Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Nimekuelewa mkuu wangu, barikiwa sana namuombea mdogo wangu huyo (mwanao) apate matokeo mazuri ili asome kozi aipendayo.matokeo bado. hivyo suala la kukosa bado. Nilisema kuwa huko nyuma, 70, 80, 90s kuwa miaka ile kupata A,B kwenye PCB/PCM haikuwa rahisi. Lakini miaka ya Jiwe imekuwa rahisi. Na maadamu Jiwe hayupo kushinikiza shule za kata ziangaliwe, watafeli wengi kwenda health related courses kwa C ya 60-69. Point yangu ni hiyo. Ningependa kijana aende computer science, siku hizi haya ma IT yanalipa kama uko vizuri
Kumbbuka na watoto siku hizi ni lazy a bit... Mimi nimesoma miaka ya mwisho ya 70s A level...
Good day baba!