LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake

Ila wanawake wanajidhalilisha kwa kupost mitandaoni wanauza ngono ya aina zote mpaka kinyume cha maumbile, na wanaojipost nusu uchi waendelee tu kujipost! Hawajidhalilishi wala hawavunji sheria za nchi. Feminists hypocrisy
 
Memes zenye we anaandika kwa mafumbo... Msomaji ndonunatafsir mwenyewe... Mfno alivosema ukikuta mdada Ana VYUMBA viwil anapangisha Ingia vyote.. Sasa Hapo kamdhalilishaje?
 
Daaa hii tamu sana kwasie wapangaji wahovyo lazima tuingie kote
 
Back
Top Bottom