BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kufariki kwa Waziri wa Ulinzi kumempa nafasi ya kuwaondoa Mwigulu Nchemba majaliwa, Ndugulile, Bashungwa, Kabugi na Gwajima je atafanya hivyo? Ngoja tusubiri tuone. Sijui kama anaweza pia kumtumbua yule mrundi VP. Hawa bado wanaendelea kumuenzi dhalimu mwendazake.
Wamarekani wenyewe pamoja na ukubwa wao, pamoja na kuwa na miaka zaidi ya mia 2 tangu wapate uhuru, pamoja na kuwa taasisi imara kwa ngazi zote..Lkn walikataa kabisaa kuongozwa na Rais Mwanamke. Hilary Clinton pamoja na kwamba aligombea na mgombea dhaifu kabisaa Donald trump, lkn wamarekani waliona bora trump kuliko mwanamke. Mama yetu ameshaonyesha kuwa kazi ya urais siyo mchezo. Mama ni dhaifu Sana, washauri wake wanamdanganya kwa kumwambia usipowapiga chadema watakudharau kwa sababu we ni mwanamke.
Mama ni dhaifu Sana, watu wanaomdharau nadhani yeye mama hajawajua. Labda nimwambie hapa mama, hakuna mtu anamdharau km mwigulu nchemba. Huyu jamaa ni anamdharau mama hakuna mfano wake. Mwingine ni makamu wa Rais huyu kwanza anajiona yeye ndo Rais ndo maana hata ziara zake ni km Rais tu, anatoa Amri na anafuta watu wa kazi..halafu wakiwa na mama wanamchora tu kwa kujifanya watu wanyenyekevu. Mama akumbuke kwamba, wakati wa mwendazake Hilo kundi lote akiwemo mwendazake mwenyewe, walikuwa wanamdharau Sana mama.
Inasikitisha kuona kwamba mama badala ya kuifut a serikali ya mwendazake akaunda ya kwake ili kupata mawazo mapya. Lkn ameendelea na watu walewale wenye mawazo ya mwendazake halafu anataka watende anavyotaka! Kubwa zaidi tukubali mama nchi imemshinda