lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

akili inatakiwa kutumika unapokaribia goli au mwenzio akiwa kwenye nafasi umpasie. hiyo ndio akili ya mpira inayoweza kuwa inamiss.
kama akili huna. basi sio mchezaji mzuri. he should be a top schooler kwa chance ame miss in all competitions. nyingi and its pathetic.
 
M naona mzize anatumia ata akili kidogo kibu anajua kukimbiza tu pass mbaya hajui kulenga goal chenga za kizaman Bora mzize
 
for sure, right time at a right place doing a right thing at minium capacity .
wewe unachukuliaje mchezaji amekokota mpira umefika hadi ndani ya eneo la penati, halafu anapiga kwa haraka unatoka nje au anapiga shuti dogo, badala ya either kulenga kama anaona possibility ya kufunga, au kama hakuna possibility ya kufunga azuge kidogo apate penati, au atoe pasi. wao wakikaribia goli tu ni shuti bila kufikiria hayo. chama ni mfano mzuri wa watu wanaotumia akili, na pacome.
 
Mzinze ana bidii kama Kibu Denis lakini wote wawili hawana kipaji.

Hamish Tobias Gaga au Gagarino R.I.P aliwahi kusema Mpira ni kama baiskeli, ukiujuwa unaujuwa tu, hakuna mtu anasahau kuendesha baiskeli.

Tunapoongelea wadhambuliaji wenye vipaji tunaongelea watu kama Saido Mwamba Kizota (Magoli)

Leo Yanga midfielder ndio anaongoza Kwa kufunga magoli, bado mbadala wa Mayele hajapatikana.
 
kama akili huna. basi sio mchezaji mzuri. he should be a top schooler kwa chance ame miss in all competitions. nyingi and its pathetic.
Ungekua na akili ungeweza kutofautisha kati ya scorer na schooler
 
Kwahiyo wewe unaakili za mpira kuliko Gamondi na kocha wa Azam ukiwachanganya?

Kafie mbele huko
 
Back
Top Bottom