October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Aisee binadamu hawaeleweki nyee!
Zile tutawavunja miguu zimepotelea hewani... nimeamin ili mtu akuheshimu lazima mpasuane kwanza.
Kweli mkuu, Samia akizika Abdul na wale mabinti wawili wabunge hapo tutakua tunaongea lugha moja.Bado hatujaheshimiana mbona. Mpaka nao wapelekewe turubai wazike kipande cha nguo. Tutaenda nao hivihivi. Tunataka watumalize wao waishi milele
Kweli mkuu, Samia akizika Abdul na wale mabinti wawili wabunge hapo tutakua tunaongea lugha moja.
Vipi mkuu kwenye mgawo wa Ford foundation umekumbukwa lakini? Siyo unapiga domo la bure......wenzako wamelambaMwateka watu kama Digidigi sio. Hehee
Wala haijatulia 😎Kali P_Imekaa vibaya.
Alisema walimuua baba yake.Mtoa mada utakuwa umefiwa na either demu wako au basha wako kwa kula chuma cha kichwa siku ya maandano (RIP marehemu), maana sio kwa kupiga u-turn namna hiyo. Maana ulikuwa huishi kupiga watu mikwara humu kabla ya maandamano ya oct 289 ukijiona na wewe ni sehemu ya wauwaji. Mpo wengi tunawazoom mliokuwa mnawazarau GenZ ya bongo.