Aliekwambia ukanunue mliman city Nani?
bei unayouza saivi ndio bei ya mpya k.koo,wewe huko m city ulienda mtafuta nani?
Mlimani city ndo reference point?Ruksa nenda kanunue karaoke boss, Kila mtu ana test yake.
Ila huwezi Kupata original LG smart tv 43 kwa chini ya 1.200.000.
Hii hapa chini ni bei ya Jana Mlimani city 19/11View attachment 1630697
Mkuu naheshimu mfuko wako na preferences zako. My point is, wewe kununua product mlimani city kwa bei fulani siyo kwamba hiyo bei ndo yenyewe. Unaweza kupata the same product, the same quality at a cheaper price sehemu nyingine. Usijifunge kwamba vya mlimani city pekee ndo vizuri na bora.Brother ruksa kanunue popote original model ya 2019 kwa bei chini ya hiyo. Sio lazima Mlimani City
KapigwaLG 43” unalipaje 1.3M, kweli nchi hii ni tajiri!
TV LG fake?Brother Uko sahihi sana, kuna vitu viwili huwa nazingatia kabla ya kununua bidhaa.
Kwanza nafanya window shopping kuangalia tofauti ya bei.
Pili naangalia sehemu ya kununua products ambako ni hustle free especially km ni fake na warrant.
Before sijanunua hii tv nilienda Nkrumah street kwa Mo ambae ni supplies was hizi tv zote, nilikuta bei ni 1.300.000. Nikaenda kariakoo nikazunguka nikakuta mpaka 750.000 wanauza nikagundua ni fake.
Nikaenda Mlimani city nikanunua kwa bei ya kwa MO.
The reason ni kuwa jamaa walinipa na warrant plus wana service center
Umepigwa.Ruksa nenda kanunue karaoke boss, Kila mtu ana test yake.
Ila huwezi Kupata original LG smart tv 43 kwa chini ya 1.200.000.
Hii hapa chini ni bei ya Jana Mlimani city 19/11View attachment 1630697
Mie nnayo LG smart inch 55 na nilinunua kariakoo na niko nayo mwaka wa pili sasa na ni kitu Original mkuu, kariakoo sio kila kitu ni fake bra.Brother Uko sahihi sana, kuna vitu viwili huwa nazingatia kabla ya kununua bidhaa.