Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,936
- 4,947
hivi TV size ya mwisho inch ngapi
Size ya mwisho kwa ukubwa au undogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi TV size ya mwisho inch ngapi
ukubwa mzeeSize ya mwisho kwa ukubwa au undogo?
ukubwa mzee
mkuu wewe unaona tv ngapi kwenye picha alizoweka mtoa mada?Nitarudi!
Naomba kuuliza ambao hamtumiii miwani,mimi natumia mikwahiyo sina uhakika sana nakuona kwangu hili tangazo lina picha za tv inauzwa TV ni mbili au ni moja? mimi naona tv ziko mbili tofauti huyu jamaa anauza tv ipi kati ya hizi kwenye picha?
DeepPond
Saint Ivuga
King Kong III
Extrovert
aldeo
ndugu zanguni angalieni picha za mwenye uzi zipo tv mbili au ni moja? mimi naona tv zipo mbili wenzangu nyie mnaona tv ngapi kwenye picha?
Kweli TV zipo mbili ila naona anayouza ni LG ,hiyo nyingine sijui ameweka kimakosa au nayo anauza?Naomba kuuliza ambao hamtumiii miwani,mimi natumia mikwahiyo sina uhakika sana nakuona kwangu hili tangazo lina picha za tv inauzwa TV ni mbili au ni moja? mimi naona tv ziko mbili tofauti huyu jamaa anauza tv ipi kati ya hizi kwenye picha?
DeepPond
Saint Ivuga
King Kong III
Extrovert
aldeo
ndugu zanguni angalieni picha za mwenye uzi zipo tv mbili au ni moja? mimi naona tv zipo mbili wenzangu nyie mnaona tv ngapi kwenye picha?
Acha matusi mkuu, wewe unaona picha ulizoweka ni za tv moja?Unasumbuliwa na ujuha, wivu na Roho mbaya ya kimasikini.
Tv Iko moja na Iko nyumbani kwangu naitumia hat leo
Hii ni von au siku hizi kampuni ya von na lg wameungana??Ruksa nenda kanunue karaoke boss, Kila mtu ana test yake.
Ila huwezi Kupata original LG smart tv 43 kwa chini ya 1.200.000.
Hii hapa chini ni bei ya Jana Mlimani city 19/11View attachment 1630697
Mjinga ni nani sasa kati yako na wanaokuelewesha, unapigia debe lg, unatupa reference ya von, wapi na wapi dada.Ruksa nenda kanunue karaoke boss, Kila mtu ana test yake.
Ila huwezi Kupata original LG smart tv 43 kwa chini ya 1.200.000.
Hii hapa chini ni bei ya Jana Mlimani city 19/11View attachment 1630697
nimeamini wewe mwezi mchanga bado unasema tv ipo moja kwenye hizo picha ulizoweka? dalali mungu anakuona wenzako madalali hawauzagi tv wanauza vitakueleweka na ikitokea wakawa wanauza tv hawaongezi chajuu kama ulichoongeza wewe hadi unashtukiwa,halafu turudi kwenye uhalisia kwanza unakubali wewe ni dalali au haukubali? sema kwanza kaka dalali unakubali au unakataa wewe sio dalali,ole wako useme unafanya kazi BOT nakutukana nipewe ban.Unasumbuliwa na ujuha, wivu na Roho mbaya ya kimasikini.
Tv Iko moja na Iko nyumbani kwangu naitumia hat leo
nimeamini wewe mwezi mchanga bado unasema tv ipo moja kwenye hizo picha ulizoweka? dalali mungu anakuona wenzako madalali hawauzagi tv wanauza vitakueleweka na ikitokea wakawa wanauza tv hawaongezi chajuu kama ulichoongeza wewe hadi unashtukiwa,halafu turudi kwenye uhalisia kwanza unakubali wewe ni dalali au haukubali? sema kwanza kaka dalali unakubali au unakataa wewe sio dalali,ole wako useme unafanya kazi BOT nakutukana nipewe ban.
TV bado ipo?
Sijawahi kuona tangazo likishambuliwa kama hili, naendelea kujifunza.
LG 43” unalipaje 1.3M, kweli nchi hii ni tajiri!
Duka la VON Mlimani cityhilo. Hiyo picha sio tv yangu ni bei nimeweka ya juzi Mlimani city kwa tv hii ya kwangu.angalia vizuri utaona tv ni LG,