Lete hoja au swali lolote kuhusu CCM ujibiwe hapa

Baraza kuu la vijana lipo linachagua wabunge wawakilishi wa vijana muda huu. Kwanini wawakilishi hawa wa wabunge wa vijana wasiwe wasichana na wavulana? Kwa kuwa tayari kuna viti maalum vya wabunge wanawake.
 
Sio kila jambo litakamilika kwa wakati mmoja, tunaenda kidogokidogo chagua ccm tena ili yale ambayo hayatekelezwa awamu ya 2015-20 yatekelezwe 2020-25


Karibu ccm
Kidogo kidogo suala la uhai wa watumishi? Hamfai nyie kabisa.
 
Kama mna jiamini kwanini mnazuia vyombo vya habari kurusha matukio ya Chadema.. Lakini NCCR mkawapa Tbccm kabisa wajirushe..
 
mnalinyosha taifa sio..? Mmetufanya misukule subirini octoba tutawanyosha nyie.Haiwezekani mtunyanyase kwenye nchi yetu wenyewe.
 
Baraza kuu la vijana lipo linachagua wabunge wawakilishi wa vijana muda huu. Kwanini wawakilishi hawa wa wabunge wa vijana wasiwe wasichana na wavulana? Kwa kuwa tayari kuna viti maalum vya wabunge wanawake.
 
Kwanini mnamwogopa Lissu na CDM hivyo pamoja na kuachwa mkafanya siasa wenyewe kwa miaka 5 au pamoja na yote mnayojigamba mmefanya kwa watanzania?
 
Bado hujajibu swali,
Mlisema mtagawa laptop kwa kila mwalimu na kila kijiji kitapewa million 50.

Ziko wapi?
Daudi Mchambuzi hilo la milioni 50 ni sawa lilisemwa. Lakini, unaweza kuniambia la laptop kwa kila mwalimu alilisemea wapi? Tukumbushane tafadhali nasi tufanye rejea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…