Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

Dogo akapata wapi baada ya hapo?
Dogo nilimuombea MUHAS tu kwa round ya kwanza maana nilijua lazima apate kulingana na ufaulu wake, lakini yakawa tofauti.

Round ya pili nilimuombea KCMC, Bugando na UDOM. Akaja kubahatika KCMC na UDOM, tukaamua aende Udom ingawa alichagulia Nursing ili baadae akabadili iwe MD.

Uamuzi wa kumpeleka Udom tulizingatia uwezo wa Kumhudumia/kumsomesha maana chance ya kupata mkopo ilikuwa ndogo sababu alisoma private.

Wazo la kubadili kozi kwenda MD lilifanikiwa na hakupata mkopo, kwa hiyo sasa anasoma kwa sisi kujichanga tu.
 
nchi yetu mifumo ya elimu na hata selection ni mibovu sana. kama tunataka kwakumuka hapo ni lazima kufumua msingi wa elimu yetu ujengwe upya, tofauti na hapo tutaendelee na mdundo huu huu paka mwisho wa dahali [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio hivyo mkuu ni majanga tu
 
Dogo nilimuombea MUHAS tu kwa round ya kwanza maana nilijua lazima apate kulingana na ufaulu wake, lakini yakawa tofauti.

Round ya pili nilimuombea KCMC, Bugando na UDOM. Akaja kubahatika KCMC na UDOM, tukaamua aende Udom ingawa alichagulia Nursing ili baadae akabadili iwe MD.

Uamuzi wa kumpeleka Udom tulizingatia uwezo wa Kumhudumia/kumsomesha maana chance ya kupata mkopo ilikuwa ndogo sababu alisoma private.

Wazo la kubadili kozi kwenda MD lilifanikiwa na hakupata mkopo, kwa hiyo sasa anasoma kwa sisi kujichanga tu.
Sema UDOM tuition fee sio mbaya sana..ingekuwa ni kina Hubert Kairuki wa 6.7m kwa mwaka ingekuwa sio poa bila Heslb.

Anyway,dogo ale shule.
 
Mkuu tunarudi pale pale, walimu wanao tunga (kukopi) si ni hao waliosoma kipindi hakuna standardization. Mfumo wa elimu wa tanzania umeoza from the msingi, unahitaji kufumiliwa wote.. elimu inaweza ikawa nyepesi sana na ikatoa watu quality na wenye tija sana. Nilishafanya exam moja nje ya nchi.. ni kama kunya maji.. hata pepar yao ila ukitoka hapo wewe hapo ni wa moto.. sie shida ipo kwenye mfumo mchafu..
Hao wa kubadilisha mfumo inabidi wapatikane sasa hata kama mamentor wao ni hao wa zamani.

Kimsingi tupate watu wakureason zaidi na kuja na solutions fasta fasta.sisi wengine tumeshindwa
 
Shule ni Nyepesi Siku hizi....Watu wanapiga A tatu......Enzi hizo bwana Unasikia Tanzania nzima hakuna A kuna B mbili tu Tanzania nzima waliobaki makalai na D......Sijui nini Kimetokea. Mitoto imekuwa na akili sana au...
 
Mkuu sasa unataka tanzania izalishe madaktari wa UPE?
Basi na ikae hivyo. Nami madaktari wa UPE siwataki.
👉Hakuna advance ya kata,
👉. Kwa advance shule za private huwa ni wakawaida Sana Bora govt,
👉wewe sio wa kwanza kuwekewa hizo grades
👉health related programs unaweza soma
👉Ila Kama una c moja ya chemistry na una d za masomo mengine sahau kuhusu uuguzi katika ngaz ya degree
👉Af acha kukariri maisha elimu ya bongo haikufikishi kwenye ndoto zako Ila inakupangia(mfumo na ubora wa matokeo )
👉Kuna course Bora kuliko course za afya
👉 Not to play the game doesn't mean that u can't change the score
👉
Umekwenda nje ya context yangu. Sijaongelea mafanikio ya maisha kuwa na grades kubwa etc. Kwaheri.
 
Mwaka 2018 waliowahi kufanya application ndio waliochaguliwa.

Dogo alikosa kisa alichelewa kuapply, alikuwa na BBC.

Nilipoenda kuulizia kisa cha kukosa ndipo nikajuzwa hivyo
Kuna kijana Marian boys alipata BBC akakosa Muhimbili (mwaka jana),.... sikuamini
 
Shule ni Nyepesi Siku hizi....Watu wanapiga A tatu......Enzi hizo bwana Unasikia Tanzania nzima hakuna A kuna B mbili tu Tanzania nzima waliobaki makalai na D......Sijui nini Kimetokea. Mitoto imekuwa na akili sana au...
Nyenzo za usomaji zimekuwa rahisi sana, simu kuna laptop kuna google.. tofauti na zamani
 
Serikalini MD ni 1.8M

Dogo yupo mwaka 3 ligi inaendelea kusonga mbele tu.

Dogo hatahangaika na deni lolote la HESLB kama mimi hapa
1.8M is affordable, si wanalipa kwa installments? Hivi UDOM ushindani ukoje kwenye MD/Pharmacy? kama una taarifa
 
Kuna comment yako moja humu mkuu ulikuwa unawakandia watoto wanaomaliza form six kwamba mitihani yao siku hizi rahisi ingekua nyie kipindi hicho mngepiga A zote za science, nashangaa leo unalalamika kuhusu C.
Ninaguess kuwa mwanao kakosa hiyo C so imekutoch na lengo lako mwanao akasome health releted courses.
Uongo au kweli mkuu wangu Retired
 
Ninaguess kuwa mwanao kakosa hiyo C
matokeo bado. hivyo suala la kukosa bado. Nilisema kuwa huko nyuma, 70, 80, 90s kuwa miaka ile kupata A,B kwenye PCB/PCM haikuwa rahisi. Lakini miaka ya Jiwe imekuwa rahisi. Na maadamu Jiwe hayupo kushinikiza shule za kata ziangaliwe, watafeli wengi kwenda health related courses kwa C ya 60-69. Point yangu ni hiyo. Ningependa kijana aende computer science, siku hizi haya ma IT yanalipa kama uko vizuri
Kumbbuka na watoto siku hizi ni lazy a bit... Mimi nimesoma miaka ya mwisho ya 70s A level...
 
Back
Top Bottom