Zinedine,
Post yako #89 imejaa hekima ambazo Wazanzibar wengi hawazioni.
Malalamiko ya wzbar mengine yanatia kichefu chefu. NiwAkumbushe tu kuwa, SMZ haina bajeti ya Ulinzi wa ndani na nje, Elimu ya Juu kwa uchache wa kusema.
Mzigo huo unabebwa na Mtanzania bara kwasababu Zbar inachangia 0 katika muungano! I mean Zero!
Marais wastaafu wa Zbar wanahudumia na kodi za bara. Kiongozi au mfanyakazi wa ngazi yoyote ile aliyewahi kufanya kazi bara huyo ni tegemezi kwa bara daima. Gharama zote hizo zinabebwa na mbara
Inauma mbara alipe kodi ya umeme, ya kumsomesha mzbar chuo kikuu tena kwa nafasi za upendeleo, apate ajira za upendeleo, astaafu na kulipwa marupu rupu yote na mlipa kodi yule yule anayetukanwa kama kafir, chogo n.k
Anyway, Nonda anasema kuundwe kamati kuangalia muungano. UAMSHO hawataki muungano, ndiyo maana muungano ukitajwa wanasema 'laana ya mwenyezi mungu' akitajwa Nyerere 'Laana ya mwenyezi mungu' akitajwa Karume, Jumbe, Mwinyi, Wakili, Amour, Karume JR, Shein hutasikia hata kikohozi. Kamati ya nini Nonda? Maskeikh wa UAMSHO waliobobea katika dini, fitna na majungu weshasema hawataki muungano. Wewe unataka kamati si utakuwa kafir kama Mtanganyika!
Nonda, unataka kamati ya nini wakati Zbar ilibadilisha katiba bila kamati, imeunda Baraza la mitihani bila kamati, imeunda GNU bila kamati, imefika mahali katiba JMT inasema waziri kiongozi, ya Zbar inasema makam wa rais na hakukuwa na kamati. Hili la muungano unataka kamati ya nini? kuuliza kama wazanzibar wanataka muungano wakati jibu la SMZ ni lile la UAMSHO!
LET ZBAR GO! hatuhitaji majadiliano, tumejitoa sana kwa Zbar kunusuru muungano.
Muda wa kutumia rasilimali za bara kwa ujira wa kuchomwa moto na matusi umekwisha.
Hakuna serikali 3 kwasababu Zbar haiwezi kulipa hata robo ya gharama!
Hakuna mkataba kwasababu Tanganyika haitafaidika na chochote kutoka Zbar
Tunajua, wanataka majadiliano ili yale yanayowahusu yawe ya muungano.
The time is up, pack and go!
Visit us as others do! Na jinsi inavyochelewa ndivyo Wabara wanavyopata hasira!
Tutaweka wazi kila kitu
Zanzibar offers 0, LET THEM GO
LET ZBAR GO, GO NOW, IF POSSIBLE JULY 1 2012.