amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Aaa hili povu nitakunyima kuchimba maji we mwanaume.
Ha ha ha ha.
Mimi Kama nakuoa inamaanisha you are my subordinate.
Utakachokikuta kwangu na utakacholetewa ukubaliane nacho.
Kama hukubaliani nacho sepa.
Natafuta mahari, familia nalisha aafu tunataka tuanze kulinganishana!
Wanawake nao wawe wanaoa Basi ili wachague.
Hatuwezi kuanza kujadiliana eti mwanaume naye asikutwe na mtoto wakati yeye ana uwezo wa kuoa hata mara kumi. Provided anaweza kuitunza hiyo familia.
Ukimkuta na mtoto maana yake hao walikuwa wake zake, wakashindwa masharti wakasepa.
Na wewe ukiona huwezi sepa hata kabla hujazaa. Maana hautakuwa wa mwisho.
Mwanamke mimi ndio namchagua, ni lazima aendane na ninachokitaka.
Sio nikubaliane tu na kilichopo kwa kuwa yeye kaamua hivyo. No.
Sasa we mwanamke kashakuwa na mume(aliyezaa naye) aafu anataka kuwa na mume wake peke yake!!?
Sent using Jamii Forums mobile app