
2. Watanganyika wamejazana Zanzibar kupita kiasi kuliko "wapemba" walivyojazana Tanganyika
3. Watanganyika wanaung'ang'ania sana Muungano kwa kuwa wanafaidika sana hivyo kuwataarisha vijana "kuwa tayari" kwa nafsi na kwa nguvu kuikomboa Nchi yao, kiasi ambacho walikuwa wanasubiri go ahead tu waanze kufanya chochote
4. JUMIKI iliwaaminisha kuwa Zanzibar haina sifa ya kuwa na Mkristo hata mmoja, kwa kuwa ni Nchi Takatifu na wakristo wote wa Zanzibar wameasili Bara kutokana na Muungano
5. Mapinduzi ya Zanzibar hayakufanywa na Wazanzibari na hayakuwa na sababu yoyote kwa kuwa Zanzibar ilikuwa tayari Huru, hili laweza kuwa kweli lakini tukumbuke kuwa kuna watu wanafahamika kuwa ni "koo za memba wa Baraza la Mapinduzi", na wengi wa wanafamilia zao ziko katika post tofauti za Serikali. Kwa mtizamo wangu hili litaleta mgogoro wa ndani kwa ndani hivyo kusababisha mgogoro mkubwa huko baadaye, JUMIKI wawaambie tu watu wao kuwa Mapinduzi yalikuwa "halali" na yamepita kwani ilikuwa ni sehemu za harakati za ujenzi wa Taifa hivyo kwa sasa tugange yajayo. (Zingatia hili)
6. JUMIKI wawaambie kuwa kuzorota kwa uchumi pia kunasababishwa kwa "spending policy" badala ya "investment spending", kwa kuwaambia kuwa Serikali imeongeza matumizi yake kutokana na ukubwa na maboresho ya service scheme za Serikali katika kipindi baada ya serikali ya umoja wa kitaifa tu, pasipo kuanza na hatua za kuwekeza mipango ya muda mrefu ya ku-offset kitakachojitokeza. Hii imefanya kusiwe na uwezo mkubwa wa kusimamia huduma za kijamii kutokana na mzigo huo, twapasa tulijue hili!
JUMIKI wawaambie watu wao waendelee na utaratibu wa kuvumiliana baina ya watu wa dini tofauti ikibidi wapate wawakilishi kutoka Jumuiya za Kikristo zilizoko Zanzibar katika harakati za kutaka kuvunja Muungano, ili jamii hii isione baada ya kuvunjika Muungano, then wao watakuwa "setback". Na hili litaondoa dhana kuwa harakati zinazoendelea ni za Uislamu v/s Ukiristo, Utanganyika,.
7. Waambie watu wao kutoa equal treatment kwa either Mtaliana, Mwingereza, Mtanganyika, Mkenya nk katika uharibifu wa Tamaduni za kizanzibari badala ya kuwa-classify watanganyika tu ndo waharibifu wa hayo lakini wataliana safi.
8. JUMIKI waje na 'alternative measures' za kujenga na kuendeleza Uchumi wa Zanzibar kutoka "Tourism-led economy" kwenda huko watakapopendekeza kwani, utalii ni miongoni mwa tools za kueneza utandawazi ambao kwa kiasi kikubwa always uko against na Dini(zote).
9. Wawaandae wazanzibari walioko Tanganyika kufanya 'mass capital and investment shift' kutoka Tanganyika kuja Zanzibar ili kuondoa economic imbalance itakayotokana na retaliation itakayosababishwa na kuvunjika kwa muungano, maana retaliation lazma zitakuwepo tu.

Nitarudi wacha ninywe chai kwanza naona kijua kinazidi kukaza hapa.
 
very interesting Zinedine hapo mwishoni hapo sijaelewa , unamaanisha nini kusema wawaandae wazanzibar kufanya mass capital
 
Last edited by a moderator:

Ukimaliza kunywa chai pitia hii link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-umoja-hatarini-kuvunjika-wakati-wowote.html

Wachomaji makanisa hutaki kuwataja, unawajua.
Unawaogopa au una hisa nao? Una ubia nao?
 
unaandika hapa jf waambie hao maaskofu wako wafanye mihadhara waseme maneno haya
sie hatuhitaji maaskofu na sio wote ni wakristo, sie wabara ni mchanganyiko hadi kwenye familia zetu wengine wakristo wengine waisilamu na tunapendana sio kama nyie wapuuzi msio na akili kutumia dini kwenye siasa. Nyie subirini tu dawa yenu inakuja. Unakumbuka kilichotokea siku ile mtikila alipohutubia jangwani ????? Basi jue yanajia soon./ msidhani tunawapenda, kama idd am,ini aliweza fukuza wahindi basi sioni kazi siku tukiamua wapemba wachche waondoke kariakoo na ilala kwa sababu tunazitaka sehemu zetu za biashara. Narudia tena hatuwataki tokeniiiiiii!
 
unaandika hapa jf waambie hao maaskofu wako wafanye mihadhara waseme maneno haya
sie hatuhitaji maaskofu na sio wote ni wakristo, sie wabara ni mchanganyiko hadi kwenye familia zetu wengine wakristo wengine waisilamu na tunapendana sio kama nyie wapuuzi msio na akili kutumia dini kwenye siasa. Nyie subirini tu dawa yenu inakuja. Unakumbuka kilichotokea siku ile mtikila alipohutubia jangwani ????? Basi jue yanajia soon./ msidhani tunawapenda, kama idd am,ini aliweza fukuza wahindi basi sioni kazi siku tukiamua wapemba wachche waondoke kariakoo na ilala kwa sababu tunazitaka sehemu zetu za biashara. Narudia tena hatuwataki tokeniiiiiii!

 

umelewa chili sossi wewe, tizama unachokiandika hata hukijui ,"sie hatuhitaji maaskofu na sio wote ni wakristo, "KAZI IPO !!!

huyo mtikila alikuwa anafaya nini hapo jangwani ??? AKICHEZA MDUNDIKO ???

nenda kacheze mdako na watoto wenzako , bado hujawa na uwezo wa kuandika humu jf
 
hahaah kamwewe hebu niombe radhi haraka kabla sijaandamana, huwezi kuniita mtoto. ebo!
 
hahaah kamwewe hebu niombe radhi haraka kabla sijaandamana, huwezi kuniita mtoto. Ebo!

unakuja na mengine, hivi hujioni tu namna unavyoandika , nimekuambia kacheze mdako wacha watu wazima wajadiliane usitupotezee muda
 
Ukimaliza kunywa chai pitia hii link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-umoja-hatarini-kuvunjika-wakati-wowote.html

Wachomaji makanisa hutaki kuwataja, unawajua.
Unawaogopa au una hisa nao? Una ubia nao?

Nonda, busara mara nyingi iko proportional na umri, sasa wee mbona unataka kuprove-tofauti. Mi ni mfuatiliaji mzuri wa thread zako kwa kuwa sometimes zinanijenga. Sasa vipi siku hizi tena? Maneno na matendo vyote vinachukiliwa kama sehemu ya ushahidi hata mahakamani. Nimesema, mimi simjui wala sitaki kumjua na wala sina hisa nao, Lakini nimesema kuwa hata kama aliyechoma kanisa ni mkristo mwenyewe, lakini asingelichoma kama kusingelikuwa na mazingira ya kumrahisishia kuchoma, ni JUMIKI hili halikwepeki. Kuhusu link uliyoniwekea mi naona yooote yalioelezwa mule, majibu yake yanapatikana katika aya hii hapa chini. Mengine yote ni utashi wa Mwandishi.

"Chukua CD za mihadhara ya Uamsho; chukua CD za hiyo mikutano mitano ya CCM; halafu ziweke hadharani watu waone na kusikiliza. Waache waamue ni nani aliyechochea vurugu," ameeleza Vuai kwa sauti ya upole.

Pia ujue kuwa waandishi wetu walio wengi hawako HURU; hawako huru kwa Serikali, hawako huru kwa vyama, hawako huru kwa DINI na pia hawako huru kwa utashi-(What they thought is what they write, they don't care about fact and they forget even their commonsense!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…