Bado hujajibu swali,Kuna maendeleo makubwa yamefanywa zaidi ya hizo laptop na million50 kwa kila kijiji...
Karibu ccm ndugu chama tulivu.
Rais ni mtu mkubwa kwa taifa chakula chake inabidi kichunguzwe kwanza ndo akile...Kwanini mgombea wa CCM anafanya maigizo haya?
PICHA YA KWANZA: Mwanausalama anjifanya muuza muhindi, akamuuzia rais
View attachment 1530766
PICHA YA PILI: Muuza mahindi halisi anataka kumuuzia muhindi raisi lakini anazuiliwa na mwanausalama
View attachment 1530768
Jibu jepesi ni kwamba kashindwa kubuni njia za kuajiri wasomi,Jk aliwezaje?Wasomi ni wengi kwa hiyo wapo watakaopata nafasi ya kuajiriwa na wengine watakosa nafasi hiyo...
Jibu swali uliloulizwa mkuuKuna maendeleo makubwa yamefanywa zaidi ya hizo laptop na million50 kwa kila kijiji...
Karibu ccm ndugu chama tulivu.
Imekuwaje mmeshindwa kufanya na kusimamia makazi bora na mipango miji kwa miaka yote tangu nchi ipate uhuru???Habari zenu watanzania!
Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...
Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
Uhakika wa kushinda kwa kutumia mabavu too patheticHabari zenu watanzania!
Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...
Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
Sio kila jambo litakamilika kwa wakati mmoja, tunaenda kidogokidogo chagua ccm tena ili yale ambayo hayatekelezwa awamu ya 2015-20 yatekelezwe 2020-25Watumishi wana miaka 6 hawapandi madaraja, ndio sera yenu kukandamiza haki zao zilizopo kisheria?