EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Sisi wa huku maeneo ya sijaona nangwanda hatumjui huyo osika osika .ndio nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoe onyo pia kwa wale wasanii wanaovaa madera.Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni
Kuna wanawake wanadharirisha utu wao na kudharirisha utu wawengine pia lakini hatujawahi kusikia wakisema lolote hawa nao sheria zao mpaka kwenye kurasa za watu bjnafsi? The cybercrime act na. 14 ya 2015 ibara ya 16 iko wazi kwanini mamlaka husika kama tcra hawajachukua hatua wao ni kina nani?Kwamba mwanamke afanye vitendo vya kujizalilisha yeye mwenyewe lakini anaevi-publish iwe kama funzo ashtakiwe!!!!?
Huyu mshamba sijui katokeaOscar siyo mwanahabari bali mpumbavu mmoja anayeniona sasa ameingia mjini! Hivyo anamdhalilisha mama yake mzazi!
Ko kaka inamanisha taasisi nzima inamsingizia taasisk nzima ya LHRC ina mawazo ya kingono yaani wew una IQ kubwa kuzid taassi nzima na watanzania ambao wanaona kabisa oscar kakosea anatakiwa akanywe ... ajue yey ni kioo watu wengi wanamfatilia wakubwa kwa watot wazee kwa vijana vikongwe na vining'ina broo set your mind to see how the world look nowdays ..... moral decay as a big problem now ... how future generation... okey ni mtazamo wako mayb kila mtu ana uhur wa maoni yake ko siwezi kukupingaSoma memes za Oscar zina maswali ya kawaida tu, wewe una mawazo yako ya kingono ngono ukakimbilia LHRC kwenda kureport watoe tamko kwa kosa lipi alilofanya Oscar? What's this?
Soma baadhi ya memes hapo juu alafu niokotee meme unayoona ni mbaya sana kwako imekuingilia faragha yako ukiwa km Mwanamke, what's this?
Kwanini asikamatwe na kufungwa au hata kunyongwa, kwanza ana faida gani na nchi yetu?Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni
LHRC imenukuu Ibara ya 12 ya Katiba ya Tanzania inayolinda heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa Utu wa Mtu na inapinga ubaguzi, Mkataba wa kupinga aina zote za Ubaguzi dhidi ya Wanawake pamoja na Ibara ya 4 ya Mkataba wa Maputo
Aidha, taarifa ya LHRC imetoa Onyo kwa mwanahabari huyo na kumtaka kuacha mara moja kuweka maudhui ya Udhalilishaji dhidi ya Wanawake ambayo yanafanya waonekane kama chombo cha starehe. Kinyume na hapo LHRC imesema itachukua hatua za Kisheria.
View attachment 2996904
Pia Soma: Mtangazaji Oscar Oscar anatumia mitandao kufunza, kueneza na kuchochea itikadi za uzinzi. Mamlaka husika mchukulieni hatua
Hatua ni kunyongwa tu tena hadharani au kifungo kisichozidi miaka 10 jela.Wakati mwingine watu kama Hawa inabidi wachukuliwe hatua Kisha onyo lifuate
Huu ni ujinga sasa kwani watu wengi wanamlalamikia huyu jamaa kwa kuvuka mipaka na hakuna kinachondelea, kwanini asisikishwe adabu tu, akamatwe na kupigwa miaka 14 jela au kunyongwa.......naunga mkono hoja ya Ndugu Mkereketwa_Huyu, kwani huyu chizi ana faida gani na taifa letu?Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni
LHRC imenukuu Ibara ya 12 ya Katiba ya Tanzania inayolinda heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa Utu wa Mtu na inapinga ubaguzi, Mkataba wa kupinga aina zote za Ubaguzi dhidi ya Wanawake pamoja na Ibara ya 4 ya Mkataba wa Maputo
Aidha, taarifa ya LHRC imetoa Onyo kwa mwanahabari huyo na kumtaka kuacha mara moja kuweka maudhui ya Udhalilishaji dhidi ya Wanawake ambayo yanafanya waonekane kama chombo cha starehe. Kinyume na hapo LHRC imesema itachukua hatua za Kisheria.
View attachment 2996904
Pia Soma: Mtangazaji Oscar Oscar anatumia mitandao kufunza, kueneza na kuchochea itikadi za uzinzi. Mamlaka husika mchukulieni hatua
Wangetetea kweli haki za wanyonge tungewaheshimuKituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni
LHRC imenukuu Ibara ya 12 ya Katiba ya Tanzania inayolinda heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa Utu wa Mtu na inapinga ubaguzi, Mkataba wa kupinga aina zote za Ubaguzi dhidi ya Wanawake pamoja na Ibara ya 4 ya Mkataba wa Maputo
Aidha, taarifa ya LHRC imetoa Onyo kwa mwanahabari huyo na kumtaka kuacha mara moja kuweka maudhui ya Udhalilishaji dhidi ya Wanawake ambayo yanafanya waonekane kama chombo cha starehe. Kinyume na hapo LHRC imesema itachukua hatua za Kisheria.
View attachment 2996904
Pia Soma: Mtangazaji Oscar Oscar anatumia mitandao kufunza, kueneza na kuchochea itikadi za uzinzi. Mamlaka husika mchukulieni hatua
Mahakama haiwezi kutafsiri Memes?Ni ngumu kutengeneza case ya maana kwa ushahidi wa "memes".
Ijapokua mshikaji anazingua sana.
Mfano memes ikisema ukipata demu hakikisha unaenda nae kwa mpalange!Mahakama haiwezi kutafsiri Memes?
Ku publish taarifa za udhalilishaji ni kosa kisheria hata kama ulichoki publish kina ukweli ndani yake.Kwamba mwanamke afanye vitendo vya kujizalilisha yeye mwenyewe lakini anaevi-publish iwe kama funzo ashtakiwe!!!!?
Yaani unaona kuna ugumu wa kukusanya ushahidi kupitia mitandao ya kijamii?Ni ngumu kutengeneza case ya maana kwa ushahidi wa "memes".
Ijapokua mshikaji anazingua sana.