Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Kuwa single sio shidaAn easy life ๐
Shida sio wote wanaweza kubaki single
Kwanini furaha yako itokee kwenye mahusiano? Kwamba yasipokuwepo unabaki na mood mbovu 24/7!!?
Hapa nilipo natafuta namna ya kumuacha mtu nakosa ๐๐