Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Acha uongo! Kweli itakuweka huruHakuna mabavu ndugu, ni huru na haki...kura zitahesabiwa waziwazi mwaka huu.
Acha uongo! Kweli itakuweka huruHakuna mabavu ndugu, ni huru na haki...kura zitahesabiwa waziwazi mwaka huu.
Ni lini ilikuwa zamu soecific ya huko anakokupiga vita hadharani?Kwamba maendeleo yanaenda zamu kwa zamu ili aiguse tz nzima asiegemee upande mmoja
Ccm oyeeee
Ipi ni mipango yenu kwa vijana hao ambao hawajaajiriwa ? Je mnawaacha wateketee mtaani ?Wasomi ni wengi kwa hiyo wapo watakaopata nafasi ya kuajiriwa na wengine watakosa nafasi hiyo...
Kwa CCM unaweza kukuta huyu ni ProfessorMtoa mada elimu yako Ni ya kiwango gani?
Sio kwamba tulikurupuka, kumbuka kwamba tulichokifanya ni kikubwa kuliko ahadi tuliyoitoa, kwa hiyo ni jambo jema sana kumfanyia mtu kikubwa zaidi ya tarajio....awamu inayofata ni ya neema tupu maana tunamalizia tu mipango tuliyoianzisha kisha tunaanza kula raha tu nchi nzimaKwahio wakati mnaahidi mlikurupuka hamkua na uhakika na kile mlichokua mnaahidi au mliamua kuwalaghai tu wapiga kura?
Habari zenu watanzania!
Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...
Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
Kuna maendeleo makubwa yamefanywa zaidi ya hizo laptop na million50 kwa kila kijiji...
Karibu ccm ndugu chama tulivu.
Mi mpunga wangu ninaoupata hapo ni maendeleo ya nchi nzima. Asante kwa ushirikianoWatu wengi wanayoitetea CCM kujitafutia riziki huacha namba zao za simu. Mbona wewe hujaacha ya kwako? Je wakitaka kukutafuta kukupa mpunga wako watakupataje? Asante
Asante kwa ushauri.Ningekuwa Jiwe yule jamaa aliyekuwa Boss Dar ningempa kazi ya kuwa mwenezi wa CCM.Hiyo ni kazi pekee ambayo naijua ataifanya kwa ufasaha sana na atawanyoosha wanachama na wapambe kabisa wa chama
Mtoa mada hujanijibu swali langu hili na uzi umefika page ya 3?Imekuwaje mmeshindwa kufanya na kusimamia makazi bora na mipango miji kwa miaka yote tangu nchi ipate uhuru???
Brother narudia tena, sizungumzii ukubwa au udogo wa mlichokifanya, nazungumzia 50m ambayo mliahidi na hamkuitoa! Anything nje na 50m ni utapeli! Mlilaghai wapiga kura, walipiga kura kwasababu ya ahadi ya 50m sio ya hayo mambo mengineSio kwamba tulikurupuka, kumbuka kwamba tulichokifanya ni kikubwa kuliko ahadi tuliyoitoa, kwa hiyo ni jambo jema sana kumfanyia mtu kikubwa zaidi ya tarajio....awamu inayofata ni ya neema tupu maana tunamalizia tu mipango tuliyoianzisha kisha tunaanza kula raha tu nchi nzima
Habari zenu watanzania!
Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...
Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
Limefanyika kiustadi kwenye maeneo Yapi mengi??? YatajeHiyo kazi imefanyika kiustadi kwenye maeneo mengi tu ila si yote, na viongozi wetu wameliona hilo na utekelezaji wake unaandaliwa...
Karibu ccm ndugu.
Nimeuliza hill swali kwasababu umeshindwa kujibu maswali ya wenzangu walio kuuliza tayari.Uliza swali kuhusu ccm ndugu. Asante
Rudi nyumbani kumenoga