Let's chat

Let's chat

Kujihusisha na mijadala ya kisiasa na mabishano ya vilabu vya mpira. Ila hivi huwa inakuwaje mpaka mnafanikiwa kuanzisha mahusiano?? Mimi binafsi sijawahi kupenda/kutamani kuwa na mahusiano hususani ya kimapenzi, nachukia kuwa karibu sana na watu unless niwe bar.
Hahahahahaha, mie huwa najaribu kupenda lkn mwisho wa siku naishia njiani.
 
Kujihusisha na mijadala ya kisiasa na mabishano ya vilabu vya mpira. Ila hivi huwa inakuwaje mpaka mnafanikiwa kuanzisha mahusiano?? Mimi binafsi sijawahi kupenda/kutamani kuwa na mahusiano hususani ya kimapenzi, nachukia kuwa karibu sana na watu unless niwe bar.

An easy life 👏

Shida sio wote wanaweza kubaki single
 
Mie cha kufuta huwa ni namba tu
Sina kawaida ya kuwa na video ama picha ya nnaedate nae

Kwa hiyo ulimtafuta mkaendelea mlipoishia 😅
Hunaje?? Hata kama hakuwaga na ustaarabu wa kupiga picha, hapa atapiga! Na atanitumia, nitaziacha hapo kwa chatting. Nikimmiss namzoom. Tukigombana nafuta chats na mapicha yake yanapotea 😂😂

Eeh mwenzangu. Nikamtafuta tukapiga kitu cha rewind 🤣🤣
 
Hello good people,mko poa?
Mie niko poa

Niko bored hapa,sina usingizi kusema nilale sasa hivi
Kazini naingia night shift na babe yuko zake job....let's chat

Kwa wale mlio kwenye mahusiano yasio sahihi kwa sababu zozote zile labda umbali,mume/mke wa mtu,dini&umri(japo hivi sio changamoto sana),uhuni wa partner wako,ugomvi wa kila siku na mengine mengi lakini deep down unajua kwamba umekamatika/umependa kweli na unajua unatakiwa kulet go...ni kwa namna/njia gani unajaribu/ulijaribu kujitoa?

Kwa waliofanikiwa kujitoa mlitumia mbinu zipi ili wengine wapate pa kuanzia

View: https://youtu.be/wfTC2o05OEw?feature=shared

Mambo my
 
Hunaje?? Hata kama hakuwaga na ustaarabu wa kupiga picha, hapa atapiga! Na atanitumia, nitaziacha hapo kwa chatting. Nikimmiss namzoom. Tukigombana nafuta chats na mapicha yake yanapotea 😂😂

Eeh mwenzangu. Nikamtafuta tukapiga kitu cha rewind 🤣🤣

Labda kwasababu na mie sio mdau wa mapicha,manake nikitumiwa picha na mie si nitatakiwa nitume 😅

Sasa mie nashangaa mtu anayeweza kuachana na mtu halafu akamrudia
 
Delete kila kinachomuhusu 😂😂

Kuna mtu nilidelete mpaka namba. Siku nikammiss, weee si nikaenda tafuta namba zake katika sms za M pesa alizokuwa ananitumia hela 😂😂🙌
sasa si ungedelete na sms za miamala?

Joanah jitahidi unywe maji mengi na ule vizuri inasaidia sana mda mwingine huwa ni njaa tu. Ila kupenda usipopendwa/jaliwa ni mbaya sana isikie tu kwa jirani.
 
Kwani nikuachana? Achana na hao wanaoachana kisha wanatamkiana let us break up.

Kuna sie tunaonyamaziana 🤣
Unapunguza mawasiliano siku 3. Mtu anajiongeza na yeye anakuachia space.
Ukikumbuka uwepo unaanza kumsaka 😂😂😂😂
Kuachana kwa namna hiyo ndio siwezi
Heri tukubaliane tumeachana kila mtu akafanye anachofanya
 
Back
Top Bottom