Lets tak about SINGLE FATHERS...

Aaa hili povu nitakunyima kuchimba maji we mwanaume.
 
Sasa mbona ndoa ni ya mke na mume mmoja...
Naelewa mfumo dume ni wa Mungu mwenyewee
Wanawake wanaibia tuu kuwakalia kichwani lol
 
Nakuambia mwanaume mpaka akutelekezee mtoto unakuwa umemzingua Sana.
Wapo lakini sio wa kusema wametelekeza watoto.
Tunaendelea kulea huko waliko na mama zao sema huwa hatutangazi ndio maana maneno ya wanawake ndio yanasikika wakilalamika.
Na wanawake wengi wanakataa kuwaachia watoto kwa baba zao ili wawe daraja la kumsumbua huyo mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kibongo bongo SINGLE MOTHERS NDIO KIKI, SINGLE FATHERS AINT A BIG DEAL.....
 
Ukitaka mke akusaidie majukumu yako ndio mnaanza kusumbuana.
Kilichobadilika kwa wanawake Ni kusoma tu.
Lakini bado Ni wale wale.
Tunawaoa
Tunatunza familia nk.
Labda wanaume ambao wamehamia upande wa wanawake.
Ndio maana unakuta mwanauna anaongelea kitu na kutetea side ya ke.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume hazai madam, get your facts straight.
 
Afadhali Leo wamekumbukwa Hawa masingle father tena Hawa ndo wakaumiwa wanapooponda masingle Maza wakati Ni wao wamezaa hapa na pale
.
Kikubwa Ni kujali watoto mliozaa huko
Japo wengi wao mishipa ya haya ilishakatika wanajikausha tu Wala hawajali.Ngoja historia Ya Baba wa Diamond ijirudie
 
Tofauti ya mwanamume na mwanamke inakiwa wazi kwa thread kama hii. Mwanamume analalamikiwa kutotoa matunzo, mwanamke anaonywa kutozaa nje ya ndoa!!
 
POLE MKUU,ila nawewe inabidi hapo umpate single mom labda inaweza kupunguza makali..
 
Mkuu tuko wote. Isikupe tabu tafuta pesa utaishi vizuri na mwanao
 
Single father uwe na hela tu na umpende na kumjali mwanao. Basi.
 
Tit for tat [emoji48][emoji43][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…