Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

Wanaendekeza siasa za kishenzi, huyo mama wa US kawahoji maswali ya msingi ndio wanajifanya kutoa hadithi za kuchomekea. Hawa viongozi wetu ndio wanachangia wazungu kuendelea kutufananisha na nyani
Bila Mzungu weusi tutauana kwa uroho wa madaraka. Kumbuka tuliuzana utumwani eti kukomoana.
 
Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata wanavyofanya uhalifu kama wanasiasa au polisi.

Nadhani mmesikia kauli za polisi za "waliuwawa katika mapambano makali ya silaha na polisi na hakuna askari aliyejeruhiwa", "aliuwawa na kitu cha ncha kali tunafanya uchunguzi", "alikufa kwa kujaribu kuruka toka kwenye gari akiwa na pingu" nk.

Na pia kauli za wanasiasa kama "kama hutaki tozo nenda Burundi"; "kama huna nauli piga mbizi"nk.

Sasa leo nimekutana na kauli ya Waziri wa Mambo ya Nchi za nje, Liberata Malamula, akijaribu kueleza kwa nini mkutano kati ya Raisi Samia na wapinzani haukutokea. Anasema "Raisi Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana". Hivi huu mkutano ulikuwa ufanyike kwa muda gani, miezi sita mfululizo?

Ni wazi kwamba hawa watu wanapotoa hizi kauli wanaona sisi Watanzania ni wajinga, hatuna akili na tanakubali lolote tutakalowaambiwa.

Kwa kiingereza huwa ni ni falsafa ya "insulting Tanzanians' intelligence"

Napenda kwa mara nyingine niwaambie Polisi na Wanasiasa jambo moja, kwamba mtitutukane Watanzania, msidhani kwamba hatuna aiki, na msione upole wetu na utunzaji wetu wa hali ya amani nchini kuwa ni watu ambao tupotupo tu kama mazezeta. Uvumilivu wa kutukanwa una mipaka yake, na mnatutukana sana kwa hizi kauli zenu.

Hizi ni kauli zinafanya niwachukie wanasiasa na polisi kwa kiwango cha juu kabisa, kwa kuwa ni kauli ambazo naziona kama matusi kwa Watanzania. Ninavyozitafsiri mimi ni kwamba mnatoa kauli kama hizo eidha kwa kuwa nyie hamna uwezo wa kufikiri, au kwa kuwa mnadhani sisi Watanzania hatuna uwezo wa kufikiri. Jitafakarini sana. Tanzania ya 2021 sio Tanganyika ya 1961. We are not naive - you are disgustingly naive.
Hakuna emoji inayofaa Ku-express emotions zangu, uneandika vizuri kabisa asante!
 
Muongo mkubwa wewe nani aliipigia kura ccm Mliiba kura
Kwa kulazimisha CCM ndio hao hao huku mitaani wanasema Mama ametuangusha.Ki uhalisia wanaonekana Chadema wanaongea sana kwa kumpinga Mama,ila tunaoishi na wanaccm huku wanamteta hadi aibu,wanafukunyua mambo mazito mno.
 
Ratiba za KUDEMKA ziliendelea bila shida yoyote ile. Wapuuzi wanahaha sasa baada ya kuona pressure imekuwa kubwa dhidi ya hii Serikali haramu. Tunaipiga hazina sasa si kwa bunduki, mabomu wala mawe bali tunaipiga ili kuathiri mapato ya Serikali. Tukifanikiwa hata kwa 10% itakuwa ni pigo kubwa sana. Ukinunua chochote usiombe risiti, miamala susia tafuta mbadala, starehe au unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara punguza. Safari zako kama inawezekana tumia boda ili uepuke kununua petroli iliyo na kodi kubwa sana. Hakuna sababu ya kumwaga damu ya Mtanzania yeyote yule lakini tunaweza kuiathiri pale panapohusu zaidi.

Kumbe ndio maana wametoka nje kupayuka 😅😅😅eti ratia ziliingiliana
 
Angalia hizi kauli!Serikali ya Tanzania huwa inaamini kuwa wananchi ni wajinga kupindukia.
109_20210706_190119.jpg
 
Ratiba za KUDEMKA ziliendelea bila shida yoyote ile. Wapuuzi sana wanahaha sasa baada ya kuona pressure imekuwa kubwa dhidi ya hii Serikali haramu. Tunaipiga hazina sasa si kwa bunduki, mabomu wala mawe bali tunaipiga ili kuathiri mapato ya Serikali. Tukifanikiwa hata kwa 10% itakuwa ni pigo kubwa sana. Ukinunua chochote usiombe risiti, miamala susia tafuta mbadala, starehe au unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara pun gusa. Safari zako tumia boda ili uepuke kununua petroli iliyo na kodi kubwa sana. Hakuna sababu ya kumwaga damu ya Mtanzania yeyote yule lakini tunaweza kuiathiri pale panapohusu zaidi.
Best nisaidie jinsi ya kuingia space ya Maria Sarungi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hivi huyu anaeupiga mwingi atataka tena 2025...? Nitamshangaa na kushangaa sana...ccm pia nitawashangaa sana
 
Uko Twitter? Saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki nenda kwenye page yake utaiona kidirisha cha Maria space na kuna mahali imeandikwa join click hapo kisha utaona message start listening click hapo. Juu kabisa mkono wa kulia utaona message leave. Ukitaka kutoka click hapo.
Best nisaidie jinsi ya kuingia space ya Maria Sarungi
 
Uko Twitter? Saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki nenda kwenye page yake utaiona kidirisha cha Maria space na kuna mahali imeandikwa join click hapo kisha utaona message start listening click hapo. Juu kabisa mkono wa kulia utaona message leave. Ukitaka kutoka click hapo.
🙏🏾Shukran
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Naam, Tanzania inayoongozwa na wanafiki, waongo, wezi wa kura wasio na uhalali wa kuwepo madarakani. Utawajua tu kwa kauli zao za kimagumashi na vitendo vyao
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
hata katika familia wewe kama mwanaume ndiyo baba wa nyuma sasa lazima utakuwa na taratibu zako na ratiba zako na vipaumbele vyako hawezi mtu yoyote kukupangia kwamba anza na hiki kwanikulikuwa na uharaka gani wa kuanza kuongea na wapinzani? au hata angeanza kuongea nao wangefaidika na nini?

Hizo ndiyo haraka ambazo hazinaga maana walizonazo chadema mngesubiri muone kama mpaka mwaka unaisha hajawaita kuongea naye? au nyie mwaka ni kama miaka kumi au mnapoteza nini msipoongea na rais?

Uvumilivu ni kitu kizuri sana CHADEMA ndiyo wataliangamiza taifa kwa uroho wao wa madaraka maana hata wakipewa hayo madaraka wanayoona hayapo hawawezi kuyaleta kwa maneno lazima watu wafanye kazi tu no way
Kwa hiyo wanaongangania madaraka kwa gharama yeyote hata kuua wananchi ili tu wasitoke madarakani, siyo walafi wa madaraka.? Ila wanaotaka kuingia madarakani kwa ridhaa ya wananchi ndio walafi? Nonsense and stupid comment.
 
Kwa hiyo wanaongangania madaraka kwa gharama yeyote hata kuua wananchi ili tu wasitoke madarakani, siyo walafi wa madaraka.? Ila wanaotaka kuingia madarakani kwa ridhaa ya wananchi ndio walafi? Nonsense and stupid comment.
ccm kila miaka mitano mabadiliko ya viongozi yapo chadema ni lini mlibadirisha mwenyekiti?mkpewanchi mtaua kila kitu na democrasia
 
kuna siku itafika tu huu ujinga wa wanasiasa na police utafika kikomo cjui mataga wataweka wapi sura zao cku hyo....cjui ni lini lakin ipo tu cku yao ujinga ukishatoka kwa baadhi ya watanzania tutaongea lugha moja.

wait and see
Ni lini siku hiyo? Mwakani au 2035?
 
Rais awe makini. Wananchi walipigia kura ccm kwa hivyo kelele za chadema zisije kufanya ccm kutetereka kwa malengo yake. Chadema wanadai kuongoza wakati walishindwa kwenye uchaguzi. Hili samia awe makini kabisa.

Asifikiri akikutana na chadema wataacha malengo yao ya kutumwa na mabeberu kudai katiba ya kiliberali na serikali tatu ili muungano uvunjike.

Chadema wanataka katiba itakayotoa mwanya kwa wenye nacho kuweza kununua haki bila uoga. Wanataka katiba ambapo matajiri na wanasheria wataweza kuuza na kununua haki bila uoga. Huo ndio msingi uliyojificha wa demokrasia ya kiliberali kwa sisi afrika. Wamagharibi wanapenda tuwe na serikali legelege corrupt za kutimiza maslahi yao.
Na wewe tukuite raia anae wajibika kwa nchi yake kweli? Mm hapana wewe ni raia anaewajibika kwa tumbo lake.
 
Rais awe makini. Wananchi walipigia kura ccm kwa hivyo kelele za chadema zisije kufanya ccm kutetereka kwa malengo yake. Chadema wanadai kuongoza wakati walishindwa kwenye uchaguzi. Hili samia awe makini kabisa.

Asifikiri akikutana na chadema wataacha malengo yao ya kutumwa na mabeberu kudai katiba ya kiliberali na serikali tatu ili muungano uvunjike.

Chadema wanataka katiba itakayotoa mwanya kwa wenye nacho kuweza kchununua haki bila uoga. Wanataka katiba ambapo matajiri na wanasheria wataweza kuuza na kununua haki bila uoga. Huo ndio msingi uliyojificha wa demokrasia ya kiliberali kwa sisi afrika. Wamagharibi wanapenda tuwe na serikali legelege corrupt za kutimiza maslahi yao.
Unachekesha. Hivi unaweza kutuambia, katika kura za maoni za ccm 2020, pamoja na vitendo lukuki vya utoaji na upokeaji rushwa, iweje TAKUKURU walikaa kando? Wengine tuliwasikia kwenye clip wakijinadi jinsi walivyogawa bahasha.
Unafikiri kwa nini serikali ya ccm inatoa sh. Milioni 200 kwa wabunge kama kiinua mgongo? Hizo ni mtaji wao wa rushwa. Sasa kama rushwa ndio imetamalaki hivyo, hiyo katiba bora kabisa iliyopendekezwa na Tume ya Warioba ndiyo ingetoa muarobaini wa kweli wa rushwa. Huko kununua haki unakosema, ingekuwa historia.
Lakini wewe inaonekana unafaidika na mfumo wa sasa wa upigaji
 
Wamarekani wenyewe pamoja na ukubwa wao, pamoja na kuwa na miaka zaidi ya mia 2 tangu wapate uhuru, pamoja na kuwa taasisi imara kwa ngazi zote..Lkn walikataa kabisaa kuongozwa na Rais Mwanamke. Hilary Clinton pamoja na kwamba aligombea na mgombea dhaifu kabisaa Donald trump, lkn wamarekani waliona bora trump kuliko mwanamke. Mama yetu ameshaonyesha kuwa kazi ya urais siyo mchezo. Mama ni dhaifu Sana, washauri wake wanamdanganya kwa kumwambia usipowapiga chadema watakudharau kwa sababu we ni mwanamke.

Mama ni dhaifu Sana, watu wanaomdharau nadhani yeye mama hajawajua. Labda nimwambie hapa mama, hakuna mtu anamdharau km mwigulu nchemba. Huyu jamaa ni anamdharau mama hakuna mfano wake. Mwingine ni makamu wa Rais huyu kwanza anajiona yeye ndo Rais ndo maana hata ziara zake ni km Rais tu, anatoa Amri na anafuta watu wa kazi..halafu wakiwa na mama wanamchora tu kwa kujifanya watu wanyenyekevu. Mama akumbuke kwamba, wakati wa mwendazake Hilo kundi lote akiwemo mwendazake mwenyewe, walikuwa wanamdharau Sana mama.​


Inasikitisha kuona kwamba mama badala ya kuifut a serikali ya mwendazake akaunda ya kwake ili kupata mawazo mapya. Lkn ameendelea na watu walewale wenye mawazo ya mwendazake halafu anataka watende anavyotaka! Kubwa zaidi tukubali mama nchi imemshinda
Hahahaahahahahaahahah

Wewe huna cha kumwambia mama. Tafuta hela ule na watoto utulie mkuu
 
Back
Top Bottom