Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kina nani walikuwa hawamtaki?Mtu mwenyewe kaupata urais wakiwa hawamtaki. Badala ya kwenda vizuri sasa anataka kunasa kwenye mtego
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina nani walikuwa hawamtaki?Mtu mwenyewe kaupata urais wakiwa hawamtaki. Badala ya kwenda vizuri sasa anataka kunasa kwenye mtego
Hizi ni hatua za mwisho mwisho za kumalizana na udikiteta duniani. Hakuna Dikteta atabaki salama.
Vurugu gani zilizofanywa na Mbowe?Rais ameapa kulinda Amani na utulivu wa nchi hii na endapo akitokea mtu au watu wanaleta au kutishia Amani ya nchi lazima wachukuliwe hatu za kisheria, haijalishi ni kiongozi wa kisiasa au kiongozi wa kidini.
Mbowe na genge lake hako juu ya sheria, huwezi kusema eti yeye akifanya makosa basi aachwe tu.
Mbowe na viongozi wenzake wanachochea na kuhamasisha vurugu, hata ange kuwa marekani lazima angekamatwa na kufunguliwa mashitaka
Huna akilikinacho takiwa ni kwa Viongozi wa Chadema wafuate na kuheshimu sheria za nchi, wasijaribu kudharau mamlaka iliyopo, wakiheshimu sheria hakuna atakaye wasumbua ila wakiamua kuvunja sheria za nchi kwa makusudi hakuna atakaye wavumilia.
Amani ya nchi yetu ni muhimu kuliko Mbowe na wenzake.
You got it wrongly,international communities have the obligations to intervene into other state's affairs if HRs are violated by that state.The principle of non-interference is that sovereign states shall not intervene in each other’s internal affairs. It is the general principle of contemporary international law that the non-interference in each other’s internal affairs is based on the respect for states’ sovereignty and territorial integration, which governs the relations between states in regard to their rights and obligations. It has been established as the general principle of international law or customary law in compliance with the purposes and principles of the UN Charter
Ile dua inampata yeyote sio rais tu ndio maana umeona ndugu yake Mbowe sio rais ila dua imempata nae kafa kwa corona kama Jiwe.Alikuwa Rais wa wapi
You got it wrongly,international communities have the obligations to intervene into other state's affairs if HRs are violated by that state.
There are numbers of examples in which international community interventions were obviously done,eg. Middle East,Afghanistan,Libya,etc. WE TANZANIANS ARE NOT EXCEPTIONAL.
Westerners set those rules and they know how to go around and play with,wait and see.
*just cogens✔️,jus cogence❌Only peremptory norms or jus cogence
😡Mbowe na genge lake wanataka kutu haribia Amani ya nchi yetu.
IdiotMbowe na genge lake wanataka kutu haribia Amani ya nchi yetu.
Ujinga ndio Kinga yenuRais ameapa kulinda Amani na utulivu wa nchi hii na endapo akitokea mtu au watu wanaleta au kutishia Amani ya nchi lazima wachukuliwe hatu za kisheria, haijalishi ni kiongozi wa kisiasa au kiongozi wa kidini.
Mbowe na genge lake hako juu ya sheria, huwezi kusema eti yeye akifanya makosa basi aachwe tu.
Mbowe na viongozi wenzake wanachochea na kuhamasisha vurugu, hata ange kuwa marekani lazima angekamatwa na kufunguliwa mashitaka.
SHERIA NI MSUMENO.
tusiwe wanafiki, alipo kamatwa DC sabaya tulishangilia kuwa sasa sheria inafuatwa, sasa amekamatwa Mbowe tunaona sheria haifuatwi!! jamani tuache vyombo vyetu vifanye kazi zake bila kuungiliwa au kushinikizwa.
kwa nn sheria ionekane kwa Sabaya tu na sio kwa Mbowe? tuache unafiki.
kama Mbowe anamakosa atafikishwa mahakamani kama walivyo wengine, tujifunze kuheshimu utawala wa sheria.
Mwendazake ni tawi la CCMni mwendazake au nasema uongo[emoji16][emoji16][emoji16]
Labda wao Amnesty wanaweza kufanikiwa. ukishangaa inakuwa yale yale ya Mashehe.View attachment 1863353
Mbowe pamoja na wenzake 11 kutoka chama cha Chadema walikamatwa na polisi usiku wa kuamkia Jumatano jijini Mwanza.
Mashirika yanayotetea haki za binadamu yameikosoa vikali hatua ya Jeshi la Polisini nchini Tanzania ya kuwakamata baadha ya viongozi wa chama cha upinzani nchini humo Chadema.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania na shirika kimataifa la Amnesty International ni miongoni mwa waliojitokeza na kupinga hatua hiyo.
Kwa upande wake, Amnesty International imeitaka serikali kusitisha mara moja kile ilichokiita kuendelea kudhibitiwa kwa upinzani nchini Tanzania.
Wito huu uliotolewa na mashirika haya, unakuja baada ya viongozi na wanachama kumi na mbili akiwemo kiongozi mkuu wa Chadema Freeman Mbowe kutiwa mbaroni huko jijini Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 21 mwezi Julai.
Mbali na kukamatwa kwa viongozi hao, polisi pia iliweka doria katika moja wapo ya hoteli ambayo kulipangwa kufanyika kongamano kubwa lililopanga kujadili madai ya katiba mpya.
![]()
Chadema wanashinikiza mchakato wa katiba mpya licha ya Rais Samia kutangaza kuwa si kipaumbele chake kwa sasa
Mbowe ahojiwa Dar es Salaam
Kwa upande wake, chama cha upinzani Chadema, kimesema mwenyekiti wake Freeman Mbowe hatimaye amefikishwa katika kituo kikuu cha polisi jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa katika ukurasa wa twitter wa chama hicho, imesema Freeman Mbowe "amepelekwa katika kituo kikuu cha polisi jijini Dar es Salaam baada ya polisi kufanya upekuzi nyumbani kwake na kuchukua laptop yake pamoja ya tablets za watoto."
Wakati huohuo, jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limethibitisha kumshikiliaMbowe kwa mahojiano.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amewaambia wanahabari kuwa Mbowe alitiwa mbaroni alfajiri ya kuamkia jana Jumatano Julai 21 katika hoteli aliyofikia.
"Baada ya kumkamata, wenzetu wa Dar es Salaam nao walitueleza kuwa wanamtafuta kwa makosa mengine anayodaiwa kuyafanya huko; hivyo tulimsafirisha kwenda Dar es Salaam anakoendelea kuhojiwa," amesema Kamanda Ng'anzi.
Mbowe anatarajiwa kurejeshwa Mwanza baada ya mahojiano ili aunganishwe na wenzake 15 wanaoshikoliwa kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa na jeshi hilo jana.
Kauli za hivi karibuni za Bw Mbowe
![]()
CHANZO CHA PICHA,CHADEMA
Mwanzoni mwa wiki hii kiongozi wa Chadema Freeman Mbowe alifanya mkutano na waandishi wa habari ambapo alilalamikia kukamatwa kwa wafuasi wa chama hicho na polisi, pamoja na suala la mabadiliko ya katiba.
Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, CHADEMA kimesema hakitaendelea kumpigia magoti Rais wa nchi hiyo, Samia Hassan Suluhu kuhusu mustakabali wa taifa hilo, Bw Mbowe aliwaambia waandishi wa habari hivi Jumatatu.
Mwenyekititi huyo wa CHADEMA, aliyasema hayo kufuatia Jeshi la Polisi la nchi hiyo kuwakamata viongozi, wanachama wa chama hicho pamoja na viongozi wa dini 38 waliokuwa wahudhurie mkutano wa chama hicho kupitia baraza lake la vijana (BAVICHA) wenye lengo la kuhamasisha kupatikana kwa katiba mpya ya nchi hiyo.
Mara baada ya kuingia madarakani mwezi Machi mwaka huu, Rais Samia alitangazia umma dhamira yake ya kukutana na wapinzani ili kuzungumzia maswala mbalimbali ikiwemo ya kisiasa na namna gani ya kuendesha shughuli za siasa.
Licha ya kukutana na makundi mengine kama vijana, wazee na wanawake mpaka sasa Rais Samia hajakutaa na wapinzani. ''Hatuwezi kuendelea na ule utaratibu wa zamani, tuna haki ya kukutana tunakamatwa, tunapigwa, tunashitakiwa, tunasoteshwa mahakamani miaka miwili miaka mitatu, kisha tunaachiwa huru, ama tunahukumiwa vifungo batili tukikata rufaa sote tunashinda', alisema Mbowe
Pamoja na polisi kuzuia mkutano huo uliokua ufanyika kwenye ukumbi wa Hotel ya Boma wiki hii na kukamata watu hao 38, Kiongozi huyo wa Upinzani alisema, mkutano upo pale pale na utafanyika wiki hii na kama kukamatwa wako tayari kukamatwa wote.
Kama wanataka kuwaweka ndani wanachadema kwenye hoja hii ya katiba, wapanue kwanza na magereza, kwa sababu tuko tayari wote tuwekwe ndani , na wala hatutaomba dhamana' alisema Mbowe kabla ya kulaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mwanza, kuwakamata viongozi wa dini na wafuasi wa chama hicho .
Chanzo: BBC Swahili
Na anachokikosea anatesa wakristo tena watanzania bara wakati ni mzanzibar.Samia mpaka namuone huruma yani anguko lake litakuwa ni anguko la kijinga sana.
Huyu mama alikuwa na nafasi ya kunyamaza na kuachana na wakosoaji akafanya mambo yaliyo na maslahi kwa nchi angeua kabisa upinzani.
Ila hiki anachokifanya yaani atoamini yatakayomkuta
Subiri tamko la TEC ndio mtaelewa mfumo wa kutumia nguvu hauna kabisa nafasi katika dunia ya leo.