Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

ccm kila miaka mitano mabadiliko ya viongozi yapo chadema ni lini mlibadirisha mwenyekiti?mkpewanchi mtaua kila kitu na democrasia
Nilichogundua kupitia uandishi wako ni uwezo duni wa akili. Kwanza kuandika kwenyewe hujui, kama watu design yako ndio mmetumwa kutetea chama na serikali mitandaoni hakika ni msiba. Unatia huruma sana mkuu [emoji23][emoji23]
 
wewe unadhani ujinga wenu ndio uliomleta?- sasa Botswana alienda kufanya nini?
Sawa, "ujinga" wetu haujamleta. Lakini umelazimisha mahakama ihamie mtandaoni, pamoja na majigambo yooote ya Siro wenu. Ujinga huo umemfanya ampige maswali makali Samia, hadi akakimbilia kwenye kona ya "ratiba ziliingiliana". Huu ni "ujinga" mzuri sana
 
Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata wanavyofanya uhalifu kama wanasiasa au polisi.

Nadhani mmesikia kauli za polisi za "waliuwawa katika mapambano makali ya silaha na polisi na hakuna askari aliyejeruhiwa", "aliuwawa na kitu cha ncha kali tunafanya uchunguzi", "alikufa kwa kujaribu kuruka toka kwenye gari akiwa na pingu" nk.

Na pia kauli za wanasiasa kama "kama hutaki tozo nenda Burundi"; "kama huna nauli piga mbizi"nk.

Sasa leo nimekutana na kauli ya Waziri wa Mambo ya Nchi za nje, Liberata Malamula, akijaribu kueleza kwa nini mkutano kati ya Raisi Samia na wapinzani haukutokea. Anasema "Raisi Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana". Hivi huu mkutano ulikuwa ufanyike kwa muda gani, miezi sita mfululizo?

Ni wazi kwamba hawa watu wanapotoa hizi kauli wanaona sisi Watanzania ni wajinga, hatuna akili na tanakubali lolote tutakalowaambiwa.

Kwa kiingereza huwa ni ni falsafa ya "insulting Tanzanians' intelligence"

Napenda kwa mara nyingine niwaambie Polisi na Wanasiasa jambo moja, kwamba mtitutukane Watanzania, msidhani kwamba hatuna aiki, na msione upole wetu na utunzaji wetu wa hali ya amani nchini kuwa ni watu ambao tupotupo tu kama mazezeta. Uvumilivu wa kutukanwa una mipaka yake, na mnatutukana sana kwa hizi kauli zenu.

Hizi ni kauli zinafanya niwachukie wanasiasa na polisi kwa kiwango cha juu kabisa, kwa kuwa ni kauli ambazo naziona kama matusi kwa Watanzania. Ninavyozitafsiri mimi ni kwamba mnatoa kauli kama hizo eidha kwa kuwa nyie hamna uwezo wa kufikiri, au kwa kuwa mnadhani sisi Watanzania hatuna uwezo wa kufikiri. Jitafakarini sana. Tanzania ya 2021 sio Tanganyika ya 1961. We are not naive - you are disgustingly naive.

Sio tu viongozi wetu wanafanya wazungu waanze kutufananisha na nyani bali wazungu wameanza kuona waafrika ndio chanzo kingine cha amani ya dunia kutoweka.
 
hakuna siku hata moja mzungu aliipenda africa kila afanyacho ana maslahi nacho wameshatuzidi akili wale sasa tukiwasikiliza chadema ambao wamejichimbia ulaya wanashawishiwa uroho wao wa madaraka ndiyo utaliingiza taifa katika machafuko
Marekani ndio wababe wadunia. Si unaona samia na mula wanavyohaha. Trump asiyejali lakini alimpeleka puta Magu. Sembuse Biden anayetaka Demokrasia?
 
Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata wanavyofanya uhalifu kama wanasiasa au polisi.

Nadhani mmesikia kauli za polisi za "waliuwawa katika mapambano makali ya silaha na polisi na hakuna askari aliyejeruhiwa", "aliuwawa na kitu cha ncha kali tunafanya uchunguzi", "alikufa kwa kujaribu kuruka toka kwenye gari akiwa na pingu" nk.

Na pia kauli za wanasiasa kama "kama hutaki tozo nenda Burundi"; "kama huna nauli piga mbizi"nk.

Sasa leo nimekutana na kauli ya Waziri wa Mambo ya Nchi za nje, Liberata Malamula, akijaribu kueleza kwa nini mkutano kati ya Raisi Samia na wapinzani haukutokea. Anasema "Raisi Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana". Hivi huu mkutano ulikuwa ufanyike kwa muda gani, miezi sita mfululizo?

Ni wazi kwamba hawa watu wanapotoa hizi kauli wanaona sisi Watanzania ni wajinga, hatuna akili na tanakubali lolote tutakalowaambiwa.

Kwa kiingereza huwa ni ni falsafa ya "insulting Tanzanians' intelligence"

Napenda kwa mara nyingine niwaambie Polisi na Wanasiasa jambo moja, kwamba mtitutukane Watanzania, msidhani kwamba hatuna aiki, na msione upole wetu na utunzaji wetu wa hali ya amani nchini kuwa ni watu ambao tupotupo tu kama mazezeta. Uvumilivu wa kutukanwa una mipaka yake, na mnatutukana sana kwa hizi kauli zenu.

Hizi ni kauli zinafanya niwachukie wanasiasa na polisi kwa kiwango cha juu kabisa, kwa kuwa ni kauli ambazo naziona kama matusi kwa Watanzania. Ninavyozitafsiri mimi ni kwamba mnatoa kauli kama hizo eidha kwa kuwa nyie hamna uwezo wa kufikiri, au kwa kuwa mnadhani sisi Watanzania hatuna uwezo wa kufikiri. Jitafakarini sana. Tanzania ya 2021 sio Tanganyika ya 1961. We are not naive - you are disgustingly naive.
Kaka wao sio wajinga hivo, wanafahamu uvumilivu (threshold) wa watanzania uko juu sana, na wana uhakika na hilo. Ndio maana kiongozi na taasisi zinaweza kufanya au kusemama chochote na popote na wakti wowote kwa wananchi. 80% ya watanzania wanafahamu kuwa wanadanganywa lakini wanakosa cha kufanya.
 
Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata wanavyofanya uhalifu kama wanasiasa au polisi.

Nadhani mmesikia kauli za polisi za "waliuwawa katika mapambano makali ya silaha na polisi na hakuna askari aliyejeruhiwa", "aliuwawa na kitu cha ncha kali tunafanya uchunguzi", "alikufa kwa kujaribu kuruka toka kwenye gari akiwa na pingu" nk.

Na pia kauli za wanasiasa kama "kama hutaki tozo nenda Burundi"; "kama huna nauli piga mbizi"nk.

Sasa leo nimekutana na kauli ya Waziri wa Mambo ya Nchi za nje, Liberata Malamula, akijaribu kueleza kwa nini mkutano kati ya Raisi Samia na wapinzani haukutokea. Anasema "Raisi Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana". Hivi huu mkutano ulikuwa ufanyike kwa muda gani, miezi sita mfululizo?

Ni wazi kwamba hawa watu wanapotoa hizi kauli wanaona sisi Watanzania ni wajinga, hatuna akili na tanakubali lolote tutakalowaambiwa.

Kwa kiingereza huwa ni ni falsafa ya "insulting Tanzanians' intelligence"

Napenda kwa mara nyingine niwaambie Polisi na Wanasiasa jambo moja, kwamba mtitutukane Watanzania, msidhani kwamba hatuna aiki, na msione upole wetu na utunzaji wetu wa hali ya amani nchini kuwa ni watu ambao tupotupo tu kama mazezeta. Uvumilivu wa kutukanwa una mipaka yake, na mnatutukana sana kwa hizi kauli zenu.

Hizi ni kauli zinafanya niwachukie wanasiasa na polisi kwa kiwango cha juu kabisa, kwa kuwa ni kauli ambazo naziona kama matusi kwa Watanzania. Ninavyozitafsiri mimi ni kwamba mnatoa kauli kama hizo eidha kwa kuwa nyie hamna uwezo wa kufikiri, au kwa kuwa mnadhani sisi Watanzania hatuna uwezo wa kufikiri. Jitafakarini sana. Tanzania ya 2021 sio Tanganyika ya 1961. We are not naive - you are disgustingly naive.
usishangae itakua ilesiku ya uzinduzi kitabu cha mzee ruksa
 
Kwa kweli, baada ya Under Secretary of State Victoria Nuland kukutana na wapinzani , serikali imeumbuka.
Siyo siri!!
 
ni bola hajaongea nao kwanza,maana Kama angeongea nao,halafu inakuja kugundulika mwejekiti wao ni gaidi suspect,nadhani ingeleta taswira ya sintofahamu zaidi.nadhani wadukuzi walimtonya mama asikutane nao Kuna Mambo wameyadukua kwa Mr hai si shwari kukutana nao kwa Sasa!
Huu ujinga wa "ugaidi" ulitamalaki enzi zile za kikwete, na Mwigulu alizisimamia, hadi Mahakama ilitoa onyo kali kwa serikali kushikilia kesi za ugaidi wakati hawana chembe ya ushahidi.
Sasa ujinga huo umerejea. Ni dalili ya kuishiwa na kupaniki
 
..Naibu Waziri katoka Marekani na ameweza kukutana na wapinzani.

..Rais SSH, VP, PM, Mawaziri, wako hapa nchini lakini hawawezi kukutana na wapinzani.

..Hili na jambo la aibu kubwa. Huwezi kuwa na mfumo wa vyama vingi halafu wadau hawakutani mara kwa mara kubadilishana mawazo, na kuboresha taratibu na mazingira ya ushindani.
 
ccm kila miaka mitano mabadiliko ya viongozi yapo chadema ni lini mlibadirisha mwenyekiti?mkpewanchi mtaua kila kitu na democrasia

..mapendekezo yako yanaweza kufanyiwa kazi kupitia KATIBA MPYA.
 
..Naibu Waziri katoka Marekani na ameweza kukutana na wapinzani.

..Rais SSH, VP, PM, Mawaziri, wako hapa nchini lakini hawawezi kukutana na wapinzani.

..Hili na jambo la aibu kubwa. Huwezi kuwa na mfumo wa vyama vingi halafu wadau hawakutani mara kwa mara kubadilishana mawazo, na kuboresha taratibu na mazingira ya ushindani.
Wapinzani ni second class citizens with rights but mere presidential incentives.
 
Sawa, "ujinga" wetu haujamleta. Lakini umelazimisha mahakama ihamie mtandaoni, pamoja na majigambo yooote ya Siro wenu. Ujinga huo umemfanya ampige maswali makali Samia, hadi akakimbilia kwenye kona ya "ratiba ziliingiliana". Huu ni "ujinga" mzuri sana
Vichaka vya kujificha mtavipata vingi tu-
 
Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata wanavyofanya uhalifu kama wanasiasa au polisi.

Nadhani mmesikia kauli za polisi za "waliuwawa katika mapambano makali ya silaha na polisi na hakuna askari aliyejeruhiwa", "aliuwawa na kitu cha ncha kali tunafanya uchunguzi", "alikufa kwa kujaribu kuruka toka kwenye gari akiwa na pingu" nk.

Na pia kauli za wanasiasa kama "kama hutaki tozo nenda Burundi"; "kama huna nauli piga mbizi"nk.

Sasa leo nimekutana na kauli ya Waziri wa Mambo ya Nchi za nje, Liberata Malamula, akijaribu kueleza kwa nini mkutano kati ya Raisi Samia na wapinzani haukutokea. Anasema "Raisi Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana". Hivi huu mkutano ulikuwa ufanyike kwa muda gani, miezi sita mfululizo?

Ni wazi kwamba hawa watu wanapotoa hizi kauli wanaona sisi Watanzania ni wajinga, hatuna akili na tanakubali lolote tutakalowaambiwa.

Kwa kiingereza huwa ni ni falsafa ya "insulting Tanzanians' intelligence"

Napenda kwa mara nyingine niwaambie Polisi na Wanasiasa jambo moja, kwamba mtitutukane Watanzania, msidhani kwamba hatuna aiki, na msione upole wetu na utunzaji wetu wa hali ya amani nchini kuwa ni watu ambao tupotupo tu kama mazezeta. Uvumilivu wa kutukanwa una mipaka yake, na mnatutukana sana kwa hizi kauli zenu.

Hizi ni kauli zinafanya niwachukie wanasiasa na polisi kwa kiwango cha juu kabisa, kwa kuwa ni kauli ambazo naziona kama matusi kwa Watanzania. Ninavyozitafsiri mimi ni kwamba mnatoa kauli kama hizo eidha kwa kuwa nyie hamna uwezo wa kufikiri, au kwa kuwa mnadhani sisi Watanzania hatuna uwezo wa kufikiri. Jitafakarini sana. Tanzania ya 2021 sio Tanganyika ya 1961. We are not naive - you are disgustingly naive.
MULAMULA KAKOSEA KAULI YAKE ATI RAIS HAJAKUTANA NA WAPINZANI KWA KUA RATIBA ZIMEINGILIANA. UKWELI RAIS HAJAKUTANA NA WAPINZANI KWA KUA ALIOMBA APEWA MUDA.
 
..Unfortunately hivyo ndivyo CCM inavyofundisha vijana wake.

..Nikiifikiria Tz ya miaka 15 mbele na attitude za vijana wa CCM napata mashaka makubwa kuhusu hatima ya nchi yetu.
CCM ni ngumu sana kuvuka miaka 10 ijayo wakiwa madarakani.

Hata kama hawataondolewa na vyama vya upinzani wataondolewa na wananchi
 
Rais awe makini. Wananchi walipigia kura ccm kwa hivyo kelele za chadema zisije kufanya ccm kutetereka kwa malengo yake. Chadema wanadai kuongoza wakati walishindwa kwenye uchaguzi. Hili samia awe makini kabisa.

Asifikiri akikutana na chadema wataacha malengo yao ya kutumwa na mabeberu kudai katiba ya kiliberali na serikali tatu ili muungano uvunjike.

Chadema wanataka katiba itakayotoa mwanya kwa wenye nacho kuweza kununua haki bila uoga. Wanataka katiba ambapo matajiri na wanasheria wataweza kuuza na kununua haki bila uoga. Huo ndio msingi uliyojificha wa demokrasia ya kiliberali kwa sisi afrika. Wamagharibi wanapenda tuwe na serikali legelege corrupt za kutimiza maslahi yao.
Wehu kama ninyi, hamna msaada kwa Taifa letu. Ninyi ndio mnalifanya Taifa letu kuwa mkia badala ya kichwa.
 
hata katika familia wewe kama mwanaume ndiyo baba wa nyuma sasa lazima utakuwa na taratibu zako na ratiba zako na vipaumbele vyako hawezi mtu yoyote kukupangia kwamba anza na hiki kwanikulikuwa na uharaka gani wa kuanza kuongea na wapinzani? au hata angeanza kuongea nao wangefaidika na nini?

Hizo ndiyo haraka ambazo hazinaga maana walizonazo chadema mngesubiri muone kama mpaka mwaka unaisha hajawaita kuongea naye? au nyie mwaka ni kama miaka kumi au mnapoteza nini msipoongea na rais?

Uvumilivu ni kitu kizuri sana CHADEMA ndiyo wataliangamiza taifa kwa uroho wao wa madaraka maana hata wakipewa hayo madaraka wanayoona hayapo hawawezi kuyaleta kwa maneno lazima watu wafanye kazi tu no way
Jifunze kuandika kwa ufasaha. Kundika ovyo kunaashiria ubongo kuwa ovyo.
 
Back
Top Bottom