Lethal Covid strain

Lethal Covid strain

World's most mutated covid-19 variant to exist yet, found in 3 travellers from Tanzania, Researchers have submitted data to the World Health Organisation(WHO) and they call for greater monitoring.
Wameshindwa kwa jina la Yesu hata kabla hawajaanza kuichimba Tanzania! Wakome na corona yao!! Wanatuonea wivu sisi tunavyoishi kwa uhuru bila hofu!! Kila mtu akifa wanalazimisha ni corona!! Wakome!! Wanataka kujaribu kumtikisa mama wameshindwa!!
 
Namuonea huruma huyo mama kama naye ataendekeza huo ujuha, basi mbona msifunge hospitali zote na hata kufuta elimu yote ya sayansi na kuwafuta madaktari wote wakachome mkaa vijijini na kufanya mengine. Mumejitoa ufahamu hadi kuonekana kituko cha dunia, kirusi kinawatafuna kuanzia mtu wa kawaida mpaka kwenye kichwa cha nchi lakini bado mumedumaa na kushupaza shingo.

Huyo Yesu unayemtaja, tupo wengi tunamuamini na tunaamini katika uponyaji wake, mimi nikiwemo kama Mkristo, lakini siwezi nikamlazimishia kwa mtu mwingine ambaye anaamini kitu kingine tofauti na imani yangu, na ndio maana taifa lina katiba na sheria ambazo zinahakikisha usawa, kwamba kila mtu na imani yake lakini tukutane kwenye katiba na kuchagua namna ya kuishi pamoja.

Urais ni taasisi, sio mtu binafsi na imani zake za kiroho.

Nina jamaa yangu mshikaji sana Tanzania, yaani zaidi ya ndugu nimepata taarifa anaumwa kwa hizo changamoto zenu, mpaka imenitia hofu sana sina amani moyoni.
 
Yaani unavyoongea mtu anaweza sema kenya mnafata sana masharti ya corona kumbe mnacheza tu na media mikusanyiko yenu barakoa chache no distancing.

Kuna wengi wetu hatufuati, nikiwemo pia mara moja moja najikuta nikilegeza, hata barakoa naikumbuka tu pale ninapotoka maana ya kuogopa kukamatwa na mapolisi, ila yote cha msingi na muhimu ni kwamba sio sera za serikali, hatuna sera za rais eti yeye ndiye aseme corona imeisha kwa maombi kwa hivyo wote kama mifugo wasio na akili tumfuate kauli zake na kuacha kuchukua tahadhari.

Serikali iko pale pale imesimamia miongozo ya kisayansi maana hili ni tatizo la kisayansi na serikali yenyewe kama zilizvyo serikali zote duniani huwa zimebuniwa kisayansi, cheo cha urais kimebuniwa kwa miongozo ya kisayansi, waulize waliosomea "social science".

Mimi ni muumini wa Kikristo na namuamini Yesu, ila hiyo ni imani yangu binafis, haimuhusu hata mke wangu au mwanangu, sipaswi nilazimishe kwao, la sivyo haitakua tofauti na majihadi malshababi wanaokata watu vichwa kisa hawaabudu katika imani yao.
 
Namuonea huruma huyo mama kama naye ataendekeza huo ujuha, basi mbona msifunge hospitali zote na hata kufuta elimu yote ya sayansi na kuwafuta madaktari wote wakachome mkaa vijijini na kufanya mengine. Mumejitoa ufahamu hadi kuonekana kituko cha dunia, kirusi kinawatafuna kuanzia mtu wa kawaida mpaka kwenye kichwa cha nchi lakini bado mumedumaa na kushupaza shingo.

Huyo Yesu unayemtaja, tupo wengi tunamuamini na tunaamini katika uponyaji wake, mimi nikiwemo kama Mkristo, lakini siwezi nikamlazimishia kwa mtu mwingine ambaye anaamini kitu kingine tofauti na imani yangu, na ndio maana taifa lina katiba na sheria ambazo zinahakikisha usawa, kwamba kila mtu na imani yake lakini tukutane kwenye katiba na kuchagua namna ya kuishi pamoja.

Urais ni taasisi, sio mtu binafsi na imani zake za kiroho.

Nina jamaa yangu mshikaji sana Tanzania, yaani zaidi ya ndugu nimepata taarifa anaumwa kwa hizo changamoto zenu, mpaka imenitia hofu sana sina amani moyoni.
Sasa kwa ule mrundikano wa wiki lililopita kwenye Kumuaga Rais si hadi sasa hospitals zingekuwa overwhelmed?? But Nothing people are just okay with their life??
Mbona mnataka tuwakumbushe kutumia akili zenu?
 
Kwenu huko hamna kabisa cha kuigwa, pitia hii link uone hali halisi kwa namna huo ujuha unachowafanya huku mkilalamika eti Uganda na Rwanda hawaji kuwafariji Jukwaa la Siasa
 
Hata Mimi Nina corona ila siwazi Maisha yanaendelea..corona haiui ndugu zangu sii hatari Kama inavyosemekana
Usichokijua bwana John ni kwamba Corona isipopigwa vita huwa inafanya mutations na kuzalisha kirusi hatari zaidi ambacho hakijali umri wa mtu,hali ya mwili wa mtu wala mikwara ya watu.Ni kinaua fast,effectively and efficiently!
 
Ni kawaida kwa Virus yoyote kumutate,
Unaposema isipopigwa vita unamaanisha nini?
Wewe una knowledge yoyote ya science au utaandikaandika tu kama mwendawazimu
 
Yaani nimpitie uzi wakati nipo kitaa na naona uhalisia na sasa ajiandaa kwenda ibadani.

Sio uzi, ni mkusanyiko wa nyuzi nyingi, kwa sasa nyie ndio mnaongoza dunia kwa kupoteza viongozi..... na mpaka sasa mnaendelea kujifanya makomando dhidi ya kirusi...

tanzia.jpg
 
Namuonea huruma huyo mama kama naye ataendekeza huo ujuha, basi mbona msifunge hospitali zote na hata kufuta elimu yote ya sayansi na kuwafuta madaktari wote wakachome mkaa vijijini na kufanya mengine. Mumejitoa ufahamu hadi kuonekana kituko cha dunia, kirusi kinawatafuna kuanzia mtu wa kawaida mpaka kwenye kichwa cha nchi lakini bado mumedumaa na kushupaza shingo.

Huyo Yesu unayemtaja, tupo wengi tunamuamini na tunaamini katika uponyaji wake, mimi nikiwemo kama Mkristo, lakini siwezi nikamlazimishia kwa mtu mwingine ambaye anaamini kitu kingine tofauti na imani yangu, na ndio maana taifa lina katiba na sheria ambazo zinahakikisha usawa, kwamba kila mtu na imani yake lakini tukutane kwenye katiba na kuchagua namna ya kuishi pamoja.

Urais ni taasisi, sio mtu binafsi na imani zake za kiroho.

Nina jamaa yangu mshikaji sana Tanzania, yaani zaidi ya ndugu nimepata taarifa anaumwa kwa hizo changamoto zenu, mpaka imenitia hofu sana sina amani moyoni.
Pole mkuu, atapata nafuu soon
 
Sio uzi, ni mkusanyiko wa nyuzi nyingi, kwa sasa nyie ndio mnaongoza dunia kwa kupoteza viongozi..... na mpaka sasa mnaendelea kujifanya makomando dhidi ya kirusi...

View attachment 1736365
Wakenya ni majuha sana, no wonder mnaongozwa na Mvuta Bangi,
Mngeanza kufanyia kazi hygiene ili msife kwa kipindupindu.
JamiiForums1245506249.jpg
 
Wameshindwa kwa jina la Yesu hata kabla hawajaanza kuichimba Tanzania! Wakome na corona yao!! Wanatuonea wivu sisi tunavyoishi kwa uhuru bila hofu!! Kila mtu akifa wanalazimisha ni corona!! Wakome!! Wanataka kujaribu kumtikisa mama wameshindwa!!
Ungejua hungesema wanawachimba. Angalia variant ya South Africa, bado inawazingua, haya hii nayo ya juzi kwa watu wenyu bado mpya haijawahi kuonekana, yaani virusi vinaji mutate mara mbili mbili, hapo hata imebidi medical professionals na madaktari wa maabara warudi kutafuta suluhisho kwa ajili ya vile C-19 inajiongeza nguvu. Vaccine sahi inaendelea kufanyiwa upgrade ndio iweze kukabiliana na variant yoyote ile itajitokeza.
✌️
 
Hata Mimi Nina corona ila siwazi Maisha yanaendelea..corona haiui ndugu zangu sii hatari Kama inavyosemekana
Corona inaweza kukulaza chini au hata usiugue kabisa ilhali unayo. Why? Sababu kinga za mwili za watu tofauti hazilingani. Na pia ukiwa una ugonjwa mwingine hatari kama kisukari, cancer, ukimwi nk covid ikikushika huwa maisha yako ni 50/50, unaweza kupona au la. Na usisahau kuna wale wanaoitwa 'Carriers', wanavyo virusi ila haviwadhuru na hii ndio hatari zaidi sababu wao ndio husambaza huu ugonjwa bila kujua. Wao wako sawa kabisa, kuchemua kiasi tu hata wengi wao hawana habari na wako manyumbani, ofisini, mitaani nk.
Nachosema ni Covid ipo na inaua na ni hatari, kama hujaona, BRAZIL, SPAIN, AMERICA, ITALY vile walipelekeshwa na ni mataifa yanayojiweza, think twice, wacha kuzingua watu.
 
Back
Top Bottom