Let's chat

Let's chat

Bado hujakutana na unaempenda mkuu
Upendo wa kwanza nlisota yule binti fala kbs nusu aniue! Nlikuwa silali, tukitoka shule nakimbia hadi geto naweka madaftar nachukua Toyo ya bro nampelekea kwao! Nlifanya mengi sana 🤣🤣🤣🤣baada ya kuona najitesa nkajikataaa....mwaka wa 7 huu tumebaki kuwa marafiki tu
 
Mbona kujichanganya 🤣🤣
Ila nakua simrubuni, tunatoka out kidogo surprise za hapa na pale kupigiana simu sana kikishahappen kama mara mbili tatu, mawasiliano yanapungua hadi yanaisha tukishapoteana najua ipo siku tammis nampigia simu namlalamikia kidogo kina happen tena cycle hyo hyo kwa marafiki wengn wa kike
 
Ndio maana watu wanasema hakuna urafiki kati ya Me na Ke.
 
Kwa wale mlio kwenye mahusiano yasio sahihi kwa sababu zozote zile labda umbali,mume/mke wa mtu,dini&umri(japo hivi sio changamoto sana),uhuni wa partner wako,ugomvi wa kila siku na mengine mengi lakini deep down unajua kwamba umekamatika/umependa kweli na unajua unatakiwa kulet go...ni kwa namna/njia gani unajaribu/ulijaribu kujitoa?
Delete kila kinachomuhusu 😂😂

Kuna mtu nilidelete mpaka namba. Siku nikammiss, weee si nikaenda tafuta namba zake katika sms za M pesa alizokuwa ananitumia hela 😂😂🙌
 
Kujihusisha na mijadala ya kisiasa na mabishano ya vilabu vya mpira. Ila hivi huwa inakuwaje mpaka mnafanikiwa kuanzisha mahusiano?? Mimi binafsi sijawahi kupenda/kutamani kuwa na mahusiano hususani ya kimapenzi, nachukia kuwa karibu sana na watu unless niwe bar.
 
Delete kila kinachomuhusu 😂😂

Kuna mtu nilidelete mpaka namba. Siku nikammiss, weee si nikaenda tafuta namba zake katika sms za M pesa alizokuwa ananitumia hela 😂😂🙌

Mie cha kufuta huwa ni namba tu
Sina kawaida ya kuwa na video ama picha ya nnaedate nae

Kwa hiyo ulimtafuta mkaendelea mlipoishia 😅
 
Back
Top Bottom