LHRC, Amnesty International wataka Mbowe aachiwe na uhuru wa kisiasa uheshimiwe Tanzania

The principle of non-interference is that sovereign states shall not intervene in each other’s internal affairs. It is the general principle of contemporary international law that the non-interference in each other’s internal affairs is based on the respect for states’ sovereignty and territorial integration, which governs the relations between states in regard to their rights and obligations. It has been established as the general principle of international law or customary law in compliance with the purposes and principles of the UN Charter
 
Mama anatengeneza maadui nje ya ccm na Tanzania wakati bado ana maadui kibao ndani ya ccm.
2025 for sure ccm watampiga chini. Akitaka akumbukwe na vizazi kwa vizazi atuachie katiba mpya
 
Vurugu gani zilizofanywa na Mbowe?

Sheria gani aliyovunja?

Una ubongo kichwani kweli?
 
Huna akili
 
Rais ameapa kulinda Amani na utulivu wa nchi hii na endapo akitokea mtu au watu wanaleta au kutishia Amani ya nchi lazima wachukuliwe hatu za kisheria, haijalishi ni kiongozi wa kisiasa au kiongozi wa kidini.
Mbowe na genge lake hako juu ya sheria, huwezi kusema eti yeye akifanya makosa basi aachwe tu.
Mbowe na viongozi wenzake wanachochea na kuhamasisha vurugu, hata ange kuwa marekani lazima angekamatwa na kufunguliwa mashitaka.
SHERIA NI MSUMENO.
tusiwe wanafiki, alipo kamatwa DC sabaya tulishangilia kuwa sasa sheria inafuatwa, sasa amekamatwa Mbowe tunaona sheria haifuatwi!! jamani tuache vyombo vyetu vifanye kazi zake bila kuungiliwa au kushinikizwa.
kwa nn sheria ionekane kwa Sabaya tu na sio kwa Mbowe? tuache unafiki.
kama Mbowe anamakosa atafikishwa mahakamani kama walivyo wengine, tujifunze kuheshimu utawala wa sheria.
 
You got it wrongly,international communities have the obligations to intervene into other state's affairs if HRs are violated by that state.

There are numbers of examples in which international community interventions were obviously done,eg. Middle East,Afghanistan,Libya,etc. WE TANZANIANS ARE NOT EXCEPTIONAL.

Westerners set those rules and they know how to go around and play with,wait and see.
 

Only peremptory norms or jus cogence
 
wataandamana kwenye mitandao.
tabu ya viongozi wetu wa chadema hawataki kubadilika, kipindi cha awamu ya tano walitulia tulii baada ya JPM kutoa amri japo ilipingwa vikali lkn Rais alisimamia.
sasa leo hii awamu ya 6 Rais katoa tamko kuwa kwa sasa katiba mpya tusubiri lkn viongozi wa chadema wamekaidi na kuendelea kuhamasisha maandamano na vurugu, sasa kweli waachwe tu wajifanyie wanavyo taka kanakwamba hii nchi haina Rais!!? hapana lazima.
 
na tunaomba Jeshi letu la polisi kwa kushirikiana wafanye uchunguzi wa kina na wa kitaalamu bila kufanya makosa wakamatwe wote amabao wapo ktk mtandao wa kuratibu na kupanga matukio ya kigaidi.wasibaki maana hao ni hatari sana kwa usalama wa Nchi yetu.
Amani ya nchi yetu ni Muhimu sana.
 
na tunaomba Jeshi letu la polisi kwa kushirikiana wafanye uchunguzi wa kina na wa kitaalamu bila kufanya makosa wakamatwe wote amabao wapo ktk mtandao wa kuratibu na kupanga matukio ya kigaidi.wasibaki maana hao ni hatari sana kwa usalama wa Ncho yetu
 
Ujinga ndio Kinga yenu
 
Labda wao Amnesty wanaweza kufanikiwa. ukishangaa inakuwa yale yale ya Mashehe.
 
Na anachokikosea anatesa wakristo tena watanzania bara wakati ni mzanzibar.

Ni ngumu sana kufanikiwa ukiwa umezungukwa na watu wenye fikra finyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…