Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

hakuna siku hata moja mzungu aliipenda africa kila afanyacho ana maslahi nacho wameshatuzidi akili wale sasa tukiwasikiliza chadema ambao wamejichimbia ulaya wanashawishiwa uroho wao wa madaraka ndiyo utaliingiza taifa katika machafuko
 
Yaani mpaka Marekani waje ndiyo mseme hivi, ninyi watu wa ajabu kufanya mazungumzo mpaka tuambiwe na Wamarekani?
 
kuna siku itafika tu huu ujinga wa wanasiasa na police utafika kikomo cjui mataga wataweka wapi sura zao cku hyo....cjui ni lini lakin ipo tu cku yao ujinga ukishatoka kwa baadhi ya watanzania tutaongea lugha moja.

wait and see
Cjui hata mimi hiyo cku labda Ni cku ile utapojua kuandika siku badala cku😂😂joking
 
Acha hizo,mbona kiongozi akifa mnaahirisha ziara,wakati anaumwa mpo kimya.
Unaweza wajali nchi jirani kuwatembelea huku ndani kwako hujaweka sawa.
 
Uongo kazi sana wapinzani wapi kama sio CHADEMA?

Akina Lyatonga na wengineo walio kwenye payroll ya CCM?
 
Marealle alikosea sana kukubali Kilimanjaro kuwa sehemu ya Tanganyika
 
Huyo maskini waziri wa nchi za nje wa Tz wanamwonea manake nchi zetu hizi ukiteuliwa nafasi kama hizo wakati mwingine, inabidi uwe kama yule'Comical Ally' ,aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Iraq wakati ule, kipindi cha vita kati ya Sadam Hussein na USA.......kazi kwelikweli.
 
huyu mama mulamula nikimtazama simuelewi naona kajaa stress na anamponza shogaake 😎
 

Uwe na heshima kwa Mheshimiwa Rais wetu. Ni Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, sio samia.

Amandla...
 
I think siasa la kukutana na wanasiasa ni suala la ndani sio foreign so she may not be the right person kumquote

ila ulivyonza habari ni tayari uko biased

umelalamika weeeeee, ndio mwisho ukatoa hoja

hili suala lilishatolewa maelezo na several people including Lissu
 
Ndio maana nimesema amemkosea heshima. Ni wazi kuwa hamheshimu Mheshimiwa Rais wetu.

Amandla...
Ameamua kutokumuheshimu rais kutokana na matendo ya hovyo ambayo anamwona rais anayafanya na yeye kama mwananchi hakumtuma kuyafanya hayo,Hivyo yeye kaamua kutumia haki yake ya kutokumuheshimu na hakuna wa kumpangia.
 
Muongo mkubwa wewe nani aliipigia kura ccm Mliiba kura
 
Ameamua kutokumuheshimu rais kutokana na matendo ya hovyo ambayo anamwona rais anayafanya na yeye kama mwananchi hakumtuma kuyafanya hayo,Hivyo yeye kaamua kutumia haki yake ya kutokumuheshimu na hakuna wa kumpangia.

Umemsoma lakini au unanijibu mimi tu?

Amandla...
 
Wanaendekeza siasa za kishenzi, huyo mama wa US kawahoji maswali ya msingi ndio wanajifanya kutoa hadithi za kuchomekea. Hawa viongozi wetu ndio wanachangia wazungu kuendelea kutufananisha na nyani
ni bola hajaongea nao kwanza,maana Kama angeongea nao,halafu inakuja kugundulika mwejekiti wao ni gaidi suspect,nadhani ingeleta taswira ya sintofahamu zaidi.nadhani wadukuzi walimtonya mama asikutane nao Kuna Mambo wameyadukua kwa Mr hai si shwari kukutana nao kwa Sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…