Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

Ubavu wa kuwazuia angeutoa wapi kama sehemu ya bajeti yetu inawategemea hao wazungu ili itekelezeke?
 
Kidirisha chetu Mkuu.
D3E250AD-6ED6-4141-A6EE-05B265D2B1DF.jpeg

🙏🏾Shukran
 
Haya masuala ya katiba si ni mambo yetu ya ndani, sasa kuruhusu wazungu kuzungumzia mambo yetu ya ndani tena sebuleni kwetu mbona kama haijakaa sawa hivi.
Ni kweli. Ndio athari za kuwa tegemezi. Endapo una tabia ya kuomba misaada kwa wajomba mara kwa mara basi tarajia wakufanyie uchambuzi yakinifu kama unatumia misaada yao kiufanisi kwa vigezo vyao. Marekani ndiye mkuu wa wajomba duniani. Akisema tabia yako mbovu, ni vigumu sana ukasikilizwa na wajomba wengine.
 
Pichani, Mzalendo akiwa Mazungumzoni na Beberu .

Hivi wenzetu ni kwamba wanatuoni ujinga wetu lakin wanatupotezea na kutucheka sana.
Wanaona ujinga wa wale wenye kupigania katiba mpya ili tu wawe na ugomvi na serikali. Wamarekani wenyewe katiba yao ni ya tangu kuanzishwa taifa hilo miaka mia mbili na zaidi. Uingereza hata haina katiba iliyoandikwa.
 
Kufariki kwa Waziri wa Ulinzi kumempa nafasi ya kuwaondoa Mwigulu Nchemba majaliwa, Ndugulile, Bashungwa, Kabugi na Gwajima je atafanya hivyo? Ngoja tusubiri tuone. Sijui kama anaweza pia kumtumbua yule mrundi VP. Hawa bado wanaendelea kumuenzi dhalimu mwendazake.
Bado haitamsaidia kwa sababu alishakosea toka mwanzo. Baada tu ya kuapishwa, alitakiwa apige chini Baraza la mawaziri lote. Halafu aunde jipya hata waziri mkuu hakutakiwa kumrithi. Rais ndiyo maana amepewa nafasi ya kuunda serikali kwa kuweka watu wake anaowaamini.

Huwezi kutumia watu watu wa kurithi ukategemea jambo jipya. Kuna mawaziri kichefuchefu km waziri wa fedha, waziri wa afya na hata makamu wa Rais . Yaani Hawa watu Kuna muda unajiuliza hivi mama hajui km hawana akili??
 
Wanajua mnaelewa kuwa wamelewa madaraka, wanajua mnajua kuwa wanadanganya. Upofu wao ni kuwa wanawaona hamuwezi kuwafanya lolote. Kama ile ya ,,hamia Burundi" pale anaonyesha wazi kusema ,,mtanifanya nini sasa, nimeshaamua mtozwe kodi"

Viburi vyao ni kwasababu ya kujiona wameshindikana. Wana vichwa vya kuku.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Haya masuala ya katiba si ni mambo yetu ya ndani, sasa kuruhusu wazungu kuzungumzia mambo yetu ya ndani tena sebuleni kwetu mbona kama haijakaa sawa hivi.
Ugonjwa wa corona nao si ni mambo ya ndani ya nchi,mbona tumepokea chanjo kutoka kwao?
Ukitaka uhuru epuka vya bure.
 
Itamsaidia kufanya maamuzi yake mengi bila ya kuingiliwa na wahuni, waongo na wanafiki akina Mwigulu na wenzie kundi la AXIS OF EVIL.
Bado haitamsaidia kwa sababu alishakosea toka mwanzo. Baada tu ya kuapishwa, alitakiwa apige chini Baraza la mawaziri lote. Halafu aunde jipya hata waziri mkuu hakutakiwa kumrithi. Rais ndiyo maana amepewa nafasi ya kuunda serikali kwa kuweka watu wake anaowaamini. Huwezi kutumia watu watu wa kurithi ukategemea jambo jipya. Kuna mawaziri kichefuchefu km waziri wa fedha, waziri wa afya na hata makamu wa Rais . Yaani Hawa watu Kuna muda unajiuliza hivi mama hajui km hawana akili??
 
Rais Joe Biden wa Marekani anakutana na wapinzani wa chama chake.

Je, Marekani hakuna corona? Je, Uchumi wa Marekani haujayumba?

Mh.Balozi Mulamula, waziri wetu wa mambo ya nje, amekosea sana kutoa kauli yake kwa ujumbe wa serikali ya Marekani.
 
Mulamula katoa mpya nyingine. Anasema Tanzania tutaanza kununua VW za Rwanda wakati Rwanda wanatengeneza VW za LHD, na Kenya pia wanatengeneza VW za RHD.

Sasa sijui kwa nini tununue VW toka Rwanda na sio Kenya, wakati VW Kenya na VW Rwanda yote ni matawi ya VW South Africa, na zote ni nchi za East African Community na masharti ya biashara na Tanzania ni yale yale.

Na nikiwa Dar, Iringa, Dodoma, kipi rahisi, kuleta VW toka Kigali au Nairobi?

Huyu bwana huyu, mmh!
 
Wiki iliyopita tuliona serikali ya Marekani ikitoa ushauri kwa serikali ya CCM kukaa meza moja na Chama kikuu cha upinzani CHADEMA ili kumaliza tofauti haswa baada ya kushtakiwa Mwenyekiti Mh. Freeman Mbowe kwa kesi ya ugaidi, Je serikali hii inaweza kupinga ushauri huo?
 
Rais aweza pokea ushauri wowote lakini halazimishwi kuutendea kazi ushauri aliopewa.kwa mujibu wa katiba.
 
Back
Top Bottom