Lets tak about SINGLE FATHERS...

Lets tak about SINGLE FATHERS...

Hii mijadala inabidi uassume kua mwanaume na mwanamke wako sawa kwenye Kila kitu ndio unaweza kuchangia.
Kwa tunaoamini mfumo dume this is an insult kujadili.
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaha chief hapa hamna alozungumzia usawa wa kijinsia jmn...

Wanaume naona mnakwepa makosa yenu mnajificha kwny mfumo...haibadili makosa

Mnayoyakwepa yapo katika jamii
 
  • Thanks
Reactions: amu
Usiogope mkuu, pengine hauja pata mwenye amekupenda kwa dhati.
Mimi nilikua senior single dad, lakini nilipo mpata niliempenda nilijielekeza mwenyewe madhabahuni ingawa pale mwanzo changamoto za hapana pale zilijitokeza kwasana.
Lakini badae bidada alinielewa na leo tunaishi kwa raha na amani tele....
Jf ina Raha zake aghalabu kuzipata mahali pengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuhizi kuna ma single daddy wengi I wonder huwa wanawananga single mom. Mi naweza kuishi na single daddy ila nikishawaza kazaa na wanawake wengine hakuoa basi Mimi huwa muoga hatari nawaona ni wachafuzi flani hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, kuna kauoga fulani lazima uwe nako.
 
Mleta mada, single dadi ni wachache sana wanaume wengi wanatelekeza watoto, ila nawapa hongera hao single haijalishi ulioa, mwenza amefariki,umetelekezewa amekukimbia, talaka ila kitendo cha kuwalea watoto au mtoto kwa asilimia zote ni uanaume.

Binafsi ninaona ni bora zaidi mtoto alelewe na baba kuliko kumpeleka kwa bibi, mtoto akose malezi na mapenzi ya mama hata baba pia?

Lets give them courage.
 
Nilichoona wengi hawajui maana ya single daddy ni yule anayalea mtoto peke yangu bila msaada wa mama mtoto, mwanaume aliyezalisha hakumuoa mama mtoto na mtoto yupo kwa mama mtu au bibi huyo si single dadi.

Single dadi ni yule anayeplay duties zote za mtoto kuanzia napping n.k anaishi one roof na mtoto.
 
Write your reply.....naona mnatafuta ka usawa Fulani hivi hata Hivyo single dadies hawana neno ni watu salama kabisa kwa hyo sijaona umuhimu wa kuwafungulia thread kwa niaba ya wanaume wote naomba waheshimike.. case dismissed... uzi umefungwa kwanzia Leo......... just joking endelea kuwahoji mkuu
 
Atlist umekuja na uzi wa kuwafariji single mothers, ila kwa taarifa yako afrika hatuna hicho unachokiita single father
 
A

Asante kwa kuweka sawa, na africa hicho kitu hakipo may be 1 kwenye 10
 
Baba aliezaa mtoto kabla ya ndoa
Je yule ambae amezalisha kabla ndoa na mtoto yupo kwa mama yake au wanashirikiana katika malezi naye ni single dadi?
 
Single father hatuna shida yoyote.. nakupenda saana mwanangu Gabriel..
 
Atlist umekuja na uzi wa kuwafariji single mothers, ila kwa taarifa yako afrika hatuna hicho unachokiita single father
Ni kwa sababu wengi wanatelekeza watoto
Mtu mmoja kapost hapo juu nmeelewa
 
Write your reply.....naona mnatafuta ka usawa Fulani hivi hata Hivyo single dadies hawana neno ni watu salama kabisa kwa hyo sijaona umuhimu wa kuwafungulia thread kwa niaba ya wanaume wote naomba waheshimike.. case dismissed... uzi umefungwa kwanzia Leo......... just joking endelea kuwahoji mkuu
Sio faraja wala usawa mkuu ni hali halisi tu ktk maisha...
Mwanaume kuzaa kabla ya ndoa ipo sana
 
Wazima wote?...
Naona mada ama 'stigma' ya hali ya juu kuhusu Single Mothers....
Leo labda tujadili upande wa pili wa shilingi

Mwanamke/Wanawake unawachukuliaje Single Fathers?Ni wakosefu wa adabu/maadili kuzaa kabla ya ndoa au wana roho njema kutunza watoto?
Unaweza kataa mwanaume kwa sababu ana mtoto kabla ya ndoa?
Huwa unajiuliza kwanini hajamuoa Baby Mama wake?..
Unaweza lea kwa mapenzi na usawa mtoto asie wa kwako?.
Vipi kuhusu mawasiliano na Mzazi Mwenzake?unachukuliaje na umejipangaje
Ukishapata na watoto wako je?..

Why Jamii inamuadhibu vikali mwanamke kuzaa kabla ya ndoa na si mwanaume?..

Karibuni Kuongezea points....nahimiza michango ya kujenga na mifano hai...kauli mbaya mjitahidi zisiwepo

Nawasilisha
Hahahahahah single mother ni watamu aisee basi tu watu wanataka kueneza sumu mbaya juu Yao but,they are good and sweet people aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwanaume unanifurahishaga misimamo yako, hubadiliki.
Ha ha ha ha.
Mimi Kama nakuoa inamaanisha you are my subordinate.
Utakachokikuta kwangu na utakacholetewa ukubaliane nacho.
Kama hukubaliani nacho sepa.

Natafuta mahari, familia nalisha aafu tunataka tuanze kulinganishana!
Wanawake nao wawe wanaoa Basi ili wachague.
Hatuwezi kuanza kujadiliana eti mwanaume naye asikutwe na mtoto wakati yeye ana uwezo wa kuoa hata mara kumi. Provided anaweza kuitunza hiyo familia.
Ukimkuta na mtoto maana yake hao walikuwa wake zake, wakashindwa masharti wakasepa.
Na wewe ukiona huwezi sepa hata kabla hujazaa. Maana hautakuwa wa mwisho.
Mwanamke mimi ndio namchagua, ni lazima aendane na ninachokitaka.
Sio nikubaliane tu na kilichopo kwa kuwa yeye kaamua hivyo. No.
Sasa we mwanamke kashakuwa na mume(aliyezaa naye) aafu anataka kuwa na mume wake peke yake!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhaha chief hapa hamna alozungumzia usawa wa kijinsia jmn...

Wanaume naona mnakwepa makosa yenu mnajificha kwny mfumo...haibadili makosa

Mnayoyakwepa yapo katika jamii
Wanaume wameumbwa kuwa na mtu zaidi ya mmoja.
Ndio maana tangu hata agano la kale mwanamke muuzaji anaitwa kahaba lakini mwanaume mnunuaji hana jina.
Na hasemwi.

Mimi nikizaa kabla ya ndoa mwanangu namtunza ila wanawake wanataka wanaume watakaowaoa ndio wawalelee hao watoto.
Nani anakuwa na makosa hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha.
Mimi Kama nakuoa inamaanisha you are my subordinate.
Utakachokikuta kwangu na utakacholetewa ukubaliane nacho.
Kama hukubaliani nacho sepa.

Natafuta mahari, familia nalisha aafu tunataka tuanze kulinganishana!
Wanawake nao wawe wanaoa Basi ili wachague.
Hatuwezi kuanza kujadiliana eti mwanaume naye asikutwe na mtoto wakati yeye ana uwezo wa kuoa hata mara kumi. Provided anaweza kuitunza hiyo familia.
Ukimkuta na mtoto maana yake hao walikuwa wake zake, wakashindwa masharti wakasepa.
Na wewe ukiona huwezi sepa hata kabla hujazaa. Maana hautakuwa wa mwisho.
Mwanamke mimi ndio namchagua, ni lazima aendane na ninachokitaka.
Sio nikubaliane tu na kilichopo kwa kuwa yeye kaamua hivyo. No.
Sasa we mwanamke kashakuwa na mume(aliyezaa naye) aafu anataka kuwa na mume wake peke yake!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona povu chief...
Hamna alosema mtu asikutwe na mtoto, Kwa sbb mtoto kabla ya ndoa ni situation tuu ya tendo la siku moja...hujui ktk kuchagua Dada anaweza sema No sikutaki na uchaguzi wako ukaishia hapo...

Ni kweli ktk familia mwanaume yuko juu but beware of the technicalities...maisha ya kileo kuna mabadiliko flani na maadamu unaona mtu mzima mwenzio mwenye free will lolote laweza tokea Omba Mungu tu
Otherwise Mke awe mwelewa mnoo na hekima sana na we usimvuruge
 
Back
Top Bottom