Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

Nimekuelewa mkuu wangu, barikiwa sana namuombea mdogo wangu huyo (mwanao) apate matokeo mazuri ili asome kozi aipendayo.
Good day baba!
 
Jee, shida ni kuendelea mbele kwa watu waliodhihirisha wana uwezo kimasomo; au tushushe viwango kuruhusu wengi waendelee? Unazungumzia fani ya matibabu ya watu. Jee, turuhusu watu wanaokuwa kwenye 'borderline' kuja kushughulikia maisha ya mtu?
 
Hapana, kuna kozi za mambo kama maabara yasiwekwe huko kwenye C, DDD, EEE inatosha. MD hata wkifanya C and above, sawa, ajabu wamefanya DDD
 
1.8M is affordable, si wanalipa kwa installments? Hivi UDOM ushindani ukoje kwenye MD/Pharmacy? kama una taarifa
Ushindani ni wa juu..wanafunzi saivi wa PCB ni wengi na intake ya vyuo ni chache..

Udom hamna Bpharm.
 
1.8M is affordable, si wanalipa kwa installments? Hivi UDOM ushindani ukoje kwenye MD/Pharmacy? kama una taarifa
Ndio wanalipa kwa awamu.

MD ushindani wake sio mbaya, Pharmacy ipo hadi ngazi ya Diploma.

Ngazi ya Degree kuna tetesi nasikia wako kwenye mpango wa kuianzisha
 
Nashangaa kupata A, B or C ya biology na chemistry A level.
 
Ok vema asante, sijakuelewa, vyuo vingine mbwembwe kwa vipi? MUhas, Bugando KCMC ndiyo mbwembwe?
Nimesema hivi
Vyuo vyote vya health and allied sciences vilivyopo nchini kwa ujumla wake....ni Muhas na Ifakara tu wapo vizuri hao waliobaki ndo hivyo tena.
 
C siyo rahisi, mwka jana kweli mtihani ulikuwa rahisi maana mwenye BBC ya PCB walikosa kwenda MD Muhimbili. Lkn katika hali ya kawaida, C siyo ndogo
Jambo la msingi ni ushindani wala siyo hiyo C.

Ikitokea watu wengi hawajapata hiyo C then wenye D watapata nafasi.

Lakini ikitokea watu wengi wamefumua A na B maana yake hata wewe mwenye C hutapata nafasi.
 
Jambo la msingi ni ushindani wala siyo hiyo C.

Ikitokea watu wengi hawajapa hiyo C then wenye D watapata nafasi.

Lakini ikitokea watu wengi wamefumua A na B maana yake hata wewe mwenye C hutapata nafasi.
hatujapishana.. you are absolutely right. Lakini kwa A evel , C siyo alama ndogo, standard exams tulizozizoea huko nyuma, wachache sana walikuwa wanapata hizo marks. Ngoja tuone mwaka huu maana Jiwe alikuwa analazimisha shule za Kata zipendelewe, sasa ni haki bin haki. Let us wait and see
 
Jiwe ndo nani?
 
Mimi naona wangechukua watu wanaopata kuanzia 90 kuendeea ili kupunguza vilaza jamii ya wataalamu tulionao siku hizi hasa wanaojenga mashine za nyungu muhimbili
 
Liangaliwe kwa kina sanaaaaaaaaa

Ova...!!!
 
Never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…