Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 5,371
- 7,382
Si wote je kulikuwa na wimbi la wasomi kukosa ajiraJk aliajiri wote??

Baraza kuu la vijana lipo linachagua wabunge wawakilishi wa vijana muda huu. Kwanini wawakilishi hawa wa wabunge wa vijana wasiwe wasichana na wavulana? Kwa kuwa tayari kuna viti maalum vya wabunge wanawake.Habari zenu watanzania!
Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...
Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
Kidogo kidogo suala la uhai wa watumishi? Hamfai nyie kabisa.Sio kila jambo litakamilika kwa wakati mmoja, tunaenda kidogokidogo chagua ccm tena ili yale ambayo hayatekelezwa awamu ya 2015-20 yatekelezwe 2020-25
Karibu ccm
Kama mna jiamini kwanini mnazuia vyombo vya habari kurusha matukio ya Chadema.. Lakini NCCR mkawapa Tbccm kabisa wajirushe..Habari zenu watanzania!
Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...
Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
mnalinyosha taifa sio..? Mmetufanya misukule subirini octoba tutawanyosha nyie.Haiwezekani mtunyanyase kwenye nchi yetu wenyewe.Habari zenu watanzania!
Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...
Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
Kwanini mnamwogopa Lissu na CDM hivyo pamoja na kuachwa mkafanya siasa wenyewe kwa miaka 5 au pamoja na yote mnayojigamba mmefanya kwa watanzania?Habari zenu watanzania!
Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...
Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
Daudi Mchambuzi hilo la milioni 50 ni sawa lilisemwa. Lakini, unaweza kuniambia la laptop kwa kila mwalimu alilisemea wapi? Tukumbushane tafadhali nasi tufanye rejea.Bado hujajibu swali,
Mlisema mtagawa laptop kwa kila mwalimu na kila kijiji kitapewa million 50.
Ziko wapi?
Milele, unasemaje? Yaani mpaka wewe ufe!CCM itawale mpaka lini?