Lets tak about SINGLE FATHERS...

I think wanawake wanasakamwa zaidi maana watoto wengi huishi na mama zao, sio rahisi mama kumkataa mtoto wake au kumtelekeza.
 
Ishi kwa kujihukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na single mothers unawaonaje?
 
Mkuu, ingekua hauja changanya maswali na ukauliza kuhusu single dad pekee.... Nadhani nini ningekujibu hayo maswali yooote yanayo husu single dad
 
Jirani....
Huyo mtoto mmoja ndie anakusumbua kichwa..!![emoji45] [emoji45]
Je ungekua na zaidi kama mimi, sindio ungekua kichaa kabisa...!![emoji53] [emoji53]
 
Jirani....
Huyo mtoto mmoja ndie anakusumbua kichwa..!![emoji45] [emoji45]
Je ungekua na zaidi kama mimi, sindio ungekua kichaa kabisa...!![emoji53] [emoji53]
Hahaha!

Jirani huyoo mmoja kiukweli ndio ananichanganya natamani apate mdogo wake sema nakua naka uoga fulani!

Jirani itabidi tukae chini unipe muongozo Mkuu!
 
Hahaha!

Jirani huyoo mmoja kiukweli ndio ananichanganya natamani apate mdogo wake sema nakua naka uoga fulani!

Jirani itabidi tukae chini unipe muongozo Mkuu!
Nikweli jirani, ebu tufanye kikao cha mikakati coming Friday pale Victoria siku ya band
 
Usiogope mkuu, pengine hauja pata mwenye amekupenda kwa dhati.
Mimi nilikua senior single dad, lakini nilipo mpata niliempenda nilijielekeza mwenyewe madhabahuni ingawa pale mwanzo changamoto za hapana pale zilijitokeza kwasana.
Lakini badae bidada alinielewa na leo tunaishi kwa raha na amani tele....
 
Hahaha!

Jirani huyoo mmoja kiukweli ndio ananichanganya natamani apate mdogo wake sema nakua naka uoga fulani!

Jirani itabidi tukae chini unipe muongozo Mkuu!
Nyie ni wale wale wanaume ambao chochote kinachomtokea mtoto unamlaumu mama wa kambo
Why usiblame kifo kwa kumchukua mama yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unaacha kuoa kisa kuogopa mwanao hatopendwa ? Kwani ni kosa la nani?
Ndo maana sipendi masingle father.kwaninj uishi kwa kujihisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kwamba naacha kuoa,hilo suala halikwepeki,kuoa lazima nioe

Jambo la msingi ni unamuoa nani?siyo kila mwanamke anauwezo wa kuishi na kulea mtoto ambaye siyo wake na kumtreat kama wake,ukizingatia mtoto mwenyewe bado mdogo!
 
Hii mijadala inabidi uassume kua mwanaume na mwanamke wako sawa kwenye Kila kitu ndio unaweza kuchangia.
Kwa tunaoamini mfumo dume this is an insult kujadili.
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwanaume unanifurahishaga misimamo yako, hubadiliki.
 
Nyie ni wale wale wanaume ambao chochote kinachomtokea mtoto unamlaumu mama wa kambo
Why usiblame kifo kwa kumchukua mama yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko unapofika ni mbali Mkuu!sina haja ya kublame kifo!

Point yangu ya msingi ni kumpata mwanamke ambaye atamchukulia mwanangu na kumpenda kama mwanaye!

Na sina haraka kabisa katika hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…