We n mshamba Sana ndugu yangu Kwanza nikwambie hyo tv unayoita LG original hakuna original hyo n designed for African market ambapo ukienda China Kuna mtu kapewa leseni ya kutoa kitu grade 1,2 mpaka 3 hvyo hvyo hata kwenye vifaa vidogo vidogo ukitaka ufurahie maisha nunua kitu quality kwabei ndogo.
Hyo survey yako na akili ya kuamini kuwa ukiwa ghali ndo yenyewe hyi imekula kwako Bora iwe the same product at the same shop but different in price hapo ndo ujiulize mbona hivi Sasa wewe unaenda mliman city pale pako targeted kuwauzia watu wenye kipato Cha juu pia Kodi na kumuhudumia mfanyakazi n gharama hvyo lazima Bei iwe juu.
Huyo unaesema n dealer yeye n mfanyabiashara anajua na anaelewa jinsi ya kumake super profit anatoa order kwenye kampuni PC's 1000 anaeenda market popote pale anapopajua anachukua PC's 3000 kitu kulekule kila kitu kwenye display inawekwa ile ambayo ipo authorised na kampuni store ambayo utapewa wewe unakuwa n ile kutoka kwenye soko la kawaida.
Mliman City baa yoyote ile bia locally n kuanzia 3000-5000 mfano Kilimanjaro lakini bia hyo hyo ukivuka barabara ukiwa unasubiri gari uelekee mawasiliano bia Ile Ile kila kitu kilekile unauziwa 1500.
Jiulize Y?
Kila sehemu ipo targeted na mteja husika mliman city n kwa watu wenye kipato mikubwa mzee