Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana bebee!Pole sana bebee, usijali nitamlea tu bebee[emoji6][emoji6]
[emoji7][emoji7][emoji7]Shukrani sana bebee!
Kwako naamini atakua kwenye mikono salama kabisa!
😂😂😂Sikuhizi kuna ma single daddy wengi I wonder huwa wanawananga single mom. Mi naweza kuishi na single daddy ila nikishawaza kazaa na wanawake wengine hakuoa basi Mimi huwa muoga hatari nawaona ni wachafuzi flani hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishi kwa kujihukumuNiko hapa Mimi ni Single father!Na hii ilikua baada ya mama wa mwanangu kufariki kwa ajali tukiwa kwenye mchakato wa harusi!
Toka hapo naishi na mwanangu na dada wa kazi ambae pia tuna undugu
Na hili suala linanipa uzito kidogo kuhusu kuoa kutokana na ni ngumu sana kumpata mwanamke ambaye atampenda mwanangu kama mama yake kabisa!
Sijakuelewa Mkuu!
Sikuhizi kuna ma single daddy wengi I wonder huwa wanawananga single mom. Mi naweza kuishi na single daddy ila nikishawaza kazaa na wanawake wengine hakuoa basi Mimi huwa muoga hatari nawaona ni wachafuzi flani hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani....Niko hapa Mimi ni Single father!Na hii ilikua baada ya mama wa mwanangu kufariki kwa ajali tukiwa kwenye mchakato wa harusi!
Toka hapo naishi na mwanangu na dada wa kazi ambae pia tuna undugu
Na hili suala linanipa uzito kidogo kuhusu kuoa kutokana na ni ngumu sana kumpata mwanamke ambaye atampenda mwanangu kama mama yake kabisa!
🙂🙂🙂🙂🙂🙂"Wachafuzi flani" kauli za kuudhi zimekatazwa kwenye huu Uzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha!Jirani....
Huyo mtoto mmoja ndie anakusumbua kichwa..!![emoji45] [emoji45]
Je ungekua na zaidi kama mimi, sindio ungekua kichaa kabisa...!![emoji53] [emoji53]
Nikweli jirani, ebu tufanye kikao cha mikakati coming Friday pale Victoria siku ya bandHahaha!
Jirani huyoo mmoja kiukweli ndio ananichanganya natamani apate mdogo wake sema nakua naka uoga fulani!
Jirani itabidi tukae chini unipe muongozo Mkuu!
Sawa Mkuu!Nikweli jirani, ebu tufanye kikao cha mikakati coming Friday pale Victoria siku ya band
Usiogope mkuu, pengine hauja pata mwenye amekupenda kwa dhati.Sikuhizi kuna ma single daddy wengi I wonder huwa wanawananga single mom. Mi naweza kuishi na single daddy ila nikishawaza kazaa na wanawake wengine hakuoa basi Mimi huwa muoga hatari nawaona ni wachafuzi flani hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe kwa muktadha huo,, bac ngoja wajeBaba aliezaa mtoto kabla ya ndoa
Sasa unaacha kuoa kisa kuogopa mwanao hatopendwa ? Kwani ni kosa la nani?Sijakuelewa Mkuu!
Unaweza ukanielezea kidogo?kujihukumu kivipi?
Nyie ni wale wale wanaume ambao chochote kinachomtokea mtoto unamlaumu mama wa kamboHahaha!
Jirani huyoo mmoja kiukweli ndio ananichanganya natamani apate mdogo wake sema nakua naka uoga fulani!
Jirani itabidi tukae chini unipe muongozo Mkuu!
Siyo kwamba naacha kuoa,hilo suala halikwepeki,kuoa lazima nioeSasa unaacha kuoa kisa kuogopa mwanao hatopendwa ? Kwani ni kosa la nani?
Ndo maana sipendi masingle father.kwaninj uishi kwa kujihisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwanaume unanifurahishaga misimamo yako, hubadiliki.Hii mijadala inabidi uassume kua mwanaume na mwanamke wako sawa kwenye Kila kitu ndio unaweza kuchangia.
Kwa tunaoamini mfumo dume this is an insult kujadili.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko unapofika ni mbali Mkuu!sina haja ya kublame kifo!Nyie ni wale wale wanaume ambao chochote kinachomtokea mtoto unamlaumu mama wa kambo
Why usiblame kifo kwa kumchukua mama yake?
Sent using Jamii Forums mobile app