Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Mbona umesha supp muda tuuMuda muafaka wa kunipa lile somo ticha😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umesha supp muda tuuMuda muafaka wa kunipa lile somo ticha😀
Upendo wa kwanza nlisota yule binti fala kbs nusu aniue! Nlikuwa silali, tukitoka shule nakimbia hadi geto naweka madaftar nachukua Toyo ya bro nampelekea kwao! Nlifanya mengi sana 🤣🤣🤣🤣baada ya kuona najitesa nkajikataaa....mwaka wa 7 huu tumebaki kuwa marafiki tuBado hujakutana na unaempenda mkuu
Ahaaaa kweli?🥺Mbona umesha supp muda tuu
Ila nakua simrubuni, tunatoka out kidogo surprise za hapa na pale kupigiana simu sana kikishahappen kama mara mbili tatu, mawasiliano yanapungua hadi yanaisha tukishapoteana najua ipo siku tammis nampigia simu namlalamikia kidogo kina happen tena cycle hyo hyo kwa marafiki wengn wa kikeMbona kujichanganya 🤣🤣
Khaaaa😂Ahaaaa kweli?🥺
Ndio maana watu wanasema hakuna urafiki kati ya Me na Ke.Ila nakua simrubuni, tunatoka out kidogo surprise za hapa na pale kupigiana simu sana kikishahappen kama mara mbili tatu, mawasiliano yanapungua hadi yanaisha tukishapoteana najua ipo siku tammis nampigia simu namlalamikia kidogo kina happen tena cycle hyo hyo kwa marafiki wengn wa kike
Ndo uhalisia dadanguUko na life nzuri sana kama kweli uko hivi
Basi naacha😃Khaaaa😂
Naona kabisa dalili ya wew ku carry
Endelea
Delete kila kinachomuhusu 😂😂Kwa wale mlio kwenye mahusiano yasio sahihi kwa sababu zozote zile labda umbali,mume/mke wa mtu,dini&umri(japo hivi sio changamoto sana),uhuni wa partner wako,ugomvi wa kila siku na mengine mengi lakini deep down unajua kwamba umekamatika/umependa kweli na unajua unatakiwa kulet go...ni kwa namna/njia gani unajaribu/ulijaribu kujitoa?
😂😂😂😂Ulipo nipo.
I missed ur call, nipigie tena 🤣🤣
Jiandae kwa supp sasa😌Basi naacha😃
Kuna mda urafiki upo sana!!!Ndio maana watu wanasema hakuna urafiki kati ya Me na Ke.
Sawa ticha🙃Jiandae kwa supp sasa😌
Delete kila kinachomuhusu 😂😂
Kuna mtu nilidelete mpaka namba. Siku nikammiss, weee si nikaenda tafuta namba zake katika sms za M pesa alizokuwa ananitumia hela 😂😂🙌
👏👏 sounds matured.Kuna mda urafiki upo sana!!!
Mi kuna marafiki siwezi waambia hayo mambo na hata siwawazii hvo hasa wale ambao tunashare mambo ya msingi yenye pesaaa, Kuna mda tuuruhusu urafiki uchukue nafasi yake maisha ni zaidi ya kupiga miti