Let's chat

Let's chat

sijui niuvuruge Huu uzi🤔🤫 au nisubiri kidogo wajae jae.🤫mana nimeona madudu mengisana Kwa wote wachache walio toa michango Yao hadi sasa

Subiri kidogo wajae jae
 
anatamani ajue ni nani kanizindua nani natoka naye ila ndyo too late na simblock anateseka kuview status akituma sms hajibiwi wala call sipokei tuish humo khaaa
ipo siku utamhurumia, anachofeli ni kuendelea kukutafuta nonstop, siku akiacha ikapita muda mrefu bila kuonesha kukujali utammisi tu, bado mnapendana ndio maana hata namba zake unazo.
 
Jamani 😂😂😂
utapinga na wengi watapinga ila hii inawakuta wengi sana kwenye mahusiano, akili inataka umsahau ila moyo unagoma kabisa, unajiapiza leo ni mwisho siangaiki nae ila mwisho wa siku moyo unakunong'oneza "ntakuua mbwa wewe mtafute utakuwa sawa" 😂 😂
 
haiwezi kutokea moyo umeshaingia nyongo...imebaki story kuna mambo ameyafanya ambayo hawezi kuyabadilisha tena
 
Yako good sasa pole ya nini

JF ukiandika kitu kuhusu jambo fulani lazima uweke kwenye hilo jambo,ukitetea single mamas na wewe unawekwa kwenye usinge mamas,ukitetea wachagga na wewe unakuwa mchagga 😂😂😂
Sawa

Uwe binti mwema kwenye hilo penzi
Na mwenyezi Mungu atawabariki.

Can i get "ameen"??
 
utapinga na wengi watapinga ila hii inawakuta wengi sana kwenye mahusiano, akili inataka umsahau ila moyo unagoma kabisa, unajiapiza leo ni mwisho siangaiki nae ila mwisho wa siku moyo unakunong'oneza "ntakuua mbwa wewe mtafute utakuwa sawa" 😂 😂

Hata mimi ilishanikuta na nikaweka uzi hapa,sikujikataa
 
ipo siku utamhurumia, anachofeli ni kuendelea kukutafuta nonstop, siku akiacha ikapita muda mrefu bila kuonesha kukujali utammisi tu, bado mnapendana ndio maana hata namba zake unazo.
kinachomfanya anitafute ni kuna baadhi ya stuffs nilikuwa main character, bussiness zake,baadhi ya properties zake nilikuwa nasimamia mimi mpaka mishahara nilikuwa nalipa mimi..documents za baadhi ya vitu nilikuwa mimi ndyo main person sasa nmesharudisha vitu vyote halafu vinamshinda huko lazima anitafute
 
mtego uo ipo siku utakufyatukia
 
kinachomfanya anitafute ni kuna baadhi ya stuffs nilikuwa main character, bussiness zake,baadhi ya properties zake nilikuwa nasimamia mimi mpaka mishahara nilikuwa nalipa mimi..documents za baadhi ya vitu nilikuwa mimi ndyo main person sasa nmesharudisha vitu vyote halafu vinamshinda huko lazima anitafute
SO saivi kazi huna🤭🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
SO saivi kazi huna🤭🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
sio kwamba alikuwa ameniajiri yeye...nina kazi yangu na hizo vitu nilikuwa nasimamia fresh tu hapa nipo kazini
 
Back
Top Bottom