Level ya awareness ambayo inaendelelea kuwa katika jamii ya vijana wa kiafrika inatia moyo sana, it will take time although

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Kuna wakati watu weusi walijua sababu za tabu zao ni kwa maana wao ni kizazi cha laana na unyonyaji wa wazungu.

Bado sehemu kubwa ya jamii ya kiafrika inajua dini ndio mkombozi wa uduni wao.

Leo ndio vijana wanakuja kuelewa kuwa mzungu aliwatawala sio kwa sababu ya unyonge wao bali utengano na fikra finyu zao.

Leo ndio vijana wanakuja kuelewa aliowaletea dini alifanya babu yake kuwa mtumwa na ndugu ya babu yake kumhasi ilia asitengeneze kizazi ila ndio huyo leo anampa maelekezo namna ya kuishi na yupi wa kumchukia. 😁

Its simple mzungu ali-exercise fikra kusolve vitu vya kushikika na kuonekana kwa kubuni mbinu za uhalisia ila sisi tukafanya vice versa hadi hii leo 2026

Its like this,

Hakuna anaekuja kukuokoa na heka heka zako.

Acha udini.

Acha ushirikina

Najua hauwezi soma vitabu basi pitia accounts za awareness nyingi mitandaoni.

Jasusi cohen
 
Kuna wakati watu weusi walijua sababu za tabu zao ni kwa maana wao ni kizazi cha laana na unyonyaji wa wazungu.

Bado sehemu kubwa ya jamii ya kiafrika inajua dini ndio mkombozi wa uduni wao.

Leo ndio vijana wanakuja kuelewa kuwa mzungu aliwatawala sio kwa sababu ya unyonge wao bali utengano na fikra finyu zao.

Leo ndio vijana wanakuja kuelewa aliowaletea dini alifanya babu yake kuwa mtumwa na ndugu ya babu yake kumhasi ilia asitengeneze kizazi ila ndio huyo leo anampa maelekezo namna ya kuishi na yupi wa kumchukia. [emoji16]

Its simple mzungu ali-exercise fikra kusolve vitu vya kushikika na kuonekana kwa kubuni mbinu za uhalisia ila sisi tukafanya vice versa hadi hii leo 2026

Its like this,

Hakuna anaekuja kukuokoa na heka heka zako.

Acha udini.

Acha ushirikina

Najua hauwezi soma vitabu basi pitia accounts za awareness nyingi mitandaoni.

Jasusi cohen
Hasa vijana wa kitanzania wemepata Amasa kupita kiasi zamani Tanzania ilikua anajulikana kama "the sick man of East Africa'
Dini haina hatari, hatari inakuja kwenye wanao ipokea bila reasoning and logic, mtu unakubali kukesha kanisani eti uombewe upate gari wakati kazi yenyewe huna thats madness
 
Dini zimeanza kupoteza mvuto na maana.

Ndio mana kobazi 99% ya mahubiri yao ni adhabu ya kaburi na kuchukia wasio kobazi ili kujitenga na kuendelea kuwatia hofu waumini wao wasiache imani yao ya hovyo...ila bado kasi ya watu kupuuzia dini inazidi kuongezrka.
 
💯💯💯💯 Hakika
 
Back
Top Bottom