TV4Sale LG TV inch 43 mpya inauzwa

TV4Sale LG TV inch 43 mpya inauzwa

Unaongea ujinga, nenda kathibitishe ndipo uandike. Usiropoke vitu usivyovijua, na hicho kilichowekwa hapo ni nn?

Hakuna LG TVhapo, usipotoshwe na hilo karatasi uchwara.... kubali umeshikwa na ufiche ujinga wako ili kesho uwe makini.
 
Wakuu salam, nauza tv yangu mpya brand LG size 43 model ya 2019, ni tv ya kisasa sana, Ina features zote mhimu km internet, Netflix, YouTube na nyingine Nyingi km zilivyo tv za kisasa.

Tv nilinunua mwaka huu kwa 1.300.000
Bei ya sasa Dukani ni 1.250.000 hii ni bei ya Mlimani city.
Bei ni 850.000.

Nauza sababu nimenunua kubwa zaidi ya hii.
Kwa anaehitaji nicheck pm au call 0764931111

View attachment 1630639
View attachment 1630641
Ni ipi sasa unayouza kati ya hizo?
 
Back
Top Bottom