BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,252
- Thread starter
- #21
Kuwa mkweli,haiingii akilini ununue TV then fasta unaibadilisha,maana ulikuwa na ndoto muda mrefu wa kununua LG 43" iweje ghafla ubadili maamuzi? Kama sio nzuri si vizuri kumpa msala mwenzako.
Aliekwambia ghafla ni nani?[emoji2379]