UNAFIKI wa kujua hawana nguvu ya hoja hivyo nguvu yao ni kutumia dola ili kuwabambikia Watanzania kesi FAKE ili kuwanyamazisha katika madai ya HAKI, UHURU na USAWA.
Tofautisha serikali na Watanzania wote, unaweza kukuta serikali ndiyo ilibanwa kwa haya haya mambo ya kuoneana na rufaa ikienda kwenye hiyo mahakama, ambayo viongozi wetu hawawezi kuwaburuza basi shida inaanzia hapo.
Mkuu tuna Bunge lililoamua kuwa kitengo cha maccm. Hakikemei Serikali kwenye jambo lolote lile lenye maslahi makubwa kwa Taifa. Wapo wapo tu kujilipa mishahara mikubwa na marupurupu huku wakiwa hawafanyi lolote.