Leteni hapa vichwa nyie msiotaka kuoa au kuolewa.

Kikwetu mwanamme ukifa kabla hujaoa, cku ya kuzikwa unaingiziwa gunzi mndukuluni ndo uzikwe sasa mkiambiawa muoe au muolewe mnajifanya kuwa nyoka. Shauri yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…