Let's chat

Let's chat

Joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
22,527
Reaction score
79,976
Hello good people,mko poa?
Mie niko poa

Niko bored hapa,sina usingizi kusema nilale sasa hivi
Kazini naingia night shift na babe yuko zake job....let's chat

Kwa wale mlio kwenye mahusiano yasio sahihi kwa sababu zozote zile labda umbali,mume/mke wa mtu,dini&umri(japo hivi sio changamoto sana),uhuni wa partner wako,ugomvi wa kila siku na mengine mengi lakini deep down unajua kwamba umekamatika/umependa kweli na unajua unatakiwa kulet go...ni kwa namna/njia gani unajaribu/ulijaribu kujitoa?

Kwa waliofanikiwa kujitoa mlitumia mbinu zipi ili wengine wapate pa kuanzia







View: https://youtu.be/wfTC2o05OEw?feature=shared
 
Back
Top Bottom