Lete hoja au swali lolote kuhusu CCM ujibiwe hapa

Rais ni mtu mkubwa kwa taifa chakula chake inabidi kichunguzwe kwanza ndo akile...

Asante kwa ushirikiano wako, karibu ccm.

Sasa ule muhindi WA pili mliuchunguzia wapi? Mbona alianza kula soon baada ya kupewa!!! Au ulichunguzwa labia hamjafika eneo la tukio??!!
 
Asante kwa kushindwa kujibu maswali

Ngoja niunge juhudi nilipwe buku7
Unga mkono juhudi na malipo yake ni maendeleo mazuri kwa nchi

Karibu nyumbani kumenoga
 
Hajauliza maendeleo makubwa au madogo, ameulizabni wapi 50m mlizoahidi kwa kila kijiji??
Kwani ndugu mtu akikuahidi kukupa elfu10 kisha akakupa nyumba utamdai tena ile ahadi ya elfu10?

Rudi nyumbani kumenoga.
 
Usichanganye mada, ahadi za kampeni ni tofauti na za mapenzi! Mliahidi hivyo kwakua mliona kulikua na umuhimu wa kila kijiji kupata hio pesa na sio nyumba, sasa hizi ahadi za nyumba badala ya 50m zinakujaje kama sio dharau?
 
Habari zenu watanzania!

Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...

Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
Kwanini CCM inaungwa mkono wa wajinga, wapumbavu au watu wasiokuwa na elimu na sambamba na hilo kwanini CCM wanatumia umasikini kuwa msingi mkuu wa kujipatia kura??
 
1749052_mwananchi (1).jpg

Hapo palipochorewa Magufuli alikuwa anamaanisha nn?
 
Usichanganye mada, ahadi za kampeni ni tofauti na za mapenzi! Mliahidi hivyo kwakua mliona kulikua na umuhimu wa kila kijiji kupata hio pesa na sio nyumba, sasa hizi ahadi za nyumba badala ya 50m zinakujaje kama sio dharau?
Tuliona tuwafanyie wananchi mambo makubwa zaidi ya ahadi zetu,
 
Kwanini CCM inaungwa mkono wa wajinga, wapumbavu au watu wasiokuwa na elimu na sambamba na hilo kwanini CCM wanatumia umasikini kuwa msingi mkuu wa kujipatia kura??
Takwimu hiyo umeipata wapi ndugu?

Karibu sana ccm chama tawala.
 
Back
Top Bottom