LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake

LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake

We ulisikia Wapi memes zina level ya elimu? What's this? Nawe tafuta master's basi uandike memes zenye Akili tukuo

We ulisikia Wapi memes zina level ya elimu? What's this? Nawe tafuta master's basi uandike memes zenye Akili tukuone
Ko wew unaona haki kwa mtu kama yeye kufany huo ujinga tena kioo cha jamiii kuna maish ukishakuwa na level fulan au cheo fulan jamii inakumlik na kukuangalia unaachana navuo tu
 
Wangeanza kumchukulia hatua Kikwete kwanza aliyesema "ili ule lazima nawe uliwe"
Kisha akasema "Kikwete hii hachomoi nikauliza kwani nimechomeka nini?"
Ni ngumu sana kuunda kesi ya maana kwa memes au kauli kama hizo.
Mkuu Sean,

Asilimia kubwa baadhi yetu Watanzania ni watu wenye mawazo ya ngono.

Yaani hawataki kukubali kwamba lugha au maneno yanaweza kuwa na maana zaidi ya moja. Lakini wao wanalazimisha maana yao ili ku-justify madai yao.

Katika watu wote hapa wanaosema Oscar ni mdhalilishaji Embu mwambie mtu hata mmoja atuletee post ambayo amedhihaki au kukejeli jinsia ya kike.

Kama mtu kaamua kutoa tafsiri yake kichwani mwake sababu tu ni mtu aliyejaa mawazo ya ngono hiyo ni shida yake na sio ya Oscar.
 
Ni shida yao LHRC sio shida ya Oscar Oscar, say that again
 
Sioni tatizo,ukisoma comments za wanawake a raia kwa ujumla ni full vicheko. Haya makasiriko yanatoka wapi? Watu wana stress za maisha magumu na siasa za upinzani lazima ucheze kwa machale lasivyo utapotezwa. Kilichobaki ni raia kujifurahisha mitandaoni, upuuzi ndiyo huchekesha na kufurahisha watu.
 
Attachments

  • Screenshot_20240516_115203_Instagram.jpg
    Screenshot_20240516_115203_Instagram.jpg
    635.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240521_125416_Instagram.jpg
    Screenshot_20240521_125416_Instagram.jpg
    579.6 KB · Views: 1
passion_amo1 umeshaambiwa elewa neno njia, wewe unataka kusemaje hapo? What's this?

Chukua hilo swali kisha muulize mwanao wa Kindergarten anaesoma baby class uone atakavyokuumbua zeezima na midevu yako na jibu atakalokupa, mboni ameuliza swali la maana tu na lenye maana iliyowazi

Wewe ukikosea njia hua unafanyaje?
 
Ko mzee wew jakaya au wazir mkuu atoke na hizo meme kam za jamaa aanike mitandaoni alafu usimame kusem ni memes kwel wazungu wamefanikiwa pakubwa kuangamiza kizazi cha waafrica kimtizamo na kimawazo wamefuzu kuharib
Soma memes za Oscar zina maswali ya kawaida tu, wewe una mawazo yako ya kingono ngono ukakimbilia LHRC kwenda kureport watoe tamko kwa kosa lipi alilofanya Oscar? What's this?

Soma baadhi ya memes hapo juu alafu niokotee meme unayoona ni mbaya sana kwako imekuingilia faragha yako ukiwa km Mwanamke, what's this?
 
Huyo nae si mwehu tu,sijui hata aliyemwajiri anafkiri nini.
Jingajinga fulani,ushamba mwingi sana eti mtangazaji wakati hata houseboy hatakiwi kuwa.
Anaongea sana vitu vya kipumbavu tu.
 
Back
Top Bottom